Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mkuu amezindua Viwanda 3600 Nchi nzima.. Sasa anapumzika 😀😀😀
 
JPM akihutubia lazima mtu ang'oke sasa ni zamu ya Mama samia na Pm kufumua madudu
Samia-Suluhu-Hassan-1.jpg

Anachapa kazi balaa huko Tabora
 
Wanabodi,

Nimetafakari sana katika kipindi cha takribani mwezi mmoja na zaidi, sijasikia na wala kuona Rais wangu mpendwa Dr. John Pombe Magufuli akizungumza katika vyombo vya habari. Ninachokiona ni Makamu wa rais Mama Samia Suluhu Hasani akiwa na Mawaziri wake katika mkoa wa Tabora. Vilevile namwona Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa Majaliwa naye akichanja mbuga kunyoosha mambo serikalini katika mikoa mbalimbali. Style hii mpya ya uongozi nimeipenda na imewavutia watu wengi. Nadhani mtindo huu alioamua kuutumia ni mzuri sana na una tija kubwa kwa taifa.

Licha ya watu kuendelea kuzunguka katika nchi za Ulaya na Marekani kuponda mazuri unayoyafanya hapa Tanzania, wewe endelea kukaa kimya na endelea kumtumia vizuri Waziri wa Mambo ya Nje, Balozi Dr. Mahiga. Nchi imesimama vizuri na mambo yananyooka. Wewe endelea kuvuta pumzi kwa ajili ya uchaguzi mkuu ujao kwani CCM watakupitisha kuwa mgombea wao. Sina mashaka kabisa na utendaji wako na uaminifu wako kwa taifa.

Nelson,
Uvinza, Kigoma.
Mkuu umesahau kuweka namba ya simu.

Haonekani kwa sababu anaogopa kuulizwa kampuni ya Kenya kama imeshanunua korosho.
 
Anaona aibu na koro show

Sent using Jamii Forums mobile app
Sas kama akiongea anajikuta kadanganya anakosea kila kona mambo ayaishi ataachaje kukaa kimya sasa exampl koroshow

Sent using Jamii Forums mobile app
Jiwe anaona kila kitu kaharibu. Kaamua kujifungia kwenye vyumba wa magogoni. Jiwe ni failure big time.
Upinzani kamwe hautamwelewa Dkt JPM jinsi anavyofanya siasa na kuwaendesha kwa kauli na matendo yake.

JPM hana kiongozi wa mfano wake hapa duniani kwa jinsi hiyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utendaji wa JPM ulining'oa kambi rasmi ya upinzani. Mwaka wa kwanza wa uongozi wake nilikuwa BAVICHA. Mwaka wa pili nikamsoooooma nikaona hapana. Ngoja niwe neutral. Mwaka wa tatu nikaona nimuunge mkono asilimia zote. Rais anachapa sana kazi ukilinganisha na awamu zilizopita. Akipiga hivi miaka 5 halafu akachaguliwa tena miaka mingine 5, Tanzania ileee yenye asali naiona.
 
Wanabodi,

Nimetafakari sana katika kipindi cha takribani mwezi mmoja na zaidi, sijasikia na wala kuona Rais wangu mpendwa Dr. John Pombe Magufuli akizungumza katika vyombo vya habari. Ninachokiona ni Makamu wa rais Mama Samia Suluhu Hasani akiwa na Mawaziri wake katika mkoa wa Tabora. Vilevile namwona Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa Majaliwa naye akichanja mbuga kunyoosha mambo serikalini katika mikoa mbalimbali. Style hii mpya ya uongozi nimeipenda na imewavutia watu wengi. Nadhani mtindo huu alioamua kuutumia ni mzuri sana na una tija kubwa kwa taifa.

Licha ya watu kuendelea kuzunguka katika nchi za Ulaya na Marekani kuponda mazuri unayoyafanya hapa Tanzania, wewe endelea kukaa kimya na endelea kumtumia vizuri Waziri wa Mambo ya Nje, Balozi Dr. Mahiga. Nchi imesimama vizuri na mambo yananyooka. Wewe endelea kuvuta pumzi kwa ajili ya uchaguzi mkuu ujao kwani CCM watakupitisha kuwa mgombea wao. Sina mashaka kabisa na utendaji wako na uaminifu wako kwa taifa.

Nelson,
Uvinza, Kigoma.

Uko sahihi sana. Hata zile hotuba za kila mwisho wa mwezi hana, atapata wapi muda wakati ana mafaili hadi kwenye Master Bedroom yake? Magufuli ataendelea kufanya kazi kwa ajili ya Taifa hili na tunamwombea!
 
Wanabodi,

Nimetafakari sana katika kipindi cha takribani mwezi mmoja na zaidi, sijasikia na wala kuona Rais wangu mpendwa Dr. John Pombe Magufuli akizungumza katika vyombo vya habari. Ninachokiona ni Makamu wa rais Mama Samia Suluhu Hasani akiwa na Mawaziri wake katika mkoa wa Tabora. Vilevile namwona Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa Majaliwa naye akichanja mbuga kunyoosha mambo serikalini katika mikoa mbalimbali. Style hii mpya ya uongozi nimeipenda na imewavutia watu wengi. Nadhani mtindo huu alioamua kuutumia ni mzuri sana na una tija kubwa kwa taifa.

Licha ya watu kuendelea kuzunguka katika nchi za Ulaya na Marekani kuponda mazuri unayoyafanya hapa Tanzania, wewe endelea kukaa kimya na endelea kumtumia vizuri Waziri wa Mambo ya Nje, Balozi Dr. Mahiga. Nchi imesimama vizuri na mambo yananyooka. Wewe endelea kuvuta pumzi kwa ajili ya uchaguzi mkuu ujao kwani CCM watakupitisha kuwa mgombea wao. Sina mashaka kabisa na utendaji wako na uaminifu wako kwa taifa.

Nelson,
Uvinza, Kigoma.
Nelson wapo wengi,weka na ya simu kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sakata k koosho kimemvua nguo mh siku zote muungwama akuvuliwa nguo uchutama.
Nawaoneaga huruma sana kwa kujitengenezea furaha za muda ..siku JPM akija kuliongelea suala la korosho mtaumbuka na kuhamia kwenye ajenda nyingine.Hakuna ajenda mtakayoikimbilia ambayo Magufuli haijaifanyia kazi vilivyo.
 
Utendaji wa JPM ulining'oa kambi rasmi ya upinzani. Mwaka wa kwanza wa uongozi wake nilikuwa BAVICHA. Mwaka wa pili nikamsoooooma nikaona hapana. Ngoja niwe neutral. Mwaka wa tatu nikaona nimuunge mkono asilimia zote. Rais anachapa sana kazi ukilinganisha na awamu zilizopita. Akipiga hivi miaka 5 halafu akachaguliwa tena miaka mingine 5, Tanzania ileee yenye asali naiona.
Wewe ndio Benson Mramba?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom