Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mkuu mimi pia nakuunga mkono.Ila make no mistake about it,wanaompinga JPM ni wengi sana.Wako kwenye utumishi wa umma,CCM,
wafanyibiashara,
wapo wauza madawa ya kulevya nk.nk.The list is long.
 
Mkuu mimi pia nakuunga mkono.Ila make no mistake about it,wanaompinga JPM ni wengi sana.Wako kwenye utumishi wa umma,CCM,
wafanyibiashara,
wapo wauza madawa ya kulevya nk.nk.The list is long.
Kwani mkiwashughurikia kwa kukaa kimya inapunguza nini?
 
Kwani mkiwashughurikia kwa kukaa kimya inapunguza nini?
Mkuu shida ni kwamba wengi wanaompinga JPM wanampinga kwa sababu ya husuda tu naamini,their reasons are not genuine.Mimi naamini kwa mtu anaeitakia mema Tanzania,Magufuli is so far the best alternative.Ningetamini watu walete an alternative development plan for Tanzania, kama ushauri kwa serikali kama wanaona anachofanya JPM sio sahihi for discussion.Hii ya kusubiri serikali ifanye jambo halafu watu wapinge haijakaa vizuri sana.
 
Lakini hakuna serikali inayopendwa na kila mtu. Kuwashughurikia kwa kuwaua au kuwafunga haileti maana ya uhuru wa kujieleza, na hufanywa na nchi ambazo hutawaliwa kidicteta ili kuficha maovu ya watawala wao
 
Lakini hakuna serikali inayopendwa na kila mtu. Kuwashughurikia kwa kuwaua au kuwafunga haileti maana ya uhuru wa kujieleza, na hufanywa na nchi ambazo hutawaliwa kidicteta ili kuficha maovu ya watawala wao
Ni kweli hakuna serikali inayopendwa na kila mtu,ila walio wengi wanapo-cast their votes kumchagua kiongozi fulani,we must all rally behind him to show solidarity.Ninachoona kwa Watanzania ni tofauti kabisa.Hatuna umoja,ni vijembe tu mtindo mmoja.Jamani viongozi waliokuwa mafisadi na nia mbaya na nchi yetu si mliwaona.Kweli Magufuli angekuwa fisadi tungeshuhudia haya anayoyafanya?Tujitafakari.Ni lazima tukumbuke kwamba taifa lililogawanyika haliwezi kusimama.Kweli Watanzania tunataka taifa letu lisisimame?Lakini kwa nini na tunapata faida gani na ya nani?Tutafakari.
 
Kusema ukweli kila lenye kasoro halikosi jema

Mh jpm pamoja na kukosolewa kwenye mambo mengi ila ana mazuri yake

Natumia Uzi huu kuandika mazuri yake niliyoyaona Mimi

Pia naomba Uzi huu uweke mambo mazuri ambayo unayaona kama kukosoa tumekosoa sana hebu tuone jema kwenye kila lenye mapungufu

Langu kubwa ni hili

Mimi natembelea maeneo yenye migogoro ya wakulima na wafugaji kusema ukweli wafugaji wamepunguza sana ubabe wao dhidi ya wakulima pia ile jeuri ya kutumia pesa kuwahonga polisi na serikali za vijiji imepungua nilipotafiti wamasai wakanijibu nanukuu "hii serikali ni Kali haitaki mcheso itanifilisi nikiingiza mifugo yangu kwa mashamba" nikajifunza jambo kumbe pamoja na mapungufu ya magufuli kwa hili LA kuwadhibiti wafugaji amefanikiwa sana

Heko sana jpm wakulima angalau wanapumua hii nakupa pongezi moja kwa moja mh rais john pome Joseph magufuli

Baadhi ya wafugaji walitumia kiburi cha pesa kuwahonga polisi na serikali za vijiji kwasasa hakuna anayepokea hongo za wafugaji kijinga

Heko na kongole kwako mh rais

NB pamoja na pongezi hizi hatutaacha kukukosoa hata kidogo jumatano njema na maangalizi mema ya nusu fainali England na Croatia sijui uko upande gani
 
Karuhusu watu tufyatue tu watoto yeye atasomesha bureeeh.
 
1.5T CAG kasema haionekani but hakuna wa kuuliza au kukomalia...
 
naona unatafuta uwaziri kwa nguvu zote ila utaupata tu komaa mkuu(natania tu)






hohohoho nacheka kijapani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…