kweli watanzania tumekuwa katika dimbwi la umaskini kwa zaidi ya miaka 50, huku vigogo na matajiri wacheche wakitumia ujinga wetu kutuambia Nchi yetu ya Tanzania ni Masikni, tangu Nyerere hatujawahi shuhudia rais mwenye Uzalendo na nia njema kwa watanzania, Nafikiri Mungu ametusikia yuko kazini. Tusubiri mambi mazuri na Makubwa zaidi, maana huyu Magufuli ana sifa zifuatazo:
1. Mzalendo
2. Mpenda watu kwa dhati
3.Mchapa Kazi kwa Bidii
4.Mwenye kutaka kwa shauku maendeleo ya Tanzania
kILA LA KHERI MAGUFULI WETU MUNGU YUPO PAMOJA NA WEWE, TUNAKUOMBEA SANA BABA. ILI ADUI ASIPATE NAFASI. HATA KIDOGO. DAMU YA YESU IKUFUNIKE, MALAIKA WENYE UPANGA ULAO KUWILI WAKUZINGIRE KIPEKEE SANA.