Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Kwani unadhani yameisha? Tunasubiri drama yenu ya mashoga iishe TUANZE kumkumbusha mheshimiwa Membe wajibu wake wa kutukomboa,Na kuwataka mtutajie waliomteka Mo.
kama mko siriazi kuhusu ukombozi si kwa njia hii mnafeli ndugu zangu
 
Ndio Maana akamtuma Bashite aje na filamu ya ushoga ku Spin Mambo,movie ikiisha tuna resume na ya Membe.
Mzee zile siku mbili zilimtesa sana
Heshima kwenu wana JF pamoja na Mh. Magufuli,

bandiko hili nalitoa maalumu kwa rais wetu wa Tanzania kwakufanikiwa kuwapoteza maboya wale woote wanaotumika kwakujua ama kutokujua na genge linalojifanya kumnadi Bwana Membe.

nampongeza saana kwakua nia yao ilikua kumgombanisha Mh. Rais na bwana Membe au kumfanya Mh. Rais kuishi kwa wasiwasi hata kumpelekea kufanya maamuzi mabaya kwakuhofia kupinduliwa.

Nampongeza saana kwakua kilichokua kikiendelea kuhusu genge la Bwana Membe ni Uhaini tena wa kitoto na kijinga ndio sababu Mh rais wetu ngangali akalipuuzia kwakua si saizi yake kutokana nakua na idara ngangari ndani ya chama na serikali.

najua Bwana Membe wala hausiki na ninafurahi kwakua Rais na mwenyekiti wa ccm amefahamu fitina hizi zinazotengenezwa na wahanga wa maamuzi yake.
Kweli ccm ni imara ccm ni moja tena katika umoja iogope pita mbali kabisa usihadaike na kauli ya siku moja ya mwana ccm akikiponda chama chake juu watakaa na chama chake watayamaliza na kesho anasifia.

Pole kwa upinzani kwakuingia kwenye huu mtego mkidhani kwamba kwa mara nyingine ccm itajibomoa tena... nawaambia kama mlivyodhani 2015 ikashindikana msitegemee njia hio hio 2020 itawezekana.

ccm ni itikadi yaani kunywa maji ya bendera msipotegemea nguvu zenu wenyewe kuiondoa ccm basi mtaitwa upinzani mpaka mwisho wa dahari.

nawatakia;
siasa safi na kazi njema!
 
jidanganyeni muache kuwekeza akili zenu kwenye maendeleo
 
mdogo wake roast tamu yuko nyuma ya nondo usidhani alikua amewapotezea tu amesha anza kushughulika na mmoja mmoja japo kaanzia mbali
 
Heshima kwenu wana JF pamoja na Mh. Magufuli,

bandiko hili nalitoa maalumu kwa rais wetu wa Tanzania kwakufanikiwa kuwapoteza maboya wale woote wanaotumika kwakujua ama kutokujua na genge linalojifanya kumnadi Bwana Membe.

nampongeza saana kwakua nia yao ilikua kumgombanisha Mh. Rais na bwana Membe au kumfanya Mh. Rais kuishi kwa wasiwasi hata kumpelekea kufanya maamuzi mabaya kwakuhofia kupinduliwa.

Nampongeza saana kwakua kilichokua kikiendelea kuhusu genge la Bwana Membe ni Uhaini tena wa kitoto na kijinga ndio sababu Mh rais wetu ngangali akalipuuzia kwakua si saizi yake kutokana nakua na idara ngangari ndani ya chama na serikali.

najua Bwana Membe wala hausiki na ninafurahi kwakua Rais na mwenyekiti wa ccm amefahamu fitina hizi zinazotengenezwa na wahanga wa maamuzi yake.
Kweli ccm ni imara ccm ni moja tena katika umoja iogope pita mbali kabisa usihadaike na kauli ya siku moja ya mwana ccm akikiponda chama chake juu watakaa na chama chake watayamaliza na kesho anasifia.

Pole kwa upinzani kwakuingia kwenye huu mtego mkidhani kwamba kwa mara nyingine ccm itajibomoa tena... nawaambia kama mlivyodhani 2015 ikashindikana msitegemee njia hio hio 2020 itawezekana.

ccm ni itikadi yaani kunywa maji ya bendera msipotegemea nguvu zenu wenyewe kuiondoa ccm basi mtaitwa upinzani mpaka mwisho wa dahari.

nawatakia;
siasa safi na kazi njema!
Kwaya nyingine ya mapambio.
Wiki iliyopita tulisikiliza mapambio toka kwaya ya Tumbo kwanza, inayoundwa na ma Propesa wetu maarufu kwa kupofushwa na njaa endelevu.
 
Wewe una Maendeleo gani ?
You sound Poor & Ignorant,Most Probably you are also Sick
unauliza maendeleo yangu wakati sisi ndio tunapanga ule nini uishi vip?? jiangalie wewe warrior keyboard!!
 
Back
Top Bottom