[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]bora wazungushe makalio
Kama hawataendana na kasi ya Mh.Kuna uwezekano watu wakakataa vyeo awamu hii.
Umesema kweli.Asilimia kubwa ya Watz ni wazalendo kwa nchi yao walikosa mtu wa kuwamobilize
Yote inawezekana.Mkuu umenichekesha kinoma, kwa kweli kwa kasi hii bora tubake katiba jamaa aendelee kuongoza
Alipambana na ujambazi JK tusibeze.nyie wote mnaomsifia magu mtarudi hapahapa kumkashifu muda si mrefu....maana wabongo huwa hawakumbuki kabisa...jk alipoingia 2005 moto wake ulikuwa ni zaid ya magu,aliweza kukimbiza majambazi kwa chopa...lakini leo kiko wapi?
Akitaja niite.Vengu,
Hebu Taja mambo walau matatu ya JK unayoyaita moto,unayoweza kuyali nganisha na Mh, magufuli honourable president of the United Republic of Tanzania.?
Kwendaaaaaaaa.1.naona wawekezaji wengi wakifunga makampuni yao na kukimbia nchi
2.naona mzunguko wa pesa ukipungua kwa kasi kikubwa
3.naiona tanzania yenye watumishi wengi wa uma wakiwa na maisha duni
4.naona biashara nyingi zikidoda(manunuzi kupungua)
5.naona watanzania wengi wakikimbilia vijijini baada ya kushindwa kuishi mjini
6.naona ajira kwenye mashirika binafsi zikiwa adimu sana kuliko za serikalini
7.naona shilingi ikiimarika lakini maisha kuwa duni sana
8.naona ongezeko la wizi,makahaba,watoto wa mtaani na mateja
"HIKI NDICHO NINACHOKIONA MIMI...SIO LAZIMA UKUBALIANE NA MIMI"
JPM.
Mtetezi na Mkombozi wa Watanzania..Kiongozi mwenye Hofu ya Mungu..Kiongozi Mwenye Nia ya Kuileta mabadiliko. Rais John Magufuli.
Kama fahamu zimerudi basi ni burudani.Kwa mara ya kwanza faham zinaanza kuwarudia kuwa magufuli ndio chaguo la wengi ,
Ohh Sijui kura zimeeibiwa ,
Hizi ni zama mpya kijana. Acha kuishi maisha ya kukariri. Mama first lady hana mihemko ya kisiasa kabisa, hadi sasa ulipaswa ujue kuhusu hilo. Mama wa watu anatekeleza majukumu yake ya kimke na sio vinginevyo. Yule mama Janet kwa taarifa yako hata kadi ya CCM hana.
Viva JPM.Asante Mwenyezi Mungu kwa kuniwezesha kuona na kuthitisha maneno ya kinabii ya mwalim JKN kuwa "wapo viongozi wengi waadilifu,wanaochukia rushwa na wazalendobkabisa.."
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Etiiiiiiiiii
Ari mpya! Kasipya! Ari mpya !
Maji matupu ni uhai lakini hayatibu
Relax.Asante magufuli kwa kuturejeshea utawala was sheria hats wanyonge sasa tunahema na kucheka
[emoji3][emoji3] Msoga hakuna rimoti wala nini.Wanajamvi igweeeee
Wakati Mkulu anaanza walisema rimoti ipo msoga na Tv ipo Magogoni... sasa nawauliza wale waliyasema hayo je hiyo rimoti bado imeshikiliwa???
*************************
Mnapozungumza muwe mnaweka akiba ya maneno!!
Binafsi nimefurahishwa na kasi ya Dkt. Magufuli. Naamini wapo pia wengi wanaoungana nami katika furaha hii. Magufuli ameanza kwa kasi ambayo kama ataimaintain, Tanzania haimalizi miaka mitano itakuwa tayari ni nchi yenye kipato cha kati.
Hata hivyo wapo baadhi yetu ambao wanakejeli kasi hiyo. Hao kwangu ni watu waliozoea ubwete na bora liende!. Wanamwona Magufuli kuwa ni mtu atakayekuwa kauzibe kwao!
Wapigaji wote, wavivu wote na wazee Wa madili wote watamchukia Magufuli ila mi niseme na niwaombe tu kwamba tumpe support huyu jamaa kiukweli atatufikisha mahali Fulani!
Tuwafichue wote wanapanga kumhujumu (najua wanajulikana), tuwakatae kwani hawana nia njema na taifa letu.
Habari zaidi, soma =>Toka kwa Wananchi: Kero na Vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa...
Amen [emoji120]Huyu ndiye Daud ambae watazania walimlilia Mungu awape...na sasa utawala wa Sauli umekufa..Daud yuko ikulu.
10000 kphWanajamvi Nina kaswali ila kananitatiza naombeni majibu kwa hiyari
HIVI MAGUFULI ANAENDA KILOMETER NGAPI KWA SAA MANA NASHINDWA KWENDA NA HII SPEED YAKE.?????
Amen [emoji120]May God bless him
Umesamehewa, muhimu ni kuwa umetambua kosa lako.Tanzania nchi yangu... nakupenda sana..!! Nikifa nitazikwa ktk udongo wa nchi yangu pendwa Tanzania
Jamani, vitu vingine ni mzaha na maigizo... nakubali kuna ukomandoo etc etc...!!!
Hivi, TOFALI LA CEMENT, mm nitengeneze, nikuletee, ww hata uwe Comandoo wa wapi, UPIGE KICHWA KIMOJA TU, TOFALI LINAPASUKA KATIKATI...!!! Na kichwa cha komandoo safiiiiiiiii... hata kamasi hakuna..!!π¨π¨π¨π¨π¨... alafu watu wanashangiliaaaaaaa...kama mazingaombwe vile...!!! π¨π¨ alafu ndio moja ya kitu cha kuadhimisha sherehe ya UHURU...??? Kupasua tofali kwa kichwa..!!?
Hivi tokea lini tutakuwa ktk zama za gizaaa...!!! Huu uongo jamani.. maigizo...!!
Magufuli, Mungu akulinde baba, sikukupa kura yangu, ila UMEUFANYA MOYO WANGU UKUOMBE RADHI....futaaaa futaaaaa haya maigizo, giza, na kupoteza billions bureee..
Au kama kuna mtu anasema ataweza PASUA TOFALI KWA KICHWA aseme humu, nije na TOFALI LA CEMENT.. ukipasua mara moja, ntakulipa kila mwezi tshs 1,000,000 ktk maisha yako yote duniani...!!!
Mungu watu wako WANAANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA..!!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Taratibu mkuu.JK alikuwa anatengeneza maigizo sana... KUFUJA FEDHA BILLIONS.. tofali linaekwa UFAAAA MKUBWAAAAAAA, katikati, yaani ni kusema tayari lishapasuka, wanagusa kwa kichwa kidogo tu, linapasuka...!!
Alafu watu wanashangiliaaaaaa... UHURU DAY...!!!! Nataka nitukane vibaya hapa, sina jinsi, basi tu... naumia sana..