Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mtoa mada una undugu na yule @Rayyoung shoga/punga wa humu jf?
 
Hahahaha wadau wamechachamaaa. Nilipoona uzi ni wa 2015 nimeacha kukomenti ya moyoni.
 
Binafsi naona Kuna mabadiliko makubwa. Mengimazuri Lakin pia yapo makosa yalofanywa.Rushwa semu za kazi imepungua sana, angalau watu wamekua waoga. kulinganisha na Tawala zizopita. Makosa yalofanywa na watawala waliotangulia hayapaswi kutengeneza lawama kwautawala huu. Pili Ile tabia ya kutapanya imepungua sana. Watu wanatumiahela kwa adabu . Kodi zinakusanywa tofauti na Huku tulikotoka. Na je vipi kuhusu Air Tanzania yetu mpya? Mwisho ningependa kutoa ushauri kwa wananchi wenzangu, pia vyama pinzani. Linapofanyika jema tusifu,badala ya kila kukicha kulalama tuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi nimpongeze JP maana GPA sasa imepaa kutoka GPA ya 5 hadi GPA ya 32.
 
Kwa wale wanaotumia bandari ya Dar es salaam watakubaliana na Mimi kwamba watumiaji wa bandari yetu wameongezeka kwa siku za hivi karibuni Jambo linalopelekea wenye malori tumeanza kupata kazi za kufanya.

Ni matumaini yangu kuwa tutazidi kuwali da wafanyabiashara wa ndani na nje pamoja na kupunguza kwa vitendo vizuizi vya barabarani ili kurejesha wale wote wanaotumia bandari za jirani kuanza kutumia bandari yetu.

Aidha, Ni maoni yangu kuwa tutakuja mkakati wa kujenga ring roads morogoro na Dodoma kuepusha magari kupita katikati ya miji mikuu ikienda sambamba na barabara ya kutoka bandarini kupitia mitaa ya mbagala hadi kibaha kuepusha foleni.

Mwisho nimshukuru Mhe.Rais kwa kazi nzuri ya kujenga nchi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kusema tu haitoshi ni vyema ukaweka sawa au kujazia nyama.

Zamani kwa siku zilikuwa zinatia meli nanga ngapi na kwa sasa ikoje kwa siku.
Kwa mwezi zamani tulipokea Meli ngapi na kwa sasa tunapokea ngapi.
Sababu ipi(kipi kimeongezeka) imeongeza idadi hiyo ya mizigo na meli.
Je mizigo mingi ni transit au ni ya ndani?
 
Kusema tu haitoshi ni vyema ukaweka sawa au kujazia nyama.

Zamani kwa siku zilikuwa zinatia meli nanga ngapi na kwa sasa ikoje kwa siku.
Kwa mwezi zamani tulipokea Meli ngapi na kwa sasa tunapokea ngapi.
Sababu ipi(kipi kimeongezeka) imeongeza idadi hiyo ya mizigo na meli.
Je mizigo mingi ni transit au ni ya ndani?
Nyie mnaporopokaga humu JF huwa mnaweka SAWA Takwimu!?
 
namba hazidanganyi hata sisi tunafurahi kusikia hilo ila.bila namba hujatushawishi. tukipata namba tunatoa contena za makonda
 
Ndio umemaliza au utaendelea?
Jf ya siku hizi imejaa wajinga wajinga tupu.
 
Back
Top Bottom