Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Trilion 1.5 zipo wapi?
Ben Saanane yupo wapi tumemiss sana uchambuzi wake wa UDR FEKI.
 
Kuwaruhusu machinga wapige Kazi bila bughudha wapambe popote bidhaa zao hapo heko kupunguza vibaka,watu waachwe huru wale mema ya nchi.
 
Weka namba kabisa,huenda akakuona ukarudi kazini!
Wabongo kwa kutumia fursa ni hatariii,mmeshajua jiwe anapenda kusifiwa basi ndio mnapitia humo humo kunufaika!
Hays,tulia upige sala uzi huu umfikie mkuu!
 
Hahahaha kama ni ya kweli bas mapenz ya mungu yatimie ila kama ndo kujitafutia kitu ulaniwe
 
badala umsifie shabani chilunda na magoli matata we unaleta habari za huyo jamaa
 
Si ndio umeshatanguliza salamu,kama ulivyosema kuwa kwa sasa unatulia!Ila utajiweka wazi baadae huko mahakamani,target yako mbona iko wazi!!!!!
 

Nmekusame kijana.
 
Habari wana Jamvi, mana tangu tutoke TCRA sijapata nafasi ya kuwasiliana na wakuu wa wana jamvi..

Naam baada ya salami wacha nianze tiririka sasa. Hivi kuna MTU asiyetaka maendeleo? Au nchi isiyodaiwa? Hapa sasa IPO Tanzania baadhi ya wananchi wake maendeleo mwiko.

Hapa juzi kati Mh Rais Dr. John Pombe Magufuli kanunua ndege kubwa tu aina ya Boeing 787 dream liner imekuwa nongwa. Utafikiri yeye ndo Rais wa kwanza Duniani kununua Ndege.

Wanachodai eti Tanzania INA deni kubwa so alipe deni kwanza. Swali hivi, thamani ya ndege na deni tunalodaiwa linalingana? Fedha tunazodaiwa ukilinganisha na thamani ya ndege ni vitu 2 tofauti yaan deni zaidi ya Mara 17.

Serikali inajenga Barbara hatukumbushi deni LA Taifa, inajenga shule deni tunalipause, serikali inajenga zahanati hatukumbushi ndege lakini zikinunuliwa bombardier tu nongwa. Ethiopia wana madeni lakini wananunua ndege.

Ngosha pigs Kazi watakao geuka mawe wacha wageuke mawe... Hapa Kazi Tu wings to Kilimanjaro
 
Gambas ni shida, wako kama baba lao vile, anyway najua umeingiza siku tayari, naona watoto wataenda haja, ila mnawakumbuka wale vijana wenu maana wanalalamika ni miezi mitatu sasa hawajalipwa mshahara halafu hela za chama mnazitumia kuhongana.
 
-Ndege yetu mpya ya dreamline.
-Flyover ya Tazara.
-SGR.
-Flyover ya ubungo.
-Airport ya Chato.
-Uhuru wa kujielezea upo.
-Stigler Gorge.
-Kinyerezi Gas.
-Mabarabara ya kumwaga.
-Makampuni binafsi mambo yao yako vizuri sana siku hizi.
-Maisha ya watanzania hatimaye yamekuwa rahisi sana.

Jamani watanzania wazalendo, ebu ongezeeni mengine humu. Kweli hii sirikali ni kiboko hata Pascal Mayalla anajua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…