mkuu since Mh magufuli aingie lini kulikuwa na mgao wa umemeKweli ukipenda chongo utaita kengeza...
Unaingizwa choo kisicho kuhusu na wewe unaingia kichwa kichwa subiri upewe data za Umeme unavyo sumbua sasa hivi Ushauri wangu kwako kuwa mtulivu kwanza usirukie treni kwa mbele Nchi ni ya wote itajengwa kwa pamoja taratibu kwa mpangiliotwende pamoja jpm for life
Hivi kuna siku hata moja umewahi kuukosoa utawala huu?mkuu since Mh magufuli aingie lini kulikuwa na mgao wa umeme
Je wewe ushawahi hata siku moja kusifia utawala huuHivi kuna siku hata moja umewahi kuukosoa utawala huu?
Kwa hili jibu lako nielewe nini? Kwamba ikitokea sijawahi kumsifia hiyo ni ruhusa ya wewe kutomkosoa? Toka aliposhindwa kuiheshimu Katiba aliyoapa kuilinda na kuitetea alipoteza imani yangu kwake. Je wewe?Je wewe ushawahi hata siku moja kusifia utawala huu
Kweli mkuu, maana hata 'mtundulisu' naye ana washabiki na hawaoni utundulisu wake.Kweli ukipenda chongo utaita kengeza...
Hadi Kiswahili kinatekwa na kuteswa! Kazi ipo.uwo ushauri mpe mmeo muda huu
kuwa chadema kusikunye ukawa mjinga kwamba huoni fisi ww
Naam, risasi 38 na 16 kati ya hizo kutua mwilini na bado mzalendo anadunda akiwaacha waliopanga na kuratibu mauaji wakiteseka kiasi hiki unavyoteseka si mchezo.Kweli mkuu, maana hata 'mtundulisu' naye ana washabiki na hawaoni utundulisu wake.
Hahaa, kupigwa risasi ndo umekuwa mtaji wa kisiasa na kuchukua nafasi iliyoachwa wazi na sera. Huko kama siyo kufilisika kisiasa ni kitu gani?Naam, risasi 38 na 16 kati ya hizo kutua mwilini na bado mzalendo anadunda akiwaacha waliopanga na kuratibu mauaji wakiteseka kiasi hiki unavyoteseka si mchezo.
Wa kuulizwa hilo swali ni nyie mliommiminia hizo risasi.Hahaa, kupigwa risasi ndo umekuwa mtaji wa kisiasa na kuchukua nafasi iliyoachwa wazi na sera. Huko kama siyo kufilisika kisiasa ni kitu gani?
Mag3 we ni mchambuzi mzuri na bora sana. Wengi tunajifunza mengi toka kwako. Mabishano na ushabiki huu wa ccm na cdm unajidhalilisha kujiingiza humoWa kuulizwa hilo swali ni nyie mliommiminia hizo risasi.
Mgao upi ukliomalizwa? Wa kutangazwa au wa kimya kimya?Habari wakuu,
Kama tuna kumbukumbu kidogo miaka ya nyuma tatizo la mgao wa umeme lilikuwa kama kansa inayoitafuna nchi hii nchi ilikuwa haimalizi mwaka bila kuwa na mgao wa umeme mara maji Mtera yamepungua mara hivi mara vile yani zilikuwa sarakasi zisizokuwa na mwisho kiasi cha kwamba wajanja wacheche walijinufaisha kupitia tatizo la upungufu wa umeme.
Tumeshuhudia mikataba mingi mibovu iliyoitikisa nchi na kulitia taifa aibu na hasara ya hali ya juu. Tumeshuhudia mikataba kama Richmond na Escrow ikiingizia taifa hasara kubwa sana na kusababisha baadhi ya mafisadi kama mzee lowassa kujiudhulu na baadae kukimbilia katika CHADEMA baada ya kutambua hakuna nafasi ya madudu chini ya mh rais Magufuli.
Tangu utawala wa awamu ya tano uingie madarakani zaidi ya miaka mitatu nyuma, suala la mgao wa umeme limekuwa historia.
Mh. Rais amejitahidi sana kumaliza tatizo hili hivyo kupelekea kuleta unafuu kwa viwanda ambavyo viilikuwa vinatumia gharama kubwa kuzalisha umeme kwa kutumia mafuta pia kuwaondolea hasara waliokuwa wanapata wafanyabiasha ndogo ndogo kama mabutcher, wauzaji wa soft drink pamoja na wamama wauza mabarafu na ice cream.
Vijana na wananchi wengi tunakubali sana utendaji wa mh Rais hatuyumbishwi na wazurulaji watanzania tunataka maendeleo
We mweupe kabisa kuna watu kigamboni kutwa wanakatiwa umeme FRANCIS DA DON njoo umuweke Sawa huyumkuu since Mh magufuli aingie lini kulikuwa na mgao wa umeme