cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
Bujibuji oyeeee, Mwana Kondoo asante sana kwa mwandamo wa mwezi hapo Jana.
Yaani nimecheka huachi utundu
Eeeeeh
Hiyo avatar mpya hapana
mrudishe Usuofia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bujibuji oyeeee, Mwana Kondoo asante sana kwa mwandamo wa mwezi hapo Jana.
sheria ya vyama vingi inataka vyma vya siasavijitangaze kupanua wigo wa wanachama wake ,kwq kufanya maandamano na mikutano ya hadhra kwenye majukwaa ya wazi.Kwasasa kuna tamko linazuia mikutano ya hadhara mpka uchaguzi mdogo ukipatikana,je huu siyo uvunjaji wa sheria na katiba ya nchi
Western Europe hakuna dictator labda kama unasema ulaya ya china na urusi,Hivi inakuwaje mtu ambaye hajawahi kuishi Ulaya kwa Muzungu na ambaye wengine wanamuita ,,mshamba” lkn sasa TZ yetu inavyokwenda mambo yake ni kama tu nchi za Wazungu (nchi zilizoendelea) sasa hivi hakuna ubabaishaji, unaishi kwa jasho lako, sheria zinafwatwa barabarani kama 50 km/saa kila mtu anafwata, zebra kila dereva anaheshimu, leseni za magumashi mwisho wake umefika.
I mean mambo yanakwenda ingawaje uchumi wetu bado mdogo lkn angalau kwa mara ya kwanza tuna matumaini tuendako kunaeleweka, ...