Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Pongezi kwa Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. JPM na uongozi mzima wa Serikali ya Awamu ya Tano kwa kupiga hatua za kimaendeleo na kuijenga Tanzania Mpya.

RAIS Dr.JOHN POMBE MAGUFULI nafikiri umeshaona kwa jinsi gani watu ambavyo hawapendi Mradi ukamilike,na hili nalijua,INA maana watu wako tayari hata Kuhujumu?
Watu labda sana Madili yao,Wanapenda tuendelee kuteseka na Bei kubwa,
Mkuu RAIS DR.MAGUFULI,USIKUBALI hili likupite,pambana pambana pambana,ole wake atakaehujumu ambae yupo kwenye Mradi,natamani hata Mwakani Mradi ukamilike kwa Ubora wa hali ya Juu,
Kiukweli NALIWEKA KWENYE MAOMBI na MAFUNGO ya sala Mradi huu,
Hakuna sababu ya Msingi kwa ambao hawautakii Mema Mradi!
Wawe Watanzania au Wazungu!
Tena Unaweza kukuta wanajua Mradi ukikamilika Watashindwa kusema Umefanya nini vitu Tangible!
Hii ni Vita ya Kiuchumu kwenye huu Mradi!
Huu Mradi utaingia hata kwa vizazi na watoto wetu Shuleni kuwa Bwawa kubwa Tanzania na Afrika Mashariki ni.....
Lilianzishwa na RAIS Dr.JOHN MAGUFULI.
Hongera sana Rais John Pombe Magufuli Kwa Ujenzi wa Stiegliers gorge, Komaa Kazi Ifanyike usiku na Mchana,Na Atakae Fanya any Delay Muondoe au Kuhujumu,Wananchi Tunataka Umeme nafuu,Biashara zikue.

Yaani Kati ya Yoooooote shikilia hapa hapa. Ukianguka kwenye Huu Mradi. Umekwisha na hakuna atakaekuthamini wala Kukukumbuka RAIS Dr.JOHN POMBE MAGUFULI! Tena Na Ubora wa Kazi Uwepo!

Tafuta Consultant wa Kukagua Mradi huo ukichanganya na Wazawa wazoefu!
Wapo,Mabwawa tunayo!

Peleka watu waende nje wakajifunze,
Umeme unagusa Maisha ya Kila Siku ya Watanzania 95%.

Fanya Kila Uwezalo Mradi huu Ukamilike tena Kwa Wakati! itastimulate Viwanda Vidogo vidogo,Watu watafanya Kazi Masaa 24,Vinyozi,samaki,mama ntilie,Yaani Ni Meeeeeengi sanabya Kusema....shika hapo hapo Usiachie,Fiatilia Mradi huu kwa Ruler,Peleka watu wakaongeze ujuzi huko Misri na Nchi nyingine zenye technology kama hiyo!
BIG UP!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmhhh,,!!!mkataba ni miezi36 tu wawe washakabidhi mradi serikalini
Ukizingatia miti inayokatwa hapo milion mia5 Square meters sawa na ukubwa wa mji wa dar,
Hapo sasa ndio kuna vizungumkuti[emoji1321]‍♂️
 
Kijani wanaharibu sana pesa na mali zetu,sasahivi gesi iliyopigisha watu Nkanaledi kule haizungumzwi tena,tuliaminishwa ndiyo suluhisho la umeme na bei zitapolomoka,wapi!!!?
Sasa Stigler's,baadae Ruaha,na baadae zaidi tutaambiwa umeme wa makaa ya mawe.
hadithi tupu tangu uhuru.
 
Hongera sana Rais John Pombe Magufuli Kwa Ujenzi wa Stiegliers gorge, Komaa Kazi Ifanyike usiku na Mchana,Na Atakae Fanya any Delay Muondoe au Kuhujumu,Wananchi Tunataka Umeme nafuu,Biashara zikue.

Yaani Kati ya Yoooooote shikilia hapa hapa. Ukianguka kwenye Huu Mradi. Umekwisha na hakuna atakaekuthamini wala Kukukumbuka RAIS Dr.JOHN POMBE MAGUFULI! Tena Na Ubora wa Kazi Uwepo!

Tafuta Consultant wa Kukagua Mradi huo ukichanganya na Wazawa wazoefu!
Wapo,Mabwawa tunayo!

Peleka watu waende nje wakajifunze,
Umeme unagusa Maisha ya Kila Siku ya Watanzania 95%.

Fanya Kila Uwezalo Mradi huu Ukamilike tena Kwa Wakati!
BIG UP!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu na abariki mradi huu utakaoleta mapinduzi ya uchumi na uzalishaji mali nchini.
 
Hongera sana Rais John Pombe Magufuli Kwa Ujenzi wa Stiegliers gorge, Komaa Kazi Ifanyike usiku na Mchana,Na Atakae Fanya any Delay Muondoe au Kuhujumu,Wananchi Tunataka Umeme nafuu,Biashara zikue.

Yaani Kati ya Yoooooote shikilia hapa hapa. Ukianguka kwenye Huu Mradi. Umekwisha na hakuna atakaekuthamini wala Kukukumbuka RAIS Dr.JOHN POMBE MAGUFULI! Tena Na Ubora wa Kazi Uwepo!

Tafuta Consultant wa Kukagua Mradi huo ukichanganya na Wazawa wazoefu!
Wapo,Mabwawa tunayo!

Peleka watu waende nje wakajifunze,
Umeme unagusa Maisha ya Kila Siku ya Watanzania 95%.

Fanya Kila Uwezalo Mradi huu Ukamilike tena Kwa Wakati!
BIG UP!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ivi ile gas ipo wapi maana tuliambiwa ndio suluhisho la tatizo la umeme Tanzania na Bei zitaporomoka , leo umeanza Tena mradi mwingine , me naona ni matumizi mabaya ya pesa za wananchi Cha msingi hapa ni kuendeleza ule ule mradi wa gasi ambao tumeshauanza.
Kingine hutakiwi kufanya kitu ili ukumbukwe fanya vitu kwa manufaa ya wananchi utakumbukwa pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmhhh,,!!!mkataba ni miezi36 tu wawe washakabidhi mradi serikalini
Ukizingatia miti inayokatwa hapo milion mia5 Square meters sawa na ukubwa wa mji wa dar,
Hapo sasa ndio kuna vizungumkuti[emoji1321]‍♂️
Jamaa watakua wameuza mkaa wenye thamani za mabilioni kwa hio miti mil.5 iliyokatwa
 
Habari wakuu,

Kama tuna kumbukumbu kidogo miaka ya nyuma tatizo la mgao wa umeme lilikuwa kama kansa inayoitafuna nchi hii nchi ilikuwa haimalizi mwaka bila kuwa na mgao wa umeme mara maji Mtera yamepungua mara hivi mara vile yani zilikuwa sarakasi zisizokuwa na mwisho kiasi cha kwamba wajanja wacheche walijinufaisha kupitia tatizo la upungufu wa umeme.

Tumeshuhudia mikataba mingi mibovu iliyoitikisa nchi na kulitia taifa aibu na hasara ya hali ya juu. Tumeshuhudia mikataba kama Richmond na Escrow ikiingizia taifa hasara kubwa sana na kusababisha baadhi ya mafisadi kama mzee lowassa kujiudhulu na baadae kukimbilia katika CHADEMA baada ya kutambua hakuna nafasi ya madudu chini ya mh rais Magufuli.

Tangu utawala wa awamu ya tano uingie madarakani zaidi ya miaka mitatu nyuma, suala la mgao wa umeme limekuwa historia.

Mh. Rais amejitahidi sana kumaliza tatizo hili hivyo kupelekea kuleta unafuu kwa viwanda ambavyo viilikuwa vinatumia gharama kubwa kuzalisha umeme kwa kutumia mafuta pia kuwaondolea hasara waliokuwa wanapata wafanyabiasha ndogo ndogo kama mabutcher, wauzaji wa soft drink pamoja na wamama wauza mabarafu na ice cream.

Vijana na wananchi wengi tunakubali sana utendaji wa mh Rais hatuyumbishwi na wazurulaji watanzania tunataka maendeleo
 
Back
Top Bottom