Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Ajira Ajira Ajira Ajira Ajira Ajira Ajira Ajira Ajira Ajira Ajira Ajira Ajira Ajira Ajira Ajira Ajira Ajira Ajira Ajira Ajira Ajira Ajira Ajira

Walimu
Wahasibu
Madr
Manurse
Administrators


Kilimo
Bei za mazao ipo chini japo wakulikma wana tumia gharama kubwa

Afya

Wazee bure ni story za politicians tu

Biashara
Nenda kkoo Saiz flemu zipo tu bila dalali
 
Da Subira the princess,

Mi lazima nimuunge mkono! Ndo hivi ameahidi kununua korosho zetu zote huku Lindi, kwanini nisimuunge mkono!! Tena leo kuna wanunuzi wa korosho nimewasemea mbovu kishenzi... nimewaambia wazi wasitutishe tishe na wasitubabaishe na hivyo vihela vyao manake wasivyofika bei, Mpendwa wetu, Rais Daktari John Joseph Pombe Magufuli atanunua korosho zote!!

Akatokea boya mmoja na yeye anajifanya mnunuzi akahoji eti huyo Magu akinunua hizo korosho atazipeleka wapi! Nilivyomuona juha huyo mchuuzi wa korosho kumbe wala hajui kwamba Rais wetu kipenzi alisema kama vipi, anaweza kuwaagiza hata vijana wa JKT wabangue korosho zote kwa meno!!

Halafu kuna mijitu humu inaniboa kishenzi! Eti oh, JPM mkabila na anapendelea Kanda ya Ziwa! Shenzi taipu! Jina sana nyinyi... wachonganishi wakubwa!

Tangu aingie madarakani mmeshawahi kuona akinunua pamba inayolimwa kanda ya ziwa kama anavyotaka kununua korosho?!

Mnyonge mnyongeni!
 
Magufuli ndiye Mungu wa Tanzania, namuunga mkono for every good that he does for this country.
 
Hapa ndo tuna fail wabongo, he is not the KING he serve us!!

Kumuunga mkono mtumishi kiburi ni UCHIZI!!

Nadhani ugekuja na hoja ya kumuondoa ama kumuwajibisha huyu mtumishi kiburi inge make sense.
 
Great Leaders Aren’t Threatened by Their citizens’ Ideas or Feedback

Great leaders create an environment where people feel safe to speak up. We see this in the “CCM ruling culture” (a culture of continuous improvement). citizens' aren't afraid of being mocked for having a “bad idea” or an idea that doesn't work out in practice. Even a “bad idea” can be the starting point for a better idea to rule our country, i real see this in Magufuli era,

If the President isn't afraid to be wrong, then citizens won't be afraid.

keep it up Magufuli

Bwana mdogo vipi aisee.
Ile Persona non grata kwa balozi wa Umoja wa Ulaya aliitangazwa na nani sasa ? Keep it up and the rest of the team teh teh [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Muunge ww unayelipwa kufanya robbing hatumuungi mkono kutokana na anayo
 
Mkuu unaanza kampeni kabla ya mdaa. Waache watanzania watajua kama watamuunga mkono au mguu
 
Duh! Hilo la Membe na sherehe za u-PM nilikuwa sijalinyaka bado ingawaje nakumbuka wakati ule Membe alitajwa tajwa sana kwenye uwezekano wa kuwa PM! Kama kumbukumbu zangu kama zipo sawa, nadhani nami nilikuwa ni miongoni mwa hao walioutarajia u-PM wa Membe!!

Ila kuna jambo moja bado hadi kesho nakumbuka! JK alipomtaja EL kama PM, ndipo nami nikazinduka na kujiuliza ilikuwaje sikumtilia maanani EL wakati kwa kipindi kile ilikuwa ngumu sana kumtenganisha JK na EL!

But again, I was shocked kuona hakupata nafasi yoyote ya Uwaziri zaidi ya ile ya unaibu! Nadhani JK alifurahi sana Dr. Asha Rose Migiro kwenda UN manake hatimae akapata fursa ya kusawazisha na kutoa nafasi ambayo Membe aliitendea haki!

Halafu la huyo mama... duh! Hebu nimegee kidogo!
Mkuu Chige hili la huyu maza ntakutafuta mwenyewe nikwambie ndugu yangu.
 
Kama hari IPO vzr,acheni wananchi waseme!,kwanini kutumia nguvu,vitisho,kutuaminisha uchumi upo vizuri?sheria za takwimu zinabadirishwa,watu wakipinga,wanafungwa,badala ya hoja zao kujibiwa kwa hoja!!
 
Bwana mdogo vipi aisee.
Ile Persona non grata kwa balozi wa Umoja wa Ulaya aliitangazwa na nani sasa ? Keep it up and the rest of the team teh teh [emoji16][emoji16][emoji16]
Halafu ile juzi nilisahau kukuambia uni-tag endapo angekujibu alimaanisha nini aliposema Roeland ni persona non grata! Sio issue lakini, akikujibu hili la sasa, utani-tag!
 
Mpaka 2020 sawa ili kutokuleta mtafaruku.
Baada ya hapo atuachie nchi yetu.
 
Hakika alivyo ingia madarakani alikuta mambo "vururuu vururu " hakika bila msimamo wake thabiti angetetereka au angekubali yaishee na mambo yangebakia kama kawaida au "business as usual".
Mendeleo/mafanikio tuliyoyapata ktk miaka hii mitatu, kwa mtizamo wangu ni kutokana na namna Rais wetu alivyo jipambanua mwenyewe ktk mambo yafuato;
1. MSIMAMO MADHIBUTI ASIYE KUBALI KUYUMBA WALA KUYUMBISHWA, DAIMA AMEWEKA MASLAHI YA WATANZANIA MBELE.

2. MAKINI NA MFUATILIAJI ASIYE KUBALI KUAMBIWA TU BALI HUJIRIDHISHA MWENYEWE.

3. MZALENDO WA KWELI KWA TAIFA LAKE NA WANANCHI WAKE, AMBAYE AMEJITOA KWA MANUFAA YA WATANZANIA WOTE.

Hongera Rais wetu, endelea kuchapa kazi tuko pamoja,
 
Halafu ile juzi nilisahau kukuambia uni-tag endapo angekujibu alimaanisha nini aliposema Roeland ni persona non grata! Sio issue lakini, akikujibu hili la sasa, utani-tag!
Britanicca ana kibarua kizito sana kuitetea hii serikali aisee
Mhhhhh
 
Back
Top Bottom