Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli inabidi tusifie tu, siku hizi tunafyatua watoto wengi na wanapata Mikopo ya elimu ya juu bila matatizo-Ndege yetu mpya ya dreamline.
-Flyover ya Tazara.
-SGR.
-Flyover ya ubungo.
-Airport ya Chato.
-Uhuru wa kujielezea upo.
-Stigler Gorge.
-Kinyerezi Gas.
-Mabarabara ya kumwaga.
-Makampuni binafsi mambo yao yako vizuri sana siku hizi.
-Maisha ya watanzania hatimaye yamekuwa rahisi sana.
Jamani watanzania wazalendo, ebu ongezeeni mengine humu. Kweli hii sirikali ni kiboko hata Pascal Mayalla anajua.
Mikopo iko bwerere tu. Bonge la serikali aisee.Kweli inabidi tusifie tu, siku hizi tunafyatua watoto wengi na wanapata Mikopo ya elimu ya juu bila matatizo
Mkuu, kwani wewe kipofu? Huoni maendeleo ya hij serkali? Acha tusifie serikali yetu.Mmekesha mnarogwa ninyi
Mapemaaa imeingia kweny acc yanguUngejaribu kutulia kidogo unapotaka kuandika vitu vya msingi.
Tayari Ushapewa buku 7 lakini?
😀😀😀Mkuu, kwani wewe kipofu? Huoni maendeleo ya hij serkali? Acha tusifie serikali yetu.
Tuendelee kuisifia serikali yetu ndugu zangu.asee! uchawi anaoutumia jiwe ni level za kipekee! wadau wamerogeka vizuri tu na wasema uhuru wa kujielezea upooo