Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Well said!
Aisee wekaga na dp basi maana maneno yanatakiwa yafanane na mtu isijekuwa hauna hata sura? 🙄Huyu ndiye Rais tuliyemsubiri kwa miaka mingi kwa sasa yupo na ataendelea kuwepo hadi 2025 panapo uhai. Hupendi kunywa sumu ufe. Endeleeni kutengeneza movie zisizo na mvuto
Utanvyooka ww zuzu unayeshabikia ujinga wa ccm. miaka 60 ya Uhuru. bdo tuna watu wenye akili mgando kama zako, kweli nimeamini mtaji wa ccm nu watu wajinga kamUtanyooka tu hata ukiwa nje ya nchi. Ndugu zako mafisadi huku wananyoshwa pole mkuu!!
Huyu ndiye Rais tuliyemsubiri kwa miaka mingi kwa sasa yupo na ataendelea kuwepo hadi 2025 panapo uhai. Hupendi kunywa sumu ufe. Endeleeni kutengeneza movie zisizo na mvuto
tambaaAsepe ndio nini?
Kile kibetriii chake kwenye moyo wake kitaisha charge kabla ya 2020. Iyo 2025 ataiona wapi?
Hizo taasisi za dini zilizojaa walawiti zinamtesa Papa kila siku kwenda kuwaombea msamaha kwa wanaowalawiti? Kama hiyo taasisi iliyotajwa wao ni pesa tu kila siku migogoro ya dayosisi haishiBelieve me, kila kitu lazima kithibitiwe!
Africa inateseka sana kwa ajili ya vitu vingi!
Endelea na ramli zakoKile kibetriii chake kwenye moyo wake kitaisha charge kabla ya 2020. Iyo 2025 ataiona wapi?
Hivi hilo neno "fankuuro" unamaanisha nini? Na ulilenga kumwambia nani?Mijizi mnayo huko na mlimsimamisha kugombea urais. Hii kauli ya mijizi ndio hulka yenu ya kuchafua na akija huko msafi. Sikuwekei picha kwa leo maana nyumbu hana kumbukumbu. Hata Lowassa mlimuita jizi kuu lakini mnaye huko. Fankuuro
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyu ndiye Rais tuliyemsubiri kwa miaka mingi kwa sasa yupo na ataendelea kuwepo hadi 2025 panapo uhai. Hupendi kunywa sumu ufe. Endeleeni kutengeneza movie zisizo na mvuto
hiyo dhehebu ndo inajihusisha na siasa sababu wanatoa matamko mengi ya kijinga, acha wafanyiwe synchronization, watanyoka tu kama waliIla kugombana na Taasisi za kidini ni kitu hatari sana kwa maisha ya kimwili na ya kiroho pia.
Kuna haja kubwa sana ya kutafuta kuwa na amani na watu wote Kila wakati maana kumfurahisha Kila mtu ni jambo ambalo kamwe haliwezekani
Kwani kuna mtu kasema asiwepo? Au kuna mtu kakuambia huyu sio Rais?Huyu ndiye Rais tuliyemsubiri kwa miaka mingi kwa sasa yupo na ataendelea kuwepo hadi 2025 panapo uhai. Hupendi kunywa sumu ufe. Endeleeni kutengeneza movie zisizo na mvuto
Aah wapi ndoto za mchana hizo. Hata bila kampeni anapeta tu. Ni walaini sana sasa hivi inapita bila mafuta
"Inapita bila mafuta"...unapenda sana mambo ya kishoga? Kwa nini unatukana badala ya kujenga hoja? Kua mkuu! Wakati ni huu. Ipende na iheshimu JF ikulee kimawazo ya hali ya juu.Aah wapi ndoto za mchana hizo. Hata bila kampeni anapeta tu. Ni walaini sana sasa hivi inapita bila mafuta
Alyeficha trion 1.5 amenyoshwa!?Utanyooka tu hata ukiwa nje ya nchi. Ndugu zako mafisadi huku wananyoshwa pole mkuu!!
Mwigulu Nchemba, mshughulikie kikamilifu huyu Jini Kisiraniihiyo dhehebu ndo inajihusisha na siasa sababu wanatoa matamko mengi ya kijinga, acha wafanyiwe synchronization, watanyoka tu kama wali