dikir kab can
JF-Expert Member
- Mar 20, 2018
- 1,499
- 2,667
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na tusiokuwa wanyonge tuna comment wapi?
Ni vema watu kabla ya kusema jambo wangejiridhisha kwanza, vinginevyo ni kujiumbua kusiko faidaVijijini watu wanashindia Mizizi na viwavi jeshi Shule hazina madarasa,yeye anasema tuko kwenye right traki.
View attachment 985558
Ni kilaza huyuYaani average inataka kufutwa ww unashangalia?! Lazima utakuwa kilaza tuu ww.
Siyo kilaza Mkuu. Kuna Shule binafsi Wanafanya enrollment ya Madarasa 5 hadi 6 tangia Form 1 wanaendelea nayo cha ajabu ni kwamba wakifika Form 3 wanachuja na kubakisha Darasa moja ama mawili !! Muda wote huo wameshapiga Pesa miaka mitatu then only two Classes ndio watakaofanya Mtihani wa Taifa!! Waliobaki warudie waendelee kulipa Mapesa once more. Huu ni wizi.
Alafu aliewaroga ni nani? Hakuna shule inayolazimisha mzazi alete mtoto wake kwao. Kama unaona shule fulani ada zao kubwa au hawataki kusumbuana na wewe kuhusu ada, usipeleke mwanao. Lawama za nini hasa?Siyo kilaza Mkuu. Kuna Shule binafsi Wanafanya enrollment ya Madarasa 5 hadi 6 tangia Form 1 wanaendelea nayo cha ajabu ni kwamba wakifika Form 3 wanachuja na kubakisha Darasa moja ama mawili !! Muda wote huo wameshapiga Pesa miaka mitatu then only two Classes ndio watakaofanya Mtihani wa Taifa!! Waliobaki warudie waendelee kulipa Mapesa once more. Huu ni wizi.
Wamekuwa na tabia ya kujipangia Ada kubwa kuliko hata Fee University.
Sent using Jamii Forums mobile app
KabisaAlafu aliewaroga ni nani? Hakuna shule inayolazimisha mzazi alete mtoto wake kwao. Kama unaona shule fulani ada zao kubwa au hawataki kusumbuana na wewe kuhusu ada, usipeleke mwanao. Lawama za nini hasa?
Sent using Jamii Forums mobile app