gemmanuel265
JF-Expert Member
- Feb 16, 2016
- 8,485
- 18,048
Hahahaha sentensi mbili za mwisho nimecheka sanaKwanini tuandikie mate na ww kupandisha jazba zisizo na mpango? Magufuli kasema toka alipoingia madarakani hapo mkoa wa Pwani kumejengwa viwanda 3000+. Tutajie wangalau 50 na mahali vilipo tukaombe kazi hata ya vibarua. Kwa kufanya hivyo utakuwa umetuziba mdomo. Kinyume na hapo nenda kafagie mitaa kumuunga mkono rais kisha subiri mwenge uje kukuletea maendeleo.
Hakuna kazi ngumu kama "Kumuamsha aliejifanya Amelala".
Mkuu wewe yote yanayotokea haya huyaoni wala kusikia.
Mwenge unazindua miradi ya mendeleo ni kweli, je bila kuzinduliwa na Mwenge hiyo miradi ya maendeleo haiwezi kuendelea kufanya kazi kiasi kwamba bila Mwenge maendeleo hayo hayapo?Ndio hapo tunawaita nyumbu na malofa wa akili. Wale wanaokimbiza mwenge wa Olympic vipi? Hauna faida?
Mwenge wa uhuru safari hii umefungua zahanati kijijini kwenu kwani baba yako na mama yako walikuwa wanajitibu kwa mkojo wa nguruwe sasa watapata dawa na ushauri wa wataalam wa afya.
Sio uongo kazi ipo kweli kutoka kujitibu na mkojo wa punda hadi kutumia antibiotic na kupona bado unaona antibiotic si dawa
Cheap politiki. Nani kakuambia mwenge unaenddeshwa kwa mabilioni? Halafu technically ( kama unaelewa maana yake) kama mwenge unatumia bil 10 kisha unafungua miradi ya bil 50 na ushee tatizo liko wapi?Mwenge unazindua miradi ya mendeleo ni kweli, je bila kuzinduliwa na Mwenge hiyo miradi ya maendeleo haiwezi kuendelea kufanya kazi kiasi kwamba bila Mwenge maendeleo hayo hayapo?
Nini tija ya Mwenge kwa nchi masikini kama hii ambayo raia wake huduma za lazima kama maji wanachangia na wanyama kama fisi, punda, mbuzi, ng'ombe n.k?
Unaendesha Mwenge kwa mabilioni ya shilingi wakati hospital hazina hata pandol! Huu ni uendawazimu
Nenda mbadala wa Bilicanas ukauze sembe. Utaona wapi? Wakati unangoja kusikia Mbowe kanya mavi ya blue?Kwanini tuandikie mate na ww kupandisha jazba zisizo na mpango? Magufuli kasema toka alipoingia madarakani hapo mkoa wa Pwani kumejengwa viwanda 3000+. Tutajie wangalau 50 na mahali vilipo tukaombe kazi hata ya vibarua. Kwa kufanya hivyo utakuwa umetuziba mdomo. Kinyume na hapo nenda kafagie mitaa kumuunga mkono rais kisha subiri mwenge uje kukuletea maendeleo.
Nenda mbadala wa Bilicanas ukauze sembe. Utaona wapi? Wakati unangoja kusikia Mbowe kanya mavi ya blue?
Lakini ujue vfaa vya ujenzi vimepanda sana, mtu wa chini kujenga asahau, akubali kuishi kwenye vijumba vya makuti nayasi.Binafsi nimefurahishwa na kasi ya Dkt. Magufuli. Naamini wapo pia wengi wanaoungana nami katika furaha hii. Magufuli ameanza kwa kasi ambayo kama ataimaintain, Tanzania haimalizi miaka mitano itakuwa tayari ni nchi yenye kipato cha kati.
Hata hivyo wapo baadhi yetu ambao wanakejeli kasi hiyo. Hao kwangu ni watu waliozoea ubwete na bora liende!. Wanamwona Magufuli kuwa ni mtu atakayekuwa kauzibe kwao!
Wapigaji wote, wavivu wote na wazee Wa madili wote watamchukia Magufuli ila mi niseme na niwaombe tu kwamba tumpe support huyu jamaa kiukweli atatufikisha mahali Fulani!
Tuwafichue wote wanapanga kumhujumu (najua wanajulikana), tuwakatae kwani hawana nia njema na taifa letu.
Sio wakawaida Na uwenda hatotokea japo Mungu yupo atafanyaWakati amechaguliwa wengi sana walikuwa wanambeza mpaka hata kumdharau, kila siku kejeli nyingi zisizo na mfano lkn kwa Raisi Magufuli ni mtu smart alilijua hilo kwamba kuna watu walitaka wamfunge kamba na kumvuta watakako kwa kuwa tu wao ni wazoefu na wana Mitandao.
Sasa Raisi Magufuli akijua kwamba yeye ni ndiyo Raisi wa nchi na alitaka walitambue hilo na ndiyo maana akawaonyesha unyambisi, akajenga timu yake, akafukuza aliyejifanya au kukataa kwenda naye kwa kifupi aliwaonyesha who is the boss, sasa message imeshafika zile kejeli za sijui tumekabidhi nchi kwa mtu mshamba mara sijui hajui Kiingereza kwisha.
Sasa hao waliojiona wajanja wako wapi?
Sasa hivi wote wana bow down kwani JMTZ kuna Big Boss mmoja tu na hilo limeshamea na kukubalika sasa.
Tufanye kazi jamani ndicho kilichobakia majungu yamegonga mwamba, kusubiri Magufuli ashindwe ili ukebehi utazeeka na haitatokea.
Ombea Mungu akunyime vyote lkn akupe intelligence hiyo ndo game changer, ...
Naunga mkono hoja!non- sense...
yes!kama wehu wengineMwehu tu