Ni siku chache sana ambazo mh rais rais amekaa pale magigini,lakini amefanya mambo ambayo ni kama amemaliza miaka mitano,kongole baba tuna kuombea,jambo jingine mianya ya ufisadi na mikingamo iliyokuwa unafanya na Mungu watu maofisin,ameibaini,kwa kweli Tanzania inaweza badilika nimeamini.
Niwaombe watanzania tumuunge mkono,siasa na kuwaza kisiasa tena siasa uchwara na makundi,Mungu kazimaliza kwa kutupatia jembe JPM,Mungu ibariki tanzania, Mungu awabariki watanzania,Mungu mbariki rais wetu JPM na wanaompinga wale maisha marefu waone mavitu yake mzee kazi.
Pamoja sanaa.Tumuombee kweli...
Hata mie nimeanza kumkubaliko.....
Mheshimiwa rais JPM atakuwa ndiye rais maarufu Afrika kuliko wote kuwahi tokea katika zama hizi mpya za mawasiliano ya kijamii.
Hii ilianza kuchochewa na jinsi Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2015 ulivyofuatiliwa na watu wengi Duniani ambapo "Tanzania Election 2015"ni moja ya neno lilotafutwa sana kupitia google search kwa miezi miwili iliyopita!!
BAADA YA UCHAGUZI: JOHN POMBE MAGUFULI
Kwa sasa haina ubishi ndie anaeongoza kwa kuandikwa sana na kufuatiliwa(trending) kuliko watu wote Afrika. Hii inatokana na siku chini ya 30 za Utawala wake kuonesha Afrika na watawala wake wanavyo weza kubana matumizi yasiyo ya lazima na kukuza uchumi..
* Amekuwa 'Inspirational" kwa vijana wengi afrika mashariki na kati na Afrika kwa ujumla kwenye mitandao tofautitofauti:
Hasa trending ya sasa maarufu yaTwitter:#WhatWouldMagufuliDo ?
Raia wengi afrika wanatamani kuwa na rais kama JPM...viva MGUFULI!!
Sure!You are right, Magufuli ni habari ya dunia kwa sasa
anadhihirisha hauhitaji safari za nje kutangaza Tanzania
Moto uko vilevile.Naomba muweke akiba ya maneno kwani siku hazigandi.....
Nguvu za soda? Bado wanaamini ni nguvu za soda?Kuna baadhi ya watu bado wanadhani anachokifanya Rais Magufuli ni nguvu za soda!
Kama hawawezi kuisoma historia yake katika utumishi wa Umma, wataendelea kudhani ni nguvu za soda.
Kweli kabisa, hii kazi ni yetu sisi kuufuta upinzani.Ni kazi yetu watanzania kuufuta upinzani wa makelele, fujo na vioja na kuujenga upinzani wa hoja.
Upinzani ni muhimu sana kuwepo lakini lazima upinzani uwe wa hoja.
Siyo munguuu kaletwa na MUNGU.Magufuli kaletwa na munguuu
Amen [emoji120]Ndio mahana nimepata jibu la mvua zilizonyesha tangu alipoteuliwa mpaka kuapishwa mungu anampango na watanzania kuusu mateso tuliyopitia kwa uongozi uliopita sasa katuletea Neema tunakushukuru sana mungu kwakutujua cc watanzania dhid ya utawala uliopita
Mawaziri ilikuwa lazima ateuwe ile jeshi lile la watu wanne lilikuwa imara sana.Kwa tathmini Fupi tu Jeshi LA watu Wanne (Raisi, Waziri mkuu, spika na makamu WA raisi) linatosha. Hili Jeshi limeonyesha uwezo mkubwa Kwa Kipindi hiki kifupi Kwa kuweza kufukunyua Madudu yaliyolindwa na team Kubwa Ya Utawala uliopita.
Kwa Haya machache napenda kutoa Maoni yangu kuwa Hakuna haja Ya mh. Raisi kuteua mawaziri.
Haya Ndio maoni tangu.
Hawezi, hiki chuma.Kwa mbali namuona Mkwere akiandaa mkakati wa uhujumu kasii ya msukuma
Tumemuelewa sasa.Tinga tinga twende kwa mwendo huu hivo hivo Taratibu nitaanza kukuelewa .
Ni miongoni kwa nchi yenye kukuwa uchumi wake kwa kasi sana.Me sipati picha kwakeli after 3 yrs nchi yetu itakuwa wapi ktk suala zima la uchumi. Mungu ibariki Tz Mungu mbariki Rais wetu JPM
[emoji123][emoji123][emoji123][emoji123] Goooo Tz.Mkuu kwa spidi hii tunakuwa level nyingine kiuchumi akyanani
Come back nigga, we waiting for you.Kwakweli me binafsi najivunia kumpigia kura huyu jamaa daah!! ni noma ni hatariii aseee!!! mpaka nimeanza kuipenda nchi yangu Tz soon nitarudi home Tz
Nyumbani ni nyumbani. Nyumbani kwa sasa kuko shwari.Nilikuwa na mpango wa kuhama hii nchi, but siondoki tena naona kabisa heshima inarudi..chezea JPM ww.!!
Yote inawezekana kama tukimhitaji.Ni lazma tuibake Katiba na demokrasia kama Rwanda Dr Magufuli aendelee kuongoza nchi baada ya muda wake kuisha
Wamekufaaaaaaa vibayaaaaaaa.Yaani kila Kiki ya ukawa haipati media coverage maana mpaka Kenya habari ni magu viva baba magu
[emoji3][emoji3][emoji3] Wahuni siyo watu wazuri.Huyu ndiyo aina ya kiongozi tuliyekuwa tunamtaka tupo pamoja na yeye ukawa wahuni tu.