Super Handsome
JF-Expert Member
- Jul 16, 2013
- 3,844
- 6,448
Utampa wewe na shangazi yako labda..ila wewe si msemaji wa Wa Tanzania..kenge wa madoa!Kama wewe sio mpumbavu kaongozwe hama nchi. Ila huyu ndo tunamwamini na tutampa tena urais mpaka achoke
Utatukana sana ms*nge wewe ila ukweli utasimama daima. Inawezekana magendo yako yamezibwa unalaumu. Magufuli atapasua hutaki hama nchiUtampa wewe na shangazi yako labda..ila wewe si msemaji wa Wa Tanzania..kenge wa madoa!
Sa hella enz zile za maadaz centi moja kweli???Kumbukeni dukani hatuendi na kadi za ccm.
uchumi unakuwa nondo 12 mm ni 21,000.
Hii bei haijawahi kutokea kuanzia Nyerere mpaka kikwete.
Hivi ndo wewe uliambiwa naniliu,kikojoleo cha mama ako kina funza,au sio wewe nimekufananisha?Mi mbona nimebadilika naendana na speed ya jiwe.Jpm ukikinzana nae utaishia kuwa mlalamikaji tu.
mmmm humu au?Hivi ndo wewe uliambiwa naniliu,kikojoleo cha mama ako kina funza,au sio wewe nimekufananisha?
Humu humu kuna memba mlikuwa mnarushiana maneno makali aisee inasikitisha sanammmm humu au?
Magufuli anaiua CCM kifo cha mende. Yan itaanguka na haiaamka milele sababu ya maadili abauowajengea wanachama wake. Yan maadili ya Rushwa, roho mbya, unafiki na kujipendekeza kwa wakubwa bila kujali utashi wa kazi au uongozi.
May be lakini tambua humu pia kuna wehu japokuwa panaitwa home of great thinkerHumu humu kuna memba mlikuwa mnarushiana maneno makali aisee inasikitisha sana
Ikiwemo wewe mwenyewe maana ulitukana matusi makubwa sanaMay be lakini tambua humu pia kuna wehu japokuwa panaitwa home of great thinker
Binadamu ni kiumbe cha ajabu sana kisichosaidika kwa lolote,kila jambo linapotokea Duniani huwa lina maana yake,liwe baya au zuri.
Binadamu anapenda mazuri tu hapendi mabaya,Binadamu hajui kuwa ni lazima augue ili Daktari apate ajira.
Ni lazima atende jinai ili askari wapate ajira,kifupi ni kwamba mazuri na mabaya yote yana faida sawa.
Wakati nafundishwa Biashara ya FOR EX nilikula hasara hadi nikawa nashinda njaa,kwanini nili ing'ang'ania Sana hiyo Biashara ?
Wakati nasoma Business administration, lecturer wangu alikuwa akinieleza kuwa " where there's big loss there's also big profit ".
Leo hii nikiangalia nyuma nabaki kuishangaa Dunia na maajabu yake, hivi ndiye Mimi wiseboy. Ambaye Leo hii nakula nachotaka kwa Sababu ya faida ya Biashara iliyowahi kunipa hasara hadi nikataka kujiua?
Kama hayati Nelson Mandela asingefungwa miaka zaidi ya 25 Leo hii hakuna mweusi ambaye angekuwa rais South Africa, kama kusingekuwa na Bahari Ndege zisingekuwepo.
Kila jambo na maana yake chini ya jua.
Sifa kubwa ya Bomu ni kwamba,pale linapokutana na upinzani,yaani sehemu ambayo linataka kuilipua inapokuwa ngumu zaidi na Bomu nalo huwa linaongeza uwezo wa kulipua yaani huwa linapata nguvu zaidi.
Sasa hivi watu wanapiga kelele eti Rais Magufuli anaua upinzani,anaua vipi upinzani wakati ndo anaupa nguvu upinzani?
Hata yeye anajua fika kuwa upinzani ndo unapata nguvu zaidi na siyo kufa.
Sasa ubaya wake uko wapi?
Nawapa Home work ya miaka 15 ijayo au 20 kwa wabishi.
Kama Una watoto watatu kwa mfano,mtenge mtoto mmoja,mnyanyase,usimsomeshe na kama vipi mfukuze hata nyumbani.
Baada ya miaka kadhaa utakuja kuona ni nani kabarikiwa kimaisha kati ya Huyo uliyekuwa ukimnyanyasa na hao uliokuwa ukiwapenda.
Narudia tena kila jambo lina maana yake chini ya jua,ni lazima wachungaji wapigwe ili kondoo watawanyike na hapo ndo watapata Green pasture.
Huwezi kufanikiwa kibiashara bila kupata loss kubwa.
Huwezi kushinda vita kubwa bila adui yako kukuelemea.
Mtabaki kulalamika tu,"ooh anaua upinzani " kumbe uwepo wake ni mpango wa Mungu ili wapinzani wachukue dola.
Formula ya Mungu si formula ya mwanadamu.
Niia za Mungu si njia za mwanadamu,mawazo ya Mungu si mawazo ya mwanadamu.

mmm mbona sikumbuki mkuu ilikuwa mada gani waweza nipa screen shotIkiwemo wewe mwenyewe maana ulitukana matusi makubwa sana