My Son drink water
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 4,932
- 13,306
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa kwelitanzania mpya.akili mpya
hahahahaaaa watazidi kumuelewa tuuDozi inaingia taratibu taratibu
Hongera sana Rais John Pombe Magufuli Kwa Ujenzi wa Stiegliers gorge, Komaa Kazi Ifanyike usiku na Mchana,Na Atakae Fanya any Delay Muondoe au Kuhujumu,Wananchi Tunataka Umeme nafuu,Biashara zikue.
Yaani Kati ya Yoooooote shikilia hapa hapa. Ukianguka kwenye Huu Mradi. Umekwisha na hakuna atakaekuthamini wala Kukukumbuka RAIS Dr.JOHN POMBE MAGUFULI! Tena Na Ubora wa Kazi Uwepo!
Tafuta Consultant wa Kukagua Mradi huo ukichanganya na Wazawa wazoefu!
Wapo,Mabwawa tunayo!
Peleka watu waende nje wakajifunze,
Umeme unagusa Maisha ya Kila Siku ya Watanzania 95%.
Fanya Kila Uwezalo Mradi huu Ukamilike tena Kwa Wakati! itastimulate Viwanda Vidogo vidogo,Watu watafanya Kazi Masaa 24,Vinyozi,samaki,mama ntilie,Yaani Ni Meeeeeengi sanabya Kusema....shika hapo hapo Usiachie,Fiatilia Mradi huu kwa Ruler,Peleka watu wakaongeze ujuzi huko Misri na Nchi nyingine zenye technology kama hiyo!
BIG UP!
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana ngoma inapaa hiyo
Mhanga wa vyeti feki katika ubora wako. Pole kamanda.
Mungu na abariki mradi huu utakaoleta mapinduzi ya uchumi na uzalishaji mali nchini.Hongera sana Rais John Pombe Magufuli Kwa Ujenzi wa Stiegliers gorge, Komaa Kazi Ifanyike usiku na Mchana,Na Atakae Fanya any Delay Muondoe au Kuhujumu,Wananchi Tunataka Umeme nafuu,Biashara zikue.
Yaani Kati ya Yoooooote shikilia hapa hapa. Ukianguka kwenye Huu Mradi. Umekwisha na hakuna atakaekuthamini wala Kukukumbuka RAIS Dr.JOHN POMBE MAGUFULI! Tena Na Ubora wa Kazi Uwepo!
Tafuta Consultant wa Kukagua Mradi huo ukichanganya na Wazawa wazoefu!
Wapo,Mabwawa tunayo!
Peleka watu waende nje wakajifunze,
Umeme unagusa Maisha ya Kila Siku ya Watanzania 95%.
Fanya Kila Uwezalo Mradi huu Ukamilike tena Kwa Wakati!
BIG UP!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ivi ile gas ipo wapi maana tuliambiwa ndio suluhisho la tatizo la umeme Tanzania na Bei zitaporomoka , leo umeanza Tena mradi mwingine , me naona ni matumizi mabaya ya pesa za wananchi Cha msingi hapa ni kuendeleza ule ule mradi wa gasi ambao tumeshauanza.Hongera sana Rais John Pombe Magufuli Kwa Ujenzi wa Stiegliers gorge, Komaa Kazi Ifanyike usiku na Mchana,Na Atakae Fanya any Delay Muondoe au Kuhujumu,Wananchi Tunataka Umeme nafuu,Biashara zikue.
Yaani Kati ya Yoooooote shikilia hapa hapa. Ukianguka kwenye Huu Mradi. Umekwisha na hakuna atakaekuthamini wala Kukukumbuka RAIS Dr.JOHN POMBE MAGUFULI! Tena Na Ubora wa Kazi Uwepo!
Tafuta Consultant wa Kukagua Mradi huo ukichanganya na Wazawa wazoefu!
Wapo,Mabwawa tunayo!
Peleka watu waende nje wakajifunze,
Umeme unagusa Maisha ya Kila Siku ya Watanzania 95%.
Fanya Kila Uwezalo Mradi huu Ukamilike tena Kwa Wakati!
BIG UP!
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa watakua wameuza mkaa wenye thamani za mabilioni kwa hio miti mil.5 iliyokatwaMmhhh,,!!!mkataba ni miezi36 tu wawe washakabidhi mradi serikalini
Ukizingatia miti inayokatwa hapo milion mia5 Square meters sawa na ukubwa wa mji wa dar,
Hapo sasa ndio kuna vizungumkuti[emoji1321]♂️
twende pamoja jpm for life