Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Magufuli ni very low energy hawezi kazi ya kufichua maovu kwa sababu yeye mwenyewe ni fisadi akiwemo kipenzi chake Rc makonda
 
Tembo na mwanae ni wapigaji wakuu kwa mgongo wa kutetea wanyonge feki wa nchi ya kusadikika.
 
Nimeifuatilia kwa Karibu ziara ya Rais Magufuli katika mikoa ya Mwanza, Simiyu, Mara na Singida kwa kweli kasi ya kuibua maovu na kuyashughulikia kwa haraka imenifurahisha sana. Unapokuwa na Rais aina ya Dr Magufuli hauhitaji mwenge wala wapinzani kufichua uovu, serikali inatosha. Niishie hapo!
Inawezekana usemacho mleta mada lakini mbona trn 1.5 hajafichua zipo wapi au unaona nivisenti kama mlivyo zoea?
 
Wale wote wanaomuunga mkono Mueshimiwa ningewashauri wasubiri mpaka 2020 election wajiengue Kwenye vyama vyao waje huku kwetu tuunganishe nguvu Kwa pamoja.
Kinachofanyika Kwa sasa mnachelewesha maendeleo ya watanzania. Kwani pesa tunazotumia Kwa chaguzi ni pesa nyingi Sana.
Kwaa maana hiyo kumuunga mkono Mueshimiwa ilihali tunapoteza mabilioni ya hela Kwenye chaguzi za marudio huko si kumuunga mkono Bali ni kumrudisha nyuma katika safari yake ya maendeleo ya Tanzania ya viwanda. Hizo hela zingetumika Kwenye shughuli nyingine za kimaendeo. Please tuvute subiraa. Hawa hawatuwezi tenaa. Huko huko tulipo tumsapoti Kwa asilimia 200.
Ni wazo tuu
 
Ni wajinga tu ndio wanaamini haya maigizo!

Kaja na siasa zake za ajabuajabu alafu wanadai eti wananchi wanamuunga mkono!
 
Wale wote wanaomuunga mkono Mueshimiwa ningewashauri wasubiri mpaka 2020 election wajiengue Kwenye vyama vyao waje huku kwetu tuunganishe nguvu Kwa pamoja.
Kinachofanyika Kwa sasa mnachelewesha maendeleo ya watanzania. Kwani pesa tunazotumia Kwa chaguzi ni pesa nyingi Sana.
Kwaa maana hiyo kumuunga mkono Mueshimiwa ilihali tunapoteza mabilioni ya hela Kwenye chaguzi za marudio huko si kumuunga mkono Bali ni kumrudisha nyuma katika safari yake ya maendeleo ya Tanzania ya viwanda. Hizo hela zingetumika Kwenye shughuli nyingine za kimaendeo. Please tuvute subiraa. Hawa hawatuwezi tenaa. Huko huko tulipo tumsapoti Kwa asilimia 200.
Ni wazo tuu

kanisaidia mimi mnyonge mpaka ni meweza kupanga upande sinza,si miaka hile ya mikodi kama tuna komoana
 
Kuunga juhudi ni dalili ya kutetea matumbo yao

Kuacha kiti ulicho aminiwa na wannchi ni kuwa wewe ni zaidi ya kilaza
 
Sisi wenyewe cdm ndo mpango wetu huo, tunawaambia waje huko ccm kimkakati
 
Marehemu Kenyatta alinena kuhusu kuwaongoza Watanzania...siku tukijaliwa kujua hasara na faida tutafika mbali sana.
 
Uchumi wakat hautakuwepondani ya miaka mitano. Huwa ina chukua miaka mingi zaidi ya hiyo.
Na si kweli kila anaempinga ni mvivu, ni mpiga dili hapana. Wengine ni watu wema kabisa wenye maisha yao mazur.. wanamkosoa pale anapokosea maana si kila kitu anapatia.

Niseme tu magufuli ni mtendaji mzuri lakin si mwanasiasa mzuri.
Binafsi nimefurahishwa na kasi ya Dkt. Magufuli. Naamini wapo pia wengi wanaoungana nami katika furaha hii. Magufuli ameanza kwa kasi ambayo kama ataimaintain, Tanzania haimalizi miaka mitano itakuwa tayari ni nchi yenye kipato cha kati.

Hata hivyo wapo baadhi yetu ambao wanakejeli kasi hiyo. Hao kwangu ni watu waliozoea ubwete na bora liende!. Wanamwona Magufuli kuwa ni mtu atakayekuwa kauzibe kwao!

Wapigaji wote, wavivu wote na wazee Wa madili wote watamchukia Magufuli ila mi niseme na niwaombe tu kwamba tumpe support huyu jamaa kiukweli atatufikisha mahali Fulani!

Tuwafichue wote wanapanga kumhujumu (najua wanajulikana), tuwakatae kwani hawana nia njema na taifa letu.

Habari zaidi, soma =>Toka kwa Wananchi: Kero na Vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa...
 
Back
Top Bottom