blazamen Beira sio wa ccm labda upinzani!Wanasiasa bhana yaan kama wanyama Wa mwituni nyie kila siku kuparuana tu
Tofaut ya jk na magufuli ni kudili na wapinzani tu vingine hamna cha maana alichofanya ajira hakuna? Mishahara hakuna? Uchumi upo icuKumchagua Membe ni kurudi kule kule kwa JK..Big No
waulize wenzakoIshu ilikuwaje?
Hebu dokeza kidogo mkuu.
kama mko siriazi kuhusu ukombozi si kwa njia hii mnafeli ndugu zanguKwani unadhani yameisha? Tunasubiri drama yenu ya mashoga iishe TUANZE kumkumbusha mheshimiwa Membe wajibu wake wa kutukomboa,Na kuwataka mtutajie waliomteka Mo.
kwakweli hapa watanzania watafeli saana ni bora ccm isitawale tena wala chembe chembe zakeKumchagua Membe ni kurudi kule kule kwa JK..Big No
Heshima kwenu wana JF pamoja na Mh. Magufuli,
bandiko hili nalitoa maalumu kwa rais wetu wa Tanzania kwakufanikiwa kuwapoteza maboya wale woote wanaotumika kwakujua ama kutokujua na genge linalojifanya kumnadi Bwana Membe.
nampongeza saana kwakua nia yao ilikua kumgombanisha Mh. Rais na bwana Membe au kumfanya Mh. Rais kuishi kwa wasiwasi hata kumpelekea kufanya maamuzi mabaya kwakuhofia kupinduliwa.
Nampongeza saana kwakua kilichokua kikiendelea kuhusu genge la Bwana Membe ni Uhaini tena wa kitoto na kijinga ndio sababu Mh rais wetu ngangali akalipuuzia kwakua si saizi yake kutokana nakua na idara ngangari ndani ya chama na serikali.
najua Bwana Membe wala hausiki na ninafurahi kwakua Rais na mwenyekiti wa ccm amefahamu fitina hizi zinazotengenezwa na wahanga wa maamuzi yake.
Kweli ccm ni imara ccm ni moja tena katika umoja iogope pita mbali kabisa usihadaike na kauli ya siku moja ya mwana ccm akikiponda chama chake juu watakaa na chama chake watayamaliza na kesho anasifia.
Pole kwa upinzani kwakuingia kwenye huu mtego mkidhani kwamba kwa mara nyingine ccm itajibomoa tena... nawaambia kama mlivyodhani 2015 ikashindikana msitegemee njia hio hio 2020 itawezekana.
ccm ni itikadi yaani kunywa maji ya bendera msipotegemea nguvu zenu wenyewe kuiondoa ccm basi mtaitwa upinzani mpaka mwisho wa dahari.
nawatakia;
siasa safi na kazi njema!
jidanganyeni muache kuwekeza akili zenu kwenye maendeleoNdio Maana akamtuma Bashite aje na filamu ya ushoga ku Spin Mambo,movie ikiisha tuna resume na ya Membe.
Mzee zile siku mbili zilimtesa sana
Wewe una Maendeleo gani ?jidanganyeni muache kuwekeza akili zenu kwenye maendeleo
Hivi wenzetu huwa mnagawa uhai na Mungu au hii jeuri ya mtu mzee kumpa uhakika wa kuishi muda wote huu bila kufa mnaitowa wapi?Hao Vibaraka na wakosa kazi walisha dharaulika kitambo sana
Magu Rais mpaka 2025
Tuko kwenye issue ya mashoga kwanza, serikali kama iko mnara wa Babeli.Tutakuja na lingine.
Kwaya nyingine ya mapambio.Heshima kwenu wana JF pamoja na Mh. Magufuli,
bandiko hili nalitoa maalumu kwa rais wetu wa Tanzania kwakufanikiwa kuwapoteza maboya wale woote wanaotumika kwakujua ama kutokujua na genge linalojifanya kumnadi Bwana Membe.
nampongeza saana kwakua nia yao ilikua kumgombanisha Mh. Rais na bwana Membe au kumfanya Mh. Rais kuishi kwa wasiwasi hata kumpelekea kufanya maamuzi mabaya kwakuhofia kupinduliwa.
Nampongeza saana kwakua kilichokua kikiendelea kuhusu genge la Bwana Membe ni Uhaini tena wa kitoto na kijinga ndio sababu Mh rais wetu ngangali akalipuuzia kwakua si saizi yake kutokana nakua na idara ngangari ndani ya chama na serikali.
najua Bwana Membe wala hausiki na ninafurahi kwakua Rais na mwenyekiti wa ccm amefahamu fitina hizi zinazotengenezwa na wahanga wa maamuzi yake.
Kweli ccm ni imara ccm ni moja tena katika umoja iogope pita mbali kabisa usihadaike na kauli ya siku moja ya mwana ccm akikiponda chama chake juu watakaa na chama chake watayamaliza na kesho anasifia.
Pole kwa upinzani kwakuingia kwenye huu mtego mkidhani kwamba kwa mara nyingine ccm itajibomoa tena... nawaambia kama mlivyodhani 2015 ikashindikana msitegemee njia hio hio 2020 itawezekana.
ccm ni itikadi yaani kunywa maji ya bendera msipotegemea nguvu zenu wenyewe kuiondoa ccm basi mtaitwa upinzani mpaka mwisho wa dahari.
nawatakia;
siasa safi na kazi njema!
unauliza maendeleo yangu wakati sisi ndio tunapanga ule nini uishi vip?? jiangalie wewe warrior keyboard!!Wewe una Maendeleo gani ?
You sound Poor & Ignorant,Most Probably you are also Sick
unauliza maendeleo yangu wakati sisi ndio tunapanga ule nini uishi vip?? jiangalie wewe warrior keyboard!!
mkishtuka 2025 na JPm anafanya atakaloTutakuja na lingine.