Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

-Ndege yetu mpya ya dreamline.
-Flyover ya Tazara.
-SGR.
-Flyover ya ubungo.
-Airport ya Chato.
-Uhuru wa kujielezea upo.
-Stigler Gorge.
-Kinyerezi Gas.
-Mabarabara ya kumwaga.
-Makampuni binafsi mambo yao yako vizuri sana siku hizi.
-Maisha ya watanzania hatimaye yamekuwa rahisi sana.

Jamani watanzania wazalendo, ebu ongezeeni mengine humu. Kweli hii sirikali ni kiboko hata Pascal Mayalla anajua.
Kweli inabidi tusifie tu, siku hizi tunafyatua watoto wengi na wanapata Mikopo ya elimu ya juu bila matatizo
 
Kodi makusanyo yameongezeka, wafanya biashara wanafurahia uchumi kupanda... Viwanda 3000 vimejengwa ndani ya mwaka mmoja...

Malaika jiwe oyeee
 
Watoto wetu wanasoma shule za bure. Uhuru wa kujieleza umeongezeka, na vyama vya siasa viko huru kufanya shughuli zao. Usalama uko juu kuliko vipindi vyote, nchi inaongozwa na viongozi wa malaika.
 
Pia zimebaki siku chache watumishi wakiwemo waalimu waongezewe salary kimya kimya baada ya uzalishaji kuongezeka.
 
asee! uchawi anaoutumia jiwe ni level za kipekee! wadau wamerogeka vizuri tu na wasema uhuru wa kujielezea upooo
 
Kwakweli bora mjitokeze wat design yako mtoa mada!mambo meng yamekuwa mterezo tu!watumish ongezeko la mshahara sio la kitoto! hii imepelekea watanzania kuwa kati ya biinadamu wenye FURAHA ZAIDI E.A,JANGWA LA KATI NA LA PEPO ZA KUSI !imepelekea hata vifo vya kujishoot watu kisa mthongo wa mawazo kuisha km sio kupotea kabisaaaa!viva JPM
bdw nimependa jina lako na picha !
 
Back
Top Bottom