Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Siongelei ujinga wenu wa Siasa za kijinga isitoshe hakuna aliyezuiwa kufanya Siasa ila kuna ,,limitations” zimewekwa kwa wale waliochaguliwa ili watimize kile ambacho walichaguliwa kukifanya.
Hapo naongelea nchi inavyokwenda vizuri!
Hizo limitations zipokisheria?huwezi tunga sheria kwa makatazo au amri sheria hujadiliwa bungeni na kupiyishwa na mwisho kusainiwa kutumika,bila hivyo limitayions zinasheria?
 
Amefanyia MSc yake Manchester UK
 
Kasi ya Magufuli?😂
Kujenga daraja Tazara
Kujenga Chatto International Airport
Kujenga mahakama hewa ya ufisadi
Kununua ndege 4
Kuna watu ambao idea yao ya maendeleo ni ya enzi ya mawe
Nyerere alifanya maradufu kuliko haya na je yalitufikisha kidato cha kati?
Ushamba mzigo
 
No one can be as good as Magufuli in Africa.
His leadership is full of transparency,let all African leaders Have a look on that. We admire that
stealing 1.5T buying planes ,chato airport without the parliament approval then you say transparency?
 
kwambie aruhusu mikutano ya kisasa kama katiba na sheria inavyosema!!
 
stealing 1.5T buying planes ,chato airport without the parliament approval then you say transparency?
Ni watoto wa shue ya msingi tu ndo wanaweza kuandika na kufikiri kama ulivyoandika. Pole sana dada.
 
No one can be as good as Magufuli in Africa.
His leadership is full of transparency,let all African leaders Have a look on that. We admire that
Pumbavu (siyo tusi usikasirike) transparency alimwambia nani kuwa anajenga chato, ananunua ndege, anamficha nani makusanyo ya TRA, and many many others. Unajua transparency, labda kama unatania au unamdhihaki.. unam ridicule!
 
stealing 1.5T buying planes ,chato airport without the parliament approval then you say transparency?
Dah!! Jamaa sipati picha alivyokuwa anaandika kiingereza cha kuunga unga jasho lilivyokuwa linakutoka.

Ungeandika kiswahili tu ungeeleweka mkuu.
 
His leadership is full of transparency,
Transparency!!!? God forbid!!
What about
-Tshs 1.5 trillion?
-the 3 storey-building for TRA in Chato?
-the Chato International Airport?
-the mega constructions of referral hospital in Chato, tarmac roads fully decorated by traffic lights in Chato, e.t.c
 
Pamoja na kuwa hujatuongezea mshahara watumishi, siachi kukushukuru kwa mambo makubwa unayofanya. Naona nchi yetu inapoelekea, tutakuwa mbali sana. Hii miundombinu ya SRG, ndege na miundombinu ya usafiri mijini ni moja ya vitu ambavyo vitatufanya tupate maendeleo ya kasi sana.
Pia serikalini watumishi tumekuwa na nidhamu zaidi ya sector binafsi, pamoja na udogo wa mshahara. Japo kuna changamoto za wakurugenzi baadhi na wakuu wa wilaya ila naamini una mkono mrefu zaidi unajua cha kufanya.
Mwaka 2020 ntakuwa wa kwanza kushuhudia uwezo na nguvu zako, nakuunga mkono 100% raisi wangu. Nakuombea Mungu akupe maisha marefu uweze kudumu, na kutufikisha unapotaka tufike.
Kuna siku wasiokubali watashuhudia ulichofanya.
Viva Magufuli, Viva JPM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…