Obama wa Bongo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 5,431
- 4,925
Kwan unadhan hawamkubali? Wanamkubali sana sema wanajitoa ufahamu tu.
Magufuli analeta raha ndan ya mioyo ya watanzania anagusa palepale panapowasha.
Najua hata wale ndg zangu Apologise lady , Erythrocyte, wanajilaumu nafsi zao kwann hawakumchagua tingatinga serema
Kwan unadhan hawamkubali? Wanamkubali sana sema wanajitoa ufahamu tu.
Magufuli analeta raha ndan ya mioyo ya watanzania anagusa palepale panapowasha.
Najua hata wale ndg zangu Apologise lady , Erythrocyte, wanajilaumu nafsi zao kwann hawakumchagua tingatinga serema
Hoja yako ni nini?We unaongea hakuna tofauti na mlevi, inamaana magufuli atakuwa na ubavu wa kumpeleka mahakamani kikwete kwa matumizi mabaya ya ofisi kuhusu richmond au umeamua tu kutoa ushuzi humu.
Safi sana kiongozi.Sisi wananchi tupo pamoja nanyi viongozi wetu waandamizi,mbele kwa mbele mpka kieleweke.
Nchi yetu imechelewa sana.
Kwa mara ya kwanza faham zinaanza kuwarudia kuwa magufuli ndio chaguo la wengi ,
Ohh Sijui kura zimeeibiwa ,
Photo shop....
Hawako makini Hao Tanzania daima, hiyo picha ni mkurugenzi wa tpa Mr massawe na aliye kuwa kamishina mkuu wa TRA rished bade.
Sasa wao wanasema huyo ni lusekelo mwaseba naibu kamishina !
Sisomi na sitasoma kamwe migazeti ya Mawio na Mwanahalisi! Sitasoma sitasoma sitanunua. Haiwezekani Kubenea miaka yoooote umekuwa ukiandika maufisadi ya Richmond Lowasa na Sumaye na wengine na kujitapa unaandika habari za kiuchunguzi na una ushahidi wote alaf leo uwe mmoja wa wasafishaji na watakatishaji wa maovu yao. Leo unasema woote wasafi na hakuna ufisadi. Jamii gani tunayotaka kuijenga, ? Jamii ya uongo na utapeli? Waandishi makanjanja kama Kubenea ipo siku watakumbuka uhuni walioufanya. Hawawezi pona siku zote