Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Tunaenda taratibu, reli tayari, ATCL ina ndege kwa sasa.
 
yaan kwetu sisi wa tz iwe kaichukua ilani ya ACT...CCK...CDM au yoyote ile sisi maadam anapiga kaz hasa ya kupambana na ufisadi na mafisadi........tunampa big up sana kamanda wetu wa mapambano........all the best sir Pombe.
Yah haijalishi anatumia ya NCCR au CHAUMA cha msingi kazi ifanyike.
 
Hata mimi sikuwahi kuliona hapo kabla, suala la laptop lilikuwa Kenya huwenda wamejichanganya.
 
kupunguza misafara ya kipuuzi ilikuwa kwenye ilani ya CCM...kufuta matamasha na safari za kipiizi ilikuwa kwenye ilani ya CCM....Magufuli endelea kutumia ilani ya Chadema na usione tabu kutuuliza namna ya kutekeleza...
Aiseee[emoji15]
 
Mm ukawa damuni lakini kwa Magufuli nimepiga breki,kwa staili hii ya Magufuli miaka mitani tumekwisha na kufutika katika ramani za siasa.
Uliona mbali sana mkuu. Kunywa banana nakuja kulipa.
 
CCM ni ile ile ya wezi.
semeni 1.5tr yetu i wapi??
 
Safiii.
 
Mie mtaani kwetu raha tupu vitu dukani vimeshuka bei, sokoni nyama bei ni kama bure kwa kweli maisha yamekuwa rahisi sana kweli hii ndio Tanzania tuliyoitaka.
Tunasonga mbele mama kubwa lengo letu ni kuhakikisha kila mwananchi anafurahia kuishi Tanzania.
 
Ukipata kiongozi mwenye upendo na watu wake mambo ndio uwa hivyo. Asante rais wetu Dkt Magufuli kwa upendo wako kwa Watanzania.
Nasi tunapaswa kuwa wazelendo na watiifu ili kula mema ya nchi.
 
Make Tanzania Great #Viva JPM.
 
Mafisadi kwa sasa wametuliaaaaaa.
 
Ulinzi upo wa kutosha na kazi atapiga bila shida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…