Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Kweli kabisa.

Umetumwa? It seems uko na kindakindaki sana.. You just joined JF, unapapara mno, and huna any intellectual comment, uko kiumbea umbea sana..!! You look so low profile, stop no sense..!! Give ur opinions that can give new ideas or new thinking, acha kuwa mbea mbea..!! Nasty headed..!!😡😡😳
 
Kuweka sawa hili swala kila mtu humu ndani ajue kuwa mahakama ya mafisadi inakuja ambapo DPP atapeleka Mashauri yote ytasikilizwa... Hakuna fisadi atapona amini hivo... Inaanza July

Hamtaamini mtakayosikia
Lazima watu wahame nchi.
 
Napenda kumpa sifa mh Magufuli ambaye anafanya kazi isiyo ndogo hata kidogo.

Japo kuwa wapo wanafki wanalalamika kusema Mh JPM hafai kuwa Raisi! sasa tunashangaa ni nani anayefaa sasa? na hata kama atafaa! anaweza fanya zaidi ya haya ya JPM?

Watanzania wengi mmezidi kulalamika! mkisaidiwa mnalalama, msipo saidiwa mnalalama!
japo kuwa wapo wanao Muunga mkono Mh JPM.

Baba zenu na ndugu zenu au hata ninyi mnao lalamika, mishahara hewa basi! mlizoea kuvuna pasipo kupanda alafu bila hata aibu mnakuja kulialia hapa!

Ushaambiwa hapa ni "kazi tuu" ugumu wa maisha unatoakana na uminyaji wa Pesa chafu zilizo kuwa zinazunguka mikononi mwa watu, kwa hili swala nikufikiria zaidi kuongeza ubunifu katika kufanya kazi ili kujiongezea kipato zaidi!

Acheni unafiki Mh Raisi amechaguliwa na Mungu huyu na tumuuombee raisi wetu!
[emoji123][emoji123][emoji109] Viva JPM
 
Kipindi cha nyuma mtaani tulikuwa sisi wenye kipato cha kawaida au wastan tulikuwa hatuna thamani kwa wadada mtaani. Akina dada walikuwa wanahongwa magari na kupangishiwa nyumba na mafisadi.

Sisi ambao tulikuwa hatuhongi walianza kutukosea heshima.wakawa hata salamu hawatoi. Ukienda kuoa mahari ilikuwa inafika hadi mil 5 kwa familia ya kawaida. Na bado hujatajiwa mambo mambo mengi ambayo nayo yalikuwa yanafika hata mil 5 nayo.

Sasa tunashukuru hata ukienda kuoa unaweza kupewa na mdogo mtu. Yaani waoaji wamekuwa wachache sana. Kuna familia ukienda kuoa wanakutajia mahari ndogo tu na pia wanakwambia kama utapenda kukaa na mdogo wa kike wa mke wako naye mchukue. Unapewa na nyongeza.

Wadada wengi sasa wamerudi mtaani kuishi nasi tena. Tena kwa sasa wanasamilia mara tatu tatu na kama hujasikia anakufata kabisa kukugusa kuwa uncle nakusalimia wewe. Zaman walikuwa wanajifungia tu kwenye tu gari twao.

Sasa nasi tunaanza kuheshimiwa, haya yote ni mabadiliko ya Dr Magufuli. Kwa sasa nguo ambazo ilikuwa ukipita posta suruali ya mtumba wanakwambia 50,000 sasa wanatupigia simu wenyewe kuwa suruali moja tsh 15,000 na mazungumzo yapo au unaweza lipa kwa installment.

Heshima imerud kwa kweli. Ukimpa mtu tsh 20,000 anashukuru mara tatu tatu, wakati zamani ilikuwa ukimpa hii oesa anaichukua tu na kuweka mfukoni kana kwamba umempa karatasi.
Wamenyooka [emoji3][emoji3][emoji109][emoji123][emoji123]
 
Huyu jamaa ana maneno kiduchu matendo makubwa makubwa na mengi mengi....kwa kipindi kifupi alichoikamata ikulu amefyeka hadi visiki vilivyojiotea bila kupandwa...ni jembe ulaya. Kila nchi saivi inataka kumkodi akawanyooshee mambo...pesa iliyonusurika kwenye Majipu tu peke yake ni bajeti ya nchi kwa mwaka mzima
ATATUVUSHA HUYU....TUMPE MUDA NA TUMPE USHIRIKIANO.
Tutafikaa kama tutaamini kupitia yeye.
 
Tanzania ni nchi iliyopita katika uchaguzi mwaka Jana, pia Marekani watakuwa na uchaguzi mwaka huu, chama tawala CCM kilimsimamisha mgombea ambaye ana sifa baadhi zinazofanana na za mgombea wa Marekani.

1. Wanausema ukweli hawajali kama ukweli uo unaweza punguza idadi ya kura zao, mfano Magufuli amekuwa akiendelea kutoa kauli kali bila kujari kama hawa watampigia kura tena baadae.

2. Magufuli kajitoa kufia nchi yake kama ambavyo Trump kajitoa kuwasaidia wamarekani na kuifanya America kuwa na jina kubwa tens.

3. Maamuzi na maono yao yanafanana kwa mbali, mfano Magufuli yuko tayari kuwabomoa wanaomkwamisha kuleta maendeleo ya wananchi, na misimamo yake watu legelege wanaweza kuichukia, vile vile Trump ana mtazamo kama Magufuli kwa wanaoonekana kukwamisha maendeleo ya wamarekani.

TOFAUTI ZAO
1. Magufuli siyo dictator kama ambavyo anaonekana Trump atakuwa dictator.
2. Magufuli ana elimu kubwa kulinganisha na Trump.
3. Magufuli si mfanyabiashara kama Trump.
4. Magufuli ni mjamaa na maskini si kama Trump ni mbepari na tajiri.
Uliona mbali.
 
Binafsi nimefurahishwa na kasi ya Dkt. Magufuli. Naamini wapo pia wengi wanaoungana nami katika furaha hii. Magufuli ameanza kwa kasi ambayo kama ataimaintain, Tanzania haimalizi miaka mitano itakuwa tayari ni nchi yenye kipato cha kati.

Hata hivyo wapo baadhi yetu ambao wanakejeli kasi hiyo. Hao kwangu ni watu waliozoea ubwete na bora liende!. Wanamwona Magufuli kuwa ni mtu atakayekuwa kauzibe kwao!

Wapigaji wote, wavivu wote na wazee Wa madili wote watamchukia Magufuli ila mi niseme na niwaombe tu kwamba tumpe support huyu jamaa kiukweli atatufikisha mahali Fulani!

Tuwafichue wote wanapanga kumhujumu (najua wanajulikana), tuwakatae kwani hawana nia njema na taifa letu.

Habari zaidi, soma =>Toka kwa Wananchi: Kero na Vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa...
Kasi imebuma
 
Jamani wanajamvi kweli ktk hili nampongeza sana Dkt magu kwa kutunyima kunywa pombe mchana siku za kazi, mbali ya kuwafanya watu kubuni vishughuli vya kufanya lakini pia imerejesha watu wengi karibu na family zao, pia tumeweza hata kuwa na nidhamu na vipato vyetu ambavyo ni vidogo na baadhi ya wababa walikuwa hawachangii pato la family.
Pombe ilikuwa inaongeza hata viwango vya rushwa, umalaya so pengine hata maambukizi ya ukimwi yatapungua VIVA MAGU
Great!
 
[emoji3][emoji3][emoji3] [emoji3].
Umetumwa? It seems uko na kindakindaki sana.. You just joined JF, unapapara mno, and huna any intellectual comment, uko kiumbea umbea sana..!! You look so low profile, stop no sense..!! Give ur opinions that can give new ideas or new thinking, acha kuwa mbea mbea..!! Nasty headed..!!😡😡😳
 
[emoji3][emoji3][emoji3] [emoji3].

I thought you have joined JF to give us ur sincere and open minded opinions on firm issues..!! Unfortunately, umekuwa wa copy & paste and the worse of all, nothing crucial you are commenting, I feel nauseated with people of ur calibre..!!

Acha kuwa mpuuzi, ur wasting ur time & energy kwa upuuzi huu, kila mtu una m copy na kupaste, then una comment utumbo humu..!! Useless
 
Unasumbua sana akili yako juu yangu wewe mpuuzi.

Bora ukae tu kimya ili kulinda upumbavu wako.
I thought you have join JF to give us ur sincere and open minded opinions on firm issues..!! Unfortunately, umekuwa wa copy & paste and the worse of all, nothing crucial you are commenting, I feel nauseated with people of ur calibre..!!

Acha kuwa mpuuzi, ur wasting ur time & energy kwa upuuzi huu, kila mtu una m copy na kupaste, then una comment utumbo humu..!! Useless
 
Unasumbua sana akili yako juu yangu wewe mpuuzi.

Bora ukae tu kimya ili kulinda upumbavu wako.

Ur so stupid below illeterate line..!! Pumbaf..!! Even HE. JPM doesn't need mpuuzi na supporter mjinga wa kiwango chako..!! Pumbaf
 
Unasumbua sana akili yako juu yangu wewe mpuuzi.

Bora ukae tu kimya ili kulinda upumbavu wako.

Am going to block you, ili uwe na akili.. Usipoacha ujinga tunakufuta JF.. Unajaza server kwa upuuzi, nyumbu kabisa
 
Hasira zako zielekeze kwa mme wa mama yako.

Bora tu ukae kimya kama utashindwa basi endelea kupiga kelele. Huna mamlaka yoyote juu yangu na hutakuwa na mamlaka dhidi yangu iwe leo, kesho na hata keshokutwa.

Ujuaji wa kipumbavu huo ungemuuliza mme wa mama yako kama umeutoa kwake au ni umeupata mtaani.
Ur so stupid below illeterate line..!! Pumbaf..!! Even HE. JPM doesn't need mpuuzi na supporter mjinga wa kiwango chako..!! Pumbaf
 
Unanitishia kuniblock? Mimi [emoji3][emoji3][emoji3] hata hapa nimeblockiwa kwahiyo usinitishie kitu ambacho nimekizoea.

Mbona una mawazo mabovu namna hii!
Am going to block you, ili uwe na akili.. Usipoacha ujinga tunakufuta JF.. Unajaza server kwa upuuzi, nyumbu kabisa
 
Back
Top Bottom