Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Hawako makini Hao Tanzania daima, hiyo picha ni mkurugenzi wa tpa Mr massawe na aliye kuwa kamishina mkuu wa TRA rished bade.
Sasa wao wanasema huyo ni lusekelo mwaseba naibu kamishina !
 
Kwan unadhan hawamkubali? Wanamkubali sana sema wanajitoa ufahamu tu.

Magufuli analeta raha ndan ya mioyo ya watanzania anagusa palepale panapowasha.

Najua hata wale ndg zangu Apologise lady , Erythrocyte, wanajilaumu nafsi zao kwann hawakumchagua tingatinga serema
 
Last edited by a moderator:

Wapo ambao hawakumchagua yeye si kwa vile hawamkubali yeye personally bali hawaikubali CCM na yeye alikuwa anabeba bendera ya CCM. Uchaguzi umeisha na huyu ni Rais wa Tanzania na si wa CCM tuache vijembe tufanye kazi

Na kwa kuongeza kama umefuatilia campaign wapinzani walikuwa wanasema CCM out na si Magufuli out
 
Last edited by a moderator:
Kwan unadhan hawamkubali? Wanamkubali sana sema wanajitoa ufahamu tu.

Magufuli analeta raha ndan ya mioyo ya watanzania anagusa palepale panapowasha.

Najua hata wale ndg zangu Apologise lady , Erythrocyte, wanajilaumu nafsi zao kwann hawakumchagua tingatinga serema

Kwa mara ya kwanza faham zinaanza kuwarudia kuwa magufuli ndio chaguo la wengi ,
Ohh Sijui kura zimeeibiwa ,
 
Last edited by a moderator:
Asante Mwenyezi Mungu kwa kuniwezesha kuona na kuthitisha maneno ya kinabii ya mwalim JKN kuwa "wapo viongozi wengi waadilifu,wanaochukia rushwa na wazalendobkabisa.."
 
We unaongea hakuna tofauti na mlevi, inamaana magufuli atakuwa na ubavu wa kumpeleka mahakamani kikwete kwa matumizi mabaya ya ofisi kuhusu richmond au umeamua tu kutoa ushuzi humu.
Hoja yako ni nini?

Kabla hujaanza kujenga hoja inayogusa katiba ya nchi, jaribu kuisoma kwanza ili uelewe vizuri.

Nani alikuambia unaweza kumshitaki aliyekuwa Rais wa Tanzania kwa makosa ambayo ameyafanya akiwa ofisini?
 
Tanzania Daima wampigia saluti Dr Magufuli!
 
Jambo linalojadiliwa ni la maana lakini siasa imeanza kuingia. Ngoja nisikilize tu
 
Sisomi na sitasoma kamwe migazeti ya Mawio na Mwanahalisi! Sitasoma sitasoma sitanunua. Haiwezekani Kubenea miaka yoooote umekuwa ukiandika maufisadi ya Richmond Lowasa na Sumaye na wengine na kujitapa unaandika habari za kiuchunguzi na una ushahidi wote alaf leo uwe mmoja wa wasafishaji na watakatishaji wa maovu yao. Leo unasema woote wasafi na hakuna ufisadi. Jamii gani tunayotaka kuijenga, ? Jamii ya uongo na utapeli? Waandishi makanjanja kama Kubenea ipo siku watakumbuka uhuni walioufanya. Hawawezi pona siku zote
 
Hawako makini Hao Tanzania daima, hiyo picha ni mkurugenzi wa tpa Mr massawe na aliye kuwa kamishina mkuu wa TRA rished bade.
Sasa wao wanasema huyo ni lusekelo mwaseba naibu kamishina !

Hivi ni Masawe huyu aliyekua RC Kagera ndio mkurugenzi wa TPA ??
 
Sisomi na sitasoma kamwe migazeti ya Mawio na Mwanahalisi! Sitasoma sitasoma sitanunua. Haiwezekani Kubenea miaka yoooote umekuwa ukiandika maufisadi ya Richmond Lowasa na Sumaye na wengine na kujitapa unaandika habari za kiuchunguzi na una ushahidi wote alaf leo uwe mmoja wa wasafishaji na watakatishaji wa maovu yao. Leo unasema woote wasafi na hakuna ufisadi. Jamii gani tunayotaka kuijenga, ? Jamii ya uongo na utapeli? Waandishi makanjanja kama Kubenea ipo siku watakumbuka uhuni walioufanya. Hawawezi pona siku zote

Na sasa hivi anakaa jukwaa moja na lowasa. Ukiuliza anasema kama mna ushahidi nenden mahakamani, sasa tutaenda mahakamani sisi tulioambiwa na wewe juu ya hayo? ww kubenea ndio wa kutangulia mahakamani na ushahid uliokuwa unatuaminisha unao hata tukamchukia mamvi wa watu. Go Magufuli Go... we endelea kuyatumbua tu majipu uchungu hayo.
 
Mbowe ni Mfanyabiashara anafahamu kuwa kwa sasa habari inayouza ni ya Magufuli sasa aipotezee kwa sababu ya uchadema gazeti likose mauzo?!
 
Tukifika mahali kila gazeti linasifia tu bila kuchambua basi tumekwisha
 
Back
Top Bottom