Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
VIDEO: Vijana Mbagala wamvaa Magufuli, Vijana Zaidi ya 8000 Kujiunga CCM VIDEO: Vijana Mbagala wamvaa Magufuli, Vijana Zaidi ya 8000 Kujiunga CCM - MUUNGWANA BLOG
vijana 8000 hahahaha wanahamia ccm kuunga mkono juhudi za maendeleo ama kuomba ajira kupitia ccm baada ya kuona ukiwa huungi juhudi (ambazo hazipo kwa maono yangu) hupati ulaji
hahhaha naamini tukikubana kwa maswali utajibu "mimi ni kichaa"Sema watu wote Tanzania watajiunga ccm nini 8000?
Mbagara 2 ccmWanahamia kutokea wapi?
VIDEO: Vijana Mbagala wamvaa Magufuli, Vijana Zaidi ya 8000 Kujiunga CCM VIDEO: Vijana Mbagala wamvaa Magufuli, Vijana Zaidi ya 8000 Kujiunga CCM - MUUNGWANA BLOG
Tuliambiwa hakuna siasa hadi 2020 kama ndio ivo basi aachie na wengine wafanye ivo!
hahhaha naamini tukikubana kwa maswali utajibu "mimi ni kichaa"
Hii movie niliwahi kuitabiri
Lini mkuuHii movie niliwahi kuitabiri
Hii ndio kazi ya serikali "sikivu"?
Shida inatumika mguvu kubwa kusapot kitu cha kipumbavu
Nguvu kazi iyo ingeelekezwa katika mambo ya msingi miaka kadhaa tungekuwa mbali
Ila kinacha furaisha yeye kusapotiwa ni sahihi ila wengine sio jambo nzur
Panya road supot magufur
WATCH
[IMG]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/509/509468.jpg?1538127689[/IMG]
Kampungapunga
Member
Joined Sep 27, 2018
KUMBE NI MEMBER MPYA WEWE