Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Sasa hivi watu wanamsifia kwa kila anacho fanya isije ikatokea mtu akaanza kumshutunu siku wafanyakazi wa mashirika ya umma pamoja na private sector watakapoanza kuvurumishwa makazini mwao kwa sababu ya kubana matumizi.
Wafanyakazi hewa hawana nafasi katika huu utawala.
 
Pole sana, sasa tumepata mtu makini na tutavuka salama.
 
JK mdini sana...

Aliharibu nchi na watu mamilioni kuichukia CCM sana, nikiwemo mm

Aligawa madaraka hovyo sana... ukiwa na mzigo mzuri kwa mdada na unajua kuyatumia, u DC unao...!!
Udini hauna nafasi kwa sasa, tuweni wazalendoooo.
 
Asante kwa kuliona hilo mapema.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Walikuwa wananenepa kwa sababu hawana kazi.
 
Pole sana boss, tumepata mtu sahihi kwa wakati sahihi.
 
Asante kwa kusapoti juhudi.
 
Kakukabali kutumia ilani ya UKAWA na kutupa nje ilani ya ccm chakavu.sasa kwa nini CCM walikuwa wanabeza upnzani? Sasa wanatumia ilani ya UKAWA.



swissme
Ilani yoyote ni sawa tu ili mradi maendeleo.
 
Kula like mkuu.
 
Ninge kuwa mkwere ningekunywa sumu ni sione kuaibishwa huku na magufuli, ila mkwere mshipa wa aibu ulisha katika, kwake yeye ni kukenua tu.
[emoji23][emoji23][emoji23] Sumu hapana ni kinyume cha sheria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…