Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
okayMimi sina nidhamu
Si ndio umeshatanguliza salamu,kama ulivyosema kuwa kwa sasa unatulia!Ila utajiweka wazi baadae huko mahakamani,target yako mbona iko wazi!!!!!kaka sitafuti kitu ndio maana hata wewe hunijui MIMI SIO VERIFIED MEMBER ..ni uhalisia kuwa tunahitajika kuwa kwenye mstari mnyoofu mimi yangu napambana nayo mahakamani KWANZA .. NA HIZI SIO SIFA ZA KUMSIFIA RAIS ..NDIVYO ALIVYO MTU WA HAKI TANGU KITAMBO
Nikiri wazi kuwa sikupiga kura wakati ule lakini hata ningepata nafasi ya kupiga KURA sikuwa na nia na CCM Ingawa pia sikuiamini CHADEMA ...INGAWA utendaji wako ulikuwa usio na mashaka tangu wakati huo nilizidi kukuchukia zaidi baada ya kuachishwa kazi mizani mwaka 2016 kwa kosa lisilo langu nikaletewa tetesi kuwa ni uamuzi kutoka ngazi za juu kwa watu waliokuwa wakishabikia upinzani ..baadaye nilikuja gundua kuwa si kweli bali likuwa ni njama kwa watu tuliokuwa tumesimamia haki na kuzuia magari flani yakampuni ya "GI ES M" , KUTOKUBY PASS MIZANI NA MENGINE YAPITE... mheshimiwa silalamiki kwa hili japo sina ajirA MPAKA SASA KWA SABABU nilishapeleka kwenye vyombo vya sheria MAAMUZI YAKITOKA nitaweka hadharani
...
ILA LEO NIKO JAMVINI BAADA YA KUIPIMA DHAMIRA YAKO NA DHAMIRA YA WAPINZANI WAKO NIKAONA KUWA NI WEWE TU AMBAYE UMESIMAMA KWA AJILI YA NCHI HII..
ninaomba unisamehe muheshimiwa rais na chama chako cha ccm