Wakati amechaguliwa wengi sana walikuwa wanambeza mpaka hata kumdharau, kila siku kejeli nyingi zisizo na mfano lkn kwa Raisi Magufuli ni mtu smart alilijua hilo kwamba kuna watu walitaka wamfunge kamba na kumvuta watakako kwa kuwa tu wao ni wazoefu na wana Mitandao.
Sasa Raisi Magufuli akijua kwamba yeye ni ndiyo Raisi wa nchi na alitaka walitambue hilo na ndiyo maana akawaonyesha unyambisi, akajenga timu yake, akafukuza aliyejifanya au kukataa kwenda naye kwa kifupi aliwaonyesha who is the boss, sasa message imeshafika zile kejeli za sijui tumekabidhi nchi kwa mtu mshamba mara sijui hajui Kiingereza kwisha.
Sasa hao waliojiona wajanja wako wapi?
Sasa hivi wote wana bow down kwani JMTZ kuna Big Boss mmoja tu na hilo limeshamea na kukubalika sasa.
Tufanye kazi jamani ndicho kilichobakia majungu yamegonga mwamba, kusubiri Magufuli ashindwe ili ukebehi utazeeka na haitatokea.
Ombea Mungu akunyime vyote lkn akupe intelligence hiyo ndo game changer, ...