Enyi wana wa wa Tanzania. Bara na visiwani msio ona na upofu unewakamata wa miaka mingi kaeni kimya kwa maana kazi lazima ifanyike hata kama kelele nikali kama mvumo wa radi nilazima kazi ifanyike tena sio kazi nusu ila kazi kamili.
Kama hamjuwi bora mkae kimya maana hakuna alie jishibisha jasho la dhuluma na wizi ktk taifa lile atapona huu nimwanzo wa utungu tu ila wanakaribia kumaliza hizi kelele na wale mnafikiri ndio mashujaa na wanao inua midomo yao kila siku kama Khashogi kwa serikali ya Saudi watakuwa chakula cha matumbo yao.
Vikosi vikali mithili ya simba wenye njaa wapo tayari kuingia kazin.
Narudia tena hamtosikia hizi kelele zitakoma na uwenda wapiga kelele wengi watabadilika nakujifungia vyumbani kwa hofu ya yale watayapata.
Tuwe waaminifu jamani unapewa nafasi unaiba alafu unakuja hapa kuchafuwa serikali
..aibu yako aibu yako