Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Nyuma yangu nina wafuasi 300,000..
ambao tumekula kiapo kua hatutohusika tena
kuhusiana na UKAWA.... . Kwa Sasa
tunaungana
na Magufuli katikati harakati za kuisuka upya
Tanzania tunayotaka. Najua inawauma ila ndo
hivo. Your faithfully Kamanda mtetezi
# HaPaKaZiTu
Viva JPM.
 
Magufuli anafanya vitu ambavo watu walifikiri haviwezekani. Magufuli aongeze kasi tu na a keep pace, ataheshimika mno kimataifa. Wazungu mpaka watasafiri kuja kumuona huyu Magufuli ndo nani.
Hataki kuwafuata na kila siku wao ndiyo wanakuja.

Viva President.
 
Mimi binafsi nilijua hatuna president makini tangu 2005 nov.
Yapo mambo ya msingi yaani basic ambayo president anatakiwa kufanya, na hicho ndo magufuli anafanya.

Ukiwa una kiwango cha mh. JK then utaona Kama JPJM anafanya makubwa but those are basic things to be done at the level of presidential position.

Sasa mi nasubiri afanye beyond that level kwa mtupo wangu wa jicho( my scope)
Asante kwa sapoti.
 
Jana nimenunu petrol nikashangaa nagongewa dirisha....eti napewa risiti za EFD bila kuomba...nilishindwa kujizuia nikaanza kuwacheka....MTANYOOOKA....lazima mlipe kodi...!!!!!!!

Naweka mafuta kwenye hiki kituo kwa muda mrefu sikuwai jua hata kama wana EFD
[emoji3][emoji3][emoji3]Kodi ni lazima.
 
Natangaza kurudisha kadi yangu leo tarehe 3 ~12~2015 ya chama changu pendwa cdm kutokana na utendaji unaoendelea ndani ya Serekali ya JMP, ccm hoyeeee!
Safi sana kwa kuwa upande sahihi.
 
Kiukweli hali ilivyosasa utadhani nchi ndio kwanza inapata uhuru, maana kila unapokuwa wananchi wana jadili kasi ya Rais na kusema hivi kama miaka yote hamsini iliyopita kasi ingekuwa kama ilivyo hii ya Mh. magufuli hili taifa hadi sasa tungekuwa tunaifukuza marekani kwa maendeleo hapo ki ukweli sipepesi macho hatankidogo, mimi binafsi naomba Rais chukua hatua bila kuogopa mtu yeyote ndani ya nchi hii maana wewe ndiye kwasasa tunayekutegemea kuiokoa Taifa hili ambalo lilikuwa limezama hili ya ardhi katika lindi la udongo mchafu sana, wewe sasa unaisafisha nchi hiim ianze kupendeza na Mataifa yanayotuzarau na wao sasa waanza kujipendekeza kwetu ili kupata misaada kutoka kwa wananchi wa Taifa Tanzania (I LOVE MY COUNTRY TANZANIA)
MZALENDO RENATUS
[emoji109][emoji109][emoji123][emoji123][emoji123]
 
Amani ya Bwana iwe nanyi wadau,
Ni dhahiri shahiri kuwa kwa yanayotokea leo Tanzania sio tu yanawashangaza watanzania bali yanaishangaza dunia kwa ujumla, na haya yote yanatokana na Huyu mtu ambaye dunia nzima inapata habari zake saivi kuanzia kutoka kwenye twitter, facebook, magazeti hadi vyombo vya habari mbalimbali duniani. Huyu si mwingine ni John Pombe Magufuli kwa watu wengine wanamuita buldoza ila mie napenda kumuita mtumishi wa Mungu.

Kusema kweli huyu mtu amemuonyesha raisi wa marekani ambaye wakati alipotembelea nchi ghana miaka michache iliyopita alisema wakati anahutubia bunge la ghana kuwa Africa need strong institutions and not strong leaders. Kama kumprove mtu wrong basi Magufuli kusema kweli kamprove Barack Obama wrong kwa sababu nitakazozieleza hapa chini.

1. Magufuli amemuonyesha Obama kuwa ndani ya Tanzania ambayo ni sehemu ya Africa kulikuwa na strong institutions ambazo zimewezeshwa vizuri kiutendaji na hata kivifaa ila havikuwa efficient tu kwa sababu hakuwepo strong leader, sasa strong leader amepatikana efficiency yake imeanza kuonekana

2. Magufuli kwa kipindi kifupi sana amemuonyesha Obama kuwa waafrika ni jamii ya kipekee sana ambao ili waende ni lazima aliye juu awe mtu wa namna fulani hasa kiutendaji na kiuadilifu ambapo yeye ndo anadetermine kama nchi iende mbele au vipi.

Hizi hapo juu ni sehemu tu ya mifano ambayo magufuli amemuonyesha Obama kuwa Africa inaitaji strong leaders na sio strong institutions na nauhakika sio tu Magufuli aliyemuonyesha Obama. Najua kwenye list hii wapo pia Paol Kagame ambaye jinsi nchi inavoenda chini wa uongozi wake inaonesha kuwa Obama azlikuwa wrong kuhusu Africa, sio tu hapo hata Marehemu Meres Zenawi kwa alichofanya Ethiopia pia ni ujumbe kwa Obama.

Napenda kumaliza kwa kusema Africa ni Africa na pia ulaya ni ulaya na Marekani ni Marekani pia. Na kwa Africa tumeshajionea kuwa ili bara hili lisonge viongozi jamii ya Patrice Lumumba, Sankara, Meres Zenawi, Muhamad Ghadafi, Paol Kagame na huyu wetu John Pombe Magufuli ni muhimu kwa mustakabali wa bara letu.
We can [emoji123][emoji123][emoji123]
 
Strong leaders ndio kila kitu. Ndio maana niliona upuuzi kupata katiba mpya. Hii hii tuliyonayo ikipata jembe la ukweli mbona mambo yanaenda tu.
Hakuna haja ya katiba mpya ila uongozi makini tu unaweza kufanya katiba iwe kama mpya.

[emoji123][emoji123][emoji109][emoji109][emoji109]
 
Baada ya Magufuli kuonekana hayuko upande wao na kuonekana anatekeleza sera za UKAWA, wamekuwa wakidai anatekeleza sera alizoahidi wakati wa kampeni.

Tunapowauliza basi tuonyesheni sera hata moja ya CCM iliyotekelezwa na Magufuli hadi sasa hawana.

Tunawauliza mlidai Lowassa ni fisadi mbona wanaokamatwa ni wafadhili wakubwa wa CCM na maswahiba wa baba wa Msoga? Hawana jibu.

Sisi wengine ambao ni wapinzani wa CCM siyo Magufuli tunakula pop corn tukiangalia movi la wana CCM wanavyohangaika na kujikaanga wenyewe kwa wenyewe.

Msitulaumu sisi ni wachochea kuni tu mafuta ni yenu wenyewe.
[emoji3][emoji3][emoji123][emoji123]
 
Back
Top Bottom