Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Sasa hivi watu wanamsifia kwa kila anacho fanya isije ikatokea mtu akaanza kumshutunu siku wafanyakazi wa mashirika ya umma pamoja na private sector watakapoanza kuvurumishwa makazini mwao kwa sababu ya kubana matumizi.
Wafanyakazi hewa hawana nafasi katika huu utawala.
 
Magufuli-China.jpg
Japo sijui kichina ila nadhani walimnadi kwa mema.
 
Umenigusa sana mkuu.
Yaani mimi nitaendelea kumchukia kikwete mpaka anaenda kuzimu. Kikwete alishatuharibia nchi. Taasisi nyingi za serikali kuko hovy hovyo tu. Hii ni kwa sababu ya kuendekeza ushikaji. Pia Kikwete alikuwa na ki-element cha udini (najua wengi watapinga lakini wanaomjua kikwete watakubaliana nami). Yaani viongozi wengi wa taasisi za umma walishajiona miungu watu na kama vile wao wana hati milki na taasisi hizo. wengi wao wahana uwezo kabisa, kazi iliyokuwepo ni kuiba tu pesa za walala hoi bila kuogopa chochote. Mungu atamlinda Magufuli ili atukomboe wanyonge.
Pole sana, sasa tumepata mtu makini na tutavuka salama.
 
JK mdini sana...

Aliharibu nchi na watu mamilioni kuichukia CCM sana, nikiwemo mm

Aligawa madaraka hovyo sana... ukiwa na mzigo mzuri kwa mdada na unajua kuyatumia, u DC unao...!!
Udini hauna nafasi kwa sasa, tuweni wazalendoooo.
 
Hakika wewe ni baraka kutoka kwa mungu rais wa mioyo yetu sisi maskini kile kilio chetu cha muda mrefu sasa tumepata mtetezi tunakuunga mkono mheshimiwa rais wetu na yoyote atakaye kupinga sisi wananchi wako tuko tayari kukupigania mkombozi wetu mheshiwa dr john magufuli mungu akulinde na akupe afya njema ili ututetee sisi maskini milele amiiiina!
Asante kwa kuliona hilo mapema.
 
Rais Magufuli shikamooo...!!

Yaani ilikuwa ni kawaida, na lazima ukiwa TRA, TPA, Traffic Police, BOT etc kwa mwaka mmoja tu alafu HUJANENEPA utakuwa una ugonjwa basi... na ukienda kupima kweli unakuta una tatizo la afya.. kama mwili wako sio wa kunenepa BASI UTAVIMBA TU, au utanenepeswa tu kama ng'ombe wa mnadani, UNAJUA KWA NINI..? wee acha tu...

Kuna dada mmoja ana kama mwaka na miezi 4 hv TPA, tena hana cheo...alikuwa kapaukaa, mwembamba kabisa... hivi sasa, tobaaaaa... Astagafirullaah, naumia tu moyoni... acheni tu, utajiuma ulimi ufe, NI MITIKISIKO TU YA KUFA MTU... nguo hasimtoshi, akivaa dela hata kubwa vipi ni aibu, asalaleeee... yaani, na log off...!!

Mh. Rais wakondesheeeee... g9t..!!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Walikuwa wananenepa kwa sababu hawana kazi.
 
kwakweli kasi ya Pres. Magu inanipa hisia za machozi mnoooo...... machungu na kilio cha furaha pia!...oh! Kawawa!....Kawawaaa!..Kawawaaaa...! mbona ulitususa Wanao? Oh! umerudi sasa kamanda!....ahsante sana na Mungu akufanikishe!
BANGO JEUPE ...naomba Umpe salam Zangu President Wangu Magu!! Najua yuko wodi ya majipu ,now anasaka Jipu Lililoiva tayari kulitumbua!!
Pole sana boss, tumepata mtu sahihi kwa wakati sahihi.
 
Jamanai mimi ni ukawa na wala sitaki kusikia neno ccm kwani ndo limeweka mfumo wakufanya wengine tuwe mafukala licha ya kufanya kazi kwa bidii.

Napenda kukili rais ameanza vizuri na sote bila kutafutakiki basi tumuunge mkono kwani anapambana na mijitu iliyojaa choyo na ulafi.

Namshauri azipie sheria zote ili kuweka mfumo wa ksiheria amabao utaondoa watu kutumia taasis kuchuma pesa za watanzania.mfano bodi member wa nssf akimaliza kipindi chake cha miaka mitatu anapewa kiinua mgongo cha milliuoni 500.hii si sawa ndo maana wanatunyanysa wateja wao.kwa hiyo sheria ya kuondoa wizi ya aina hii.

Kila la kheri magufuri kwani ukifanya vizuri tutakuunga mkono na ukichemka tutasema pia
Asante kwa kusapoti juhudi.
 
Kakukabali kutumia ilani ya UKAWA na kutupa nje ilani ya ccm chakavu.sasa kwa nini CCM walikuwa wanabeza upnzani? Sasa wanatumia ilani ya UKAWA.



swissme
Ilani yoyote ni sawa tu ili mradi maendeleo.
 
Wadau tunafahamu kuwa rais magufuli anapendwa na watu ila wanaompenda ni wale ambao akilizao zimekaa sawa.....hapa namaajisha kuwa watu wenye uwezo wa kufikiri kwa kina juu ya mambo na changamoto za kijamii.....ni watu wanaopenda kutatuachangamoto ila kwa kujali haki,usawa na maslahi ya watu wengine.....ni watu wanaojali maisha ya watu wengine bila kubagua wala kujiona....ni watu wakweli na hawapendi makuu.....hata kama wanaamua jambo hawapo tayari kubishana na mpumbavu wakiamini kuwa mwisho wa siku ukweli hubaki kuwa ukweli......mara nyingi ni wapole sana wala hawana haraka na maisha....watu wenye akili.....wanaweza kuwa walienda shule au hawakupata fulsa ya elimu hata darasa moja ila wao hubaki kuwa na akili......Hawa ndio watu wanaompenda rais wetu JPM

si kama makanjanja.....watu wasio na akili ya kufikili kitu kwa kina.....wepesi wa kutaka maisha ya haraka pasipo kujali njia za mafanikio husika hasa ya kiuchumi.....hawajali mtu wala mambo ya wengine....si wakweli na huwa hawapendi maendeleo ya wenzao....ni wabinafsi sana wangependa mapesa yoote duniani yawe ya kwao........wanapenda ubishi....wanajisikia...wapotayari kufanya chochote wapate wanachotaka(wapigadili)....ni watu hatari sana......wakiwepo watatu mahala katika kundi la watu kumi watawavuruga saba wema kama hawajakaa sawasawa.......hawatakuja kumpebda magufuli kamwe......na ndiyo maana ulinzi kwa rais wetu tunataka uwe wa uhakika........Tumwombee JPM
Kula like mkuu.
 
Ninge kuwa mkwere ningekunywa sumu ni sione kuaibishwa huku na magufuli, ila mkwere mshipa wa aibu ulisha katika, kwake yeye ni kukenua tu.
[emoji23][emoji23][emoji23] Sumu hapana ni kinyume cha sheria.
 
Back
Top Bottom