Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Wanaomuharibia raisi Magufuli ni wale wanaompa wrong solutions to wrong enemies. Matokeo yake anaproduce wrong enemies na hivyo watu wamejikuta wakihesabu mabaya yake badala ya mazuri yake.
 
Kwa hili jibu lako nielewe nani? Kwamba ikitokea sijawahi kumsifia hiyo ni ruhusa ya wewe kutomkosoa? Toka aliposhindwa kuiheshimu Katiba aliyoapa kuilinda na kuitetea alipoteza imani yangu kwake. Je wewe?
Kifungu namba ngapi kakivunja?

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
 
Naam, risasi 38 na 16 kati ya hizo kutua mwilini na bado mzalendo anadunda akiwaacha waliopanga na kuratibu mauaji wakiteseka kiasi hiki unavyoteseka si mchezo.
Hizo risasi 16 ni hizi risasi tunazozijua au kulikua na risasi za mabua?

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full of confidence.
 
Hahahaha
Mbavu zangu weee
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umesahau kuweka namba ya simu ili uitwe kwenye usaili wa uteuzi
In God we Trust
 
Huyo ni sawa sawa na nyoka asiye na macho maana anadandia kila pahala
Unaingizwa choo kisicho kuhusu na wewe unaingia kichwa kichwa subiri upewe data za Umeme unavyo sumbua sasa hivi Ushauri wangu kwako kuwa mtulivu kwanza usirukie treni kwa mbele Nchi ni ya wote itajengwa kwa pamoja taratibu kwa mpangilio

In God we Trust
 
Jana niliuliza kwa hili picha la mh Lissu kuna watu wanateseka?
Naam, risasi 38 na 16 kati ya hizo kutua mwilini na bado mzalendo anadunda akiwaacha waliopanga na kuratibu mauaji wakiteseka kiasi hiki unavyoteseka si mchezo.


In God we Trust
 
Mlivyompiga risasi hamkujua kuwa Lissu ni mpango wa mungu hawezi kuuwawa na walaanika kama nyinyi?
Hahaa, kupigwa risasi ndo umekuwa mtaji wa kisiasa na kuchukua nafasi iliyoachwa wazi na sera. Huko kama siyo kufilisika kisiasa ni kitu gani?

In God we Trust
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…