Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mleta mada ni kati ya vijana wapya wa Ndugai maana kajiunga jana tu ana post 29
vijana 8000 hahahaha wanahamia ccm kuunga mkono juhudi za maendeleo ama kuomba ajira kupitia ccm baada ya kuona ukiwa huungi juhudi (ambazo hazipo kwa maono yangu) hupati ulaji
 
Shida inatumika nguvu kubwa kusapot kitu cha kipumbavu

Nguvu kazi iyo ingeelekezwa katika mambo ya msingi miaka kadhaa tungekuwa mbali

Ila kinacho furaisha yeye kusapotiwa ni sahihi ila wengine sio jambo nzur

Panya road supot magufur
 
Ndiyoooooooooo
Shida inatumika mguvu kubwa kusapot kitu cha kipumbavu

Nguvu kazi iyo ingeelekezwa katika mambo ya msingi miaka kadhaa tungekuwa mbali

Ila kinacha furaisha yeye kusapotiwa ni sahihi ila wengine sio jambo nzur

Panya road supot magufur
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…