Wycliff_Lowassa
JF-Expert Member
- Nov 27, 2016
- 436
- 611
Sawa KICHAA KONKY KONKY KONKY OIL CHAFU Tumekusikia.
Donna Kantre
Donna Kantre
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli mkuu!Chini ya Rais John Pombe Joseph Magufuli, Tanzania imepaa juu sana Kidiplomasia, kiuchumi, Kidemokrasia, katika medani za Kimataifa.
Nchi nyinyi sana utasikia zinamtaja JPM kama Rais bora kuwahi kutoka Afrika, na nchi nyingine zimefikia hatua ya kumuomba angalao akawe Rais katika nchi zao angalao kwa miezi mitatu tu.
Mwandishi na mtangazaji mmoja wa kike kutoka Nigeria (ke), alithibitisha haya.
inawezekana uko sahihi,ila mapungufu ya huu waraka wako ni kukosekana kw comparative criteria,,,,,,Je kidiplomasia umetumia vgezo gani ukilinganisha na nchi gani katka zama au nyakati zipi??et mtangazaji wa kinigeria amethibitisha???inamaana mm milard ayo akimfagilia rais wa Croatia anakuwa amewakilisha mawazo na msimamo wa nchi???ww ni mjinga sana,,,,et kidemokrasia amefanyje???nlikuwaga simwelewi genta,kumbe mapopoma ni watu kama wwChini ya Rais John Pombe Joseph Magufuli, Tanzania imepaa juu sana Kidiplomasia, kiuchumi, Kidemokrasia, katika medani za Kimataifa.
Nchi nyinyi sana utasikia zinamtaja JPM kama Rais bora kuwahi kutoka Afrika, na nchi nyingine zimefikia hatua ya kumuomba angalao akawe Rais katika nchi zao angalao kwa miezi mitatu tu.
Mwandishi na mtangazaji mmoja wa kike kutoka Nigeria (ke), alithibitisha haya.
Mungu ibariki JFChini ya Rais John Pombe Joseph Magufuli, Tanzania imepaa juu sana Kidiplomasia, kiuchumi, Kidemokrasia, katika medani za Kimataifa.
Nchi nyinyi sana utasikia zinamtaja JPM kama Rais bora kuwahi kutoka Afrika, na nchi nyingine zimefikia hatua ya kumuomba angalao akawe Rais katika nchi zao angalao kwa miezi mitatu tu.
Mwandishi na mtangazaji mmoja wa kike kutoka Nigeria (ke), alithibitisha haya.
Umeshiba trillion 1.5 kojoa ukalaleChini ya Rais John Pombe Joseph Magufuli, Tanzania imepaa juu sana Kidiplomasia, kiuchumi, Kidemokrasia, katika medani za Kimataifa.
Nchi nyinyi sana utasikia zinamtaja JPM kama Rais bora kuwahi kutoka Afrika, na nchi nyingine zimefikia hatua ya kumuomba angalao akawe Rais katika nchi zao angalao kwa miezi mitatu tu.
Mwandishi na mtangazaji mmoja wa kike kutoka Nigeria (ke), alithibitisha haya.
Kurudia chaguzi kwa gharama kubwa ndiyo inakupa sifa ya kutembea kifua mbele?Ni kweli kabisa walahi
Tutembee kifua mbele Watanzania walahi
Kumtaja haimanishi kuonesha ubora wake.Waje waishi nae wajue njaa iliyopo mtaani kwanza.Chini ya Rais John Pombe Joseph Magufuli, Tanzania imepaa juu sana Kidiplomasia, kiuchumi, Kidemokrasia, katika medani za Kimataifa.
Nchi nyinyi sana utasikia zinamtaja JPM kama Rais bora kuwahi kutoka Afrika, na nchi nyingine zimefikia hatua ya kumuomba angalao akawe Rais katika nchi zao angalao kwa miezi mitatu tu.
Mwandishi na mtangazaji mmoja wa kike kutoka Nigeria (ke), alithibitisha haya.
Chini ya Rais John Pombe Joseph Magufuli, Tanzania imepaa juu sana Kidiplomasia, kiuchumi, Kidemokrasia, katika medani za Kimataifa.
Nchi nyinyi sana utasikia zinamtaja JPM kama Rais bora kuwahi kutoka Afrika, na nchi nyingine zimefikia hatua ya kumuomba angalao akawe Rais katika nchi zao angalao kwa miezi mitatu tu.
Mwandishi na mtangazaji mmoja wa kike kutoka Nigeria (ke), alithibitisha haya.
Sisi chadema tunatembea kifua mbele kwa kuwa na mwenyekiti wa milele; aka mfalme. Hakuna gharama za uchaguzi.Kurudia chaguzi kwa gharama kubwa ndiyo inakupa sifa ya kutembea kifua mbele?
Ni kweli mkuu,CHADEMA ndo imeleta umaskini mkubwa sana Tanzania halafu wanaisingizia CCM.Chini ya Rais John Pombe Joseph Magufuli, Tanzania imepaa juu sana Kidiplomasia, kiuchumi, Kidemokrasia, katika medani za Kimataifa.
Nchi nyinyi sana utasikia zinamtaja JPM kama Rais bora kuwahi kutoka Afrika, na nchi nyingine zimefikia hatua ya kumuomba angalao akawe Rais katika nchi zao angalao kwa miezi mitatu tu.
Mwandishi na mtangazaji mmoja wa kike kutoka Nigeria (ke), alithibitisha haya.
Kabisa walahi,ni rais bora kuliko wote Duniani walahi.Ni kweli kabisa walahi
Tutembee kifua mbele Watanzania walahi
Wera WeraaaChini ya Rais John Pombe Joseph Magufuli, Tanzania imepaa juu sana Kidiplomasia, kiuchumi, Kidemokrasia, katika medani za Kimataifa.