Sky eclat kuna post moja umei like ya mdada mmoja aliyesema eti tusameheane na Hawa watekaji sijaipenda huwezi ku compromise na mhuni!!!Hata ukilinganisha jamaa na sababu ya magadi utaona sabuni ya magadi ni bora kwakuwa ndiyo unayo mudu kununua.
Barikiwa mkuuHivi nashindwa kuelewA mbona maraisi waliotangulia walifanya mengi mazuri na wananchi tukafurahia matunda mazuri lakini watu hawakusifia mbali na kuneemeka na matunda ya mmoja mmoja Leo hii wanafiki wanajifanya kusifia tuu .
Sent using Jamii Forums mobile app
Ben saanane na azory gwanda wakisoma Hii post yako wanakuombea na wewe uingie kwenye 18 ya jiwe utajuta kuandika huu upupuHabari wakuu kwa muda mchache tangu rais wetu magufuli aingie madarakani amefanya mambo mengi makubwa sana kunaonekana kabisa transformation ya wazi kutoka nchi ya uchumi wa chini kwenda kwenye nchi ya uchumi wa kati.Tumeshuhudia akipambana na rushwa,akipigania maslai mapana ya nchi licha ya kejeli anazopata na vikwazo anavyotengenezewa na mambeberu kupitia wanasias uchwara lakini bado anafany kazi yake ipasavyo.Hongera magufuli umekuwa rais bora kuwahi kutokea afrika mashariki
Labda sikusoma vizuriSky eclat kuna post moja umei like ya mdada mmoja aliyesema eti tusameheane na Hawa watekaji sijaipenda huwezi ku compromise na mhuni!!!
Nilishangaa Sana kukuona umekoment kwa Yule dada nikajua simu yako kachezea mtotoLabda sikusoma vizuri
Katika haya embu tuache serikali kupitia jeshi la polisi lieendelee na uchunguziBen saanane na azory gwanda wakisoma Hii post yako wanakuombea na wewe uingie kwenye 18 ya jiwe utajuta kuandika huu upupu
Hivi kuna tapeli kuzidi yule ambaye aliahidi mil 50 kila kijiji na ghafla akageuka anataka kila mwanakijiji amchangie elfu 20? Kuna utapeli wa kisiasa zaidi ya huo?Naiona TANZANIA mpya.
Utapeli wa wanasiasa hususan vyama vya upinzani Tanzania unaenda kuisha.
Walishajenga mizinga wakati wa uchaguzi kujifanya wanauwezo wa kutatua changamoto za huduma za jamii KWA wananchi wakati hawana uwezo huo kazi makelele na kulaumu serikali.
Awamu ya 5 pigeni kazi na matapeli hawa wa siasa wamefika mwisho wao 2020.
Kamata weka ndani wapate kujua utapeli haulipi.
Hongera sana JPM and team.
Hapa kazi tu. Hakuna longolongo.
RubbishNaiona TANZANIA mpya.

Ivi hichi ndo kile kikundi kinachojiicha mataga?Naiona TANZANIA mpya.
Utapeli wa wanasiasa hususan vyama vya upinzani Tanzania unaenda kuisha.
Walishajenga mizinga wakati wa uchaguzi kujifanya wanauwezo wa kutatua changamoto za huduma za jamii KWA wananchi wakati hawana uwezo huo kazi makelele na kulaumu serikali.
Awamu ya 5 pigeni kazi na matapeli hawa wa siasa wamefika mwisho wao 2020.
Kamata weka ndani wapate kujua utapeli haulipi.
Hongera sana JPM and team.
Hapa kazi tu. Hakuna longolongo.
Anaona aibu na koro showWanabodi,
Nimetafakari sana katika kipindi cha takribani mwezi mmoja na zaidi, sijasikia na wala kuona Rais wangu mpendwa Dr. John Pombe Magufuli akizungumza katika vyombo vya habari. Ninachokiona ni Makamu wa rais Mama Samia Suluhu Hasani akiwa na Mawaziri wake katika mkoa wa Tabora. Vilevile namwona Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa Majaliwa naye akichanja mbuga kunyoosha mambo serikalini katika mikoa mbalimbali. Style hii mpya ya uongozi nimeipenda na imewavutia watu wengi. Nadhani mtindo huu alioamua kuutumia ni mzuri sana na una tija kubwa kwa taifa.
Licha ya watu kuendelea kuzunguka katika nchi za Ulaya na Marekani kuponda mazuri unayoyafanya hapa Tanzania, wewe endelea kukaa kimya na endelea kumtumia vizuri Waziri wa Mambo ya Nje, Balozi Dr. Mahiga. Nchi imesimama vizuri na mambo yananyooka. Wewe endelea kuvuta pumzi kwa ajili ya uchaguzi mkuu ujao kwani CCM watakupitisha kuwa mgombea wao. Sina mashaka kabisa na utendaji wako na uaminifu wako kwa taifa.
Nelson,
Uvinza, Kigoma.
WANAPATA TAABU SANA KUELEWA ANAWAZA NINI. AKAE TU KIMYA RAIS WETU ILI WATAPIKE YOTE YAISHEwapinzani wanakosa tafsiri ya hili.