Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Wengi hawakutegemea haya . MAGUFULI ameongoza nchi kwa uwazi na ukweli kiasi kwamba wasiojielewa wanashangaa anayofanya lakini kwake Ni kawaida tu.Ishu imebaki Upande wa pili wa kule kwa kina wauza madawa ya kulevya waliojificha kwenye siasa.wao na familia yao wanaficha ficha wanashindwa hata kuwatoa hofu wanachama wao kuhusu wanayotuhumiwa mfano uendeshaji mbaya wa ruzuku.hata kinafki tu wameshindwa kujua Kama watanzania kwa Sasa wanafurahia kwa jinsi MAGUFULI na mawaziri wake wanavyowapeleka mbio Wala rushwa.ushauri wangu someni nyakati
 
Uwazi uliopelekea watu kujitoa kwenye Open Governance si ndio? Hata kama mtu una mapenzi na kitu saa zingine inakupaswa uwe mkweli..hakunaga uwazi kwenye udikteta
 
Huyu jamaa tafsiri ya uwazi bila shaka haielewi.....

Jiulize tu swali jepesi, hivi mtu anayetaka uwazi kwenye serikali yake, angeweza kweli kulipeleka "gizani" lile Bunge letu??
 
Acha upumbavu wewe uwazi gani wakati jiwe kajitoa katika mpango wa uwazi na uwajibikaji katika serikali ili aweze kufanya madudu wananchi tusijue
 
Unampongeza kwa kusema atahamia Dodoma, sisi tunamshangaa kwa wizi wa kura.
 
Yaani umekosa staili ya kumpigia jiwe vigelegele kiasi hichi......
 
sheria ya vyama vingi inataka vyma vya siasavijitangaze kupanua wigo wa wanachama wake ,kwq kufanya maandamano na mikutano ya hadhra kwenye majukwaa ya wazi.Kwasasa kuna tamko linazuia mikutano ya hadhara mpka uchaguzi mdogo ukipatikana,je huu siyo uvunjaji wa sheria na katiba ya nchi
 
sheria ya vyama vingi inataka vyma vya siasavijitangaze kupanua wigo wa wanachama wake ,kwq kufanya maandamano na mikutano ya hadhra kwenye majukwaa ya wazi.Kwasasa kuna tamko linazuia mikutano ya hadhara mpka uchaguzi mdogo ukipatikana,je huu siyo uvunjaji wa sheria na katiba ya nchi

Siongelei ujinga wenu wa Siasa za kijinga isitoshe hakuna aliyezuiwa kufanya Siasa ila kuna ,,limitations” zimewekwa kwa wale waliochaguliwa ili watimize kile ambacho walichaguliwa kukifanya.
Hapo naongelea nchi inavyokwenda vizuri!
 
Hivi inakuwaje mtu ambaye hajawahi kuishi Ulaya kwa Muzungu na ambaye wengine wanamuita ,,mshamba” lkn sasa TZ yetu inavyokwenda mambo yake ni kama tu nchi za Wazungu (nchi zilizoendelea) sasa hivi hakuna ubabaishaji, unaishi kwa jasho lako, sheria zinafwatwa barabarani kama 50 km/saa kila mtu anafwata, zebra kila dereva anaheshimu, leseni za magumashi mwisho wake umefika.


I mean mambo yanakwenda ingawaje uchumi wetu bado mdogo lkn angalau kwa mara ya kwanza tuna matumaini tuendako kunaeleweka, ...
Western Europe hakuna dictator labda kama unasema ulaya ya china na urusi,
 
umesoma gazeti la the citizen la jana nchi kwenda vizuri ni kuwa na ongezeko la uhalisia kiuchumi,leo hii mabenki yanakufa ,biashara inadumaa ,wanafunga matawi faida inazidi kushuka ww unasifia mema yapi wakati uchumi unadorola?
 
Ha ha haaa

Mleta mada itakuwa katishiwa maisha na JIWE na goon wake BASHEETAY
 
Back
Top Bottom