Kama Dr Mihogo?Mimi ni mstaafu mkuu!
Labda. Mafisadi dagaa,wale wenye tuzo kubwa za ufisadi wako nje,dagaa wako ndaniHivi kumbe kazi mojawapo ya mwenge ni kufichua mafisadi?
Inategemea unatawala watu au maiti.Kila dikteta duniani anaamini anatosha mpaka pale akichokwa na iko siku wanachokwa
Inawezekana usemacho mleta mada lakini mbona trn 1.5 hajafichua zipo wapi au unaona nivisenti kama mlivyo zoea?Nimeifuatilia kwa Karibu ziara ya Rais Magufuli katika mikoa ya Mwanza, Simiyu, Mara na Singida kwa kweli kasi ya kuibua maovu na kuyashughulikia kwa haraka imenifurahisha sana. Unapokuwa na Rais aina ya Dr Magufuli hauhitaji mwenge wala wapinzani kufichua uovu, serikali inatosha. Niishie hapo!
Wale wote wanaomuunga mkono Mueshimiwa ningewashauri wasubiri mpaka 2020 election wajiengue Kwenye vyama vyao waje huku kwetu tuunganishe nguvu Kwa pamoja.
Kinachofanyika Kwa sasa mnachelewesha maendeleo ya watanzania. Kwani pesa tunazotumia Kwa chaguzi ni pesa nyingi Sana.
Kwaa maana hiyo kumuunga mkono Mueshimiwa ilihali tunapoteza mabilioni ya hela Kwenye chaguzi za marudio huko si kumuunga mkono Bali ni kumrudisha nyuma katika safari yake ya maendeleo ya Tanzania ya viwanda. Hizo hela zingetumika Kwenye shughuli nyingine za kimaendeo. Please tuvute subiraa. Hawa hawatuwezi tenaa. Huko huko tulipo tumsapoti Kwa asilimia 200.
Ni wazo tuu
SureTuko naye rais wetu make hii ni kwa faida yetu na vizazi vyetu
Binafsi nimefurahishwa na kasi ya Dkt. Magufuli. Naamini wapo pia wengi wanaoungana nami katika furaha hii. Magufuli ameanza kwa kasi ambayo kama ataimaintain, Tanzania haimalizi miaka mitano itakuwa tayari ni nchi yenye kipato cha kati.
Hata hivyo wapo baadhi yetu ambao wanakejeli kasi hiyo. Hao kwangu ni watu waliozoea ubwete na bora liende!. Wanamwona Magufuli kuwa ni mtu atakayekuwa kauzibe kwao!
Wapigaji wote, wavivu wote na wazee Wa madili wote watamchukia Magufuli ila mi niseme na niwaombe tu kwamba tumpe support huyu jamaa kiukweli atatufikisha mahali Fulani!
Tuwafichue wote wanapanga kumhujumu (najua wanajulikana), tuwakatae kwani hawana nia njema na taifa letu.
Habari zaidi, soma =>Toka kwa Wananchi: Kero na Vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa...