Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Ni kweli kabisa walahi
Tutembee kifua mbele Watanzania walahi
 
Reactions: UCD
Kweli mkuu!
 
inawezekana uko sahihi,ila mapungufu ya huu waraka wako ni kukosekana kw comparative criteria,,,,,,Je kidiplomasia umetumia vgezo gani ukilinganisha na nchi gani katka zama au nyakati zipi??et mtangazaji wa kinigeria amethibitisha???inamaana mm milard ayo akimfagilia rais wa Croatia anakuwa amewakilisha mawazo na msimamo wa nchi???ww ni mjinga sana,,,,et kidemokrasia amefanyje???nlikuwaga simwelewi genta,kumbe mapopoma ni watu kama ww
 
Mungu ibariki JF
 
Na wanamwogopa kama Ebora ila tunahitaji kuwa makini si tu na wazungu bali hata waafrika make wazungu wanaweza wakamtumia mweusi mwenzetu kumaliza kazi yao dhidi ya rais wetu
 
Umeshiba trillion 1.5 kojoa ukalale
 
Kumtaja haimanishi kuonesha ubora wake.Waje waishi nae wajue njaa iliyopo mtaani kwanza.
 

Africa hakuna hata nchi moja yenye serekali bora. Basi hii ya kwetu ni bora kwenye hizo nchi zenye serekali mbovu. Kwa maneno marahisi kwenye hizo serekali mbovu yetu ina afadhali.
 
Ni kweli mkuu,CHADEMA ndo imeleta umaskini mkubwa sana Tanzania halafu wanaisingizia CCM.
Halafu Magufuli ndo Rais pekee Africa nzima na Duniani ambaye hana dhambi yoyote ile,ni wiki iliyopita tu alipigiwa simu na mungu na kupongezwa kwa utakatifu wake.
Hata Trump na Angela Merkel wanataka kuja Tanzania kujifunza Demokrasia na utawala bora.
Magufuli Oyeeeeeeee..........
 
Wera Weraaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…