lishengalikomi
Member
- Jun 29, 2013
- 64
- 19
Hapa kazi tu.tutampima kwa matokeo kama vifaa vya kutosha mahospitalini, madawa ya kutosha, wafanyakazi wa kutosha hasa elimu na afya, vitendea kazi vya kutosha mashuleni, wanafunzi wenye sifa elimu ya juu wote wanapata mikopo, barabara nzuri, maji salama, umeme wa uhakika, uchumi wa mtu mmoja mmoja umekua n.k hatutampima kwa ziara maofisini
Wakati tuki furahia haya ya nagufuli , tuna muomba amalize ya zanzibar maalim aapishwe amsaidie naye aondoe uoza huko znz..seif hataki mzaha na kazi ...mpe haki yake Tanzania kwa ujumla ibadikike
Magufuli rais wetu inabidi awekewe ulinzi mkubwa na mkali. wako watu wamekaa mkao wa kutaka kuhujumu kila kitu..
Mbona nifah na Paul Alex umewasahau! Na wao wanamkubali roho safi kabisa ila wanazuga na nafsi zao zawasuta! Hata Salary Slip na Laki si pesa wote wanamkubali.
Wakenya wanatamani Magufuli awe raisi wao?Mwambie wabadilisha Uhuru Kenyata aje tanzania na huyu Magufuli aende kuishi huko kenya kwa sababu siyo chaguo letu .
yale majipu anayoyakamua rais ukawa aka nyumbu wanadai eti ndio ilani yao wakati wao wanalojipu ambalo linataka likamuliwe.
hata ilani yao hatujaiona wanazungumza kwenye midomo.
Prof Kitila Mkumbo alisema kwa kasi ya rais Magufuli UKAWA hawatakuwa na hoja tena. Na sasa tumeanza kuyaona. Kila hatua anayochukua rais UKIWA wanalalamika kawapora sera. Pathetic!!yale majipu anayoyakamua rais ukawa aka nyumbu wanadai eti ndio ilani yao wakati wao wanalojipu ambalo linataka likamuliwe.
hata ilani yao hatujaiona wanazungumza kwenye midomo.
Wanajamvi Nina kaswali ila kananitatiza naombeni majibu kwa hiyari
HIVI MAGUFULI ANAENDA KILOMETER NGAPI KWA SAA MANA NASHINDWA KWENDA NA HII SPEED YAKE.?????