Acha uvivu u focus kupata ajira kwenye hiyo miradi!Weee masopakyindi weee wenzako tunateseka huku mtaani acha tu
Sawa. Subiri tukutafutie WilayaTangu 1961 tulipopata uhuru hadi 2016 tulikuwa na vituo vya afya nchi 115 nchi nzima, Katika Mwaka wa fedha 2017/ 2018 pekee Serikali ya CCM chini ya Rais Magufuli imejenga vituo vya afya vyevye uwezo wa kufanya upasuaji 208.
Tubishane yote kuhusu Serikali hii ila sio suala la maendeleo
*Ni Record Breaker*
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipo nchi gani hivyo vituoTangu 1961 tulipopata uhuru hadi 2016 tulikuwa na vituo vya afya nchi 115 nchi nzima, Katika Mwaka wa fedha 2017/ 2018 pekee Serikali ya CCM chini ya Rais Magufuli imejenga vituo vya afya vyevye uwezo wa kufanya upasuaji 208.
Tubishane yote kuhusu Serikali hii ila sio suala la maendeleo
*Ni Record Breaker*
Sent using Jamii Forums mobile app
Umesahau na viwanda zaidi ya 3000 vilivyojengwa kwa mwaka mmoja na kumaliza kabisa tatizo la ajira nchini humo. Maana wote wameajiriwa, hopitali nyingi zimejengwa licha ya hivyo vituoTangu 1961 tulipopata uhuru hadi 2016 tulikuwa na vituo vya afya nchi 115 nchi nzima, Katika Mwaka wa fedha 2017/ 2018 pekee Serikali ya CCM chini ya Rais Magufuli imejenga vituo vya afya vyevye uwezo wa kufanya upasuaji 208.
Tubishane yote kuhusu Serikali hii ila sio suala la maendeleo
*Ni Record Breaker*
Sent using Jamii Forums mobile app