Alex Fredrick
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 697
- 1,358
Tanzania sasa tunaitaji maendeleo tu na tayari tumempata Kilongora Mh Magufuli ambaye ameshavaa viatu vya Uzalendo uliotukuka kwaajili ya kusimamia Rasilimali za Taifa kwa ustawi wa Watanzania wote.
Rushwa ndio lilikuwa tatizo kubwa Nchini lakini sasa vigogo wote wanafikishwa mbele ya vyombo vya sheria,Lakini zaidi secta zote Bajeti imeongezeka kama afya madawa toka Billion 34 mpaka sasa Billion 269.
Elimu bure msingi mpaka secondary. Secta ya madini Serikali imekaa na wadau ili ichangie 25% ya pato la Taifa au zaidi kama wataalamu wanavyosema.
Sekta ya Viwanda inaenda vizuri tayari mradi wa Stiegles kule Rufiji umeanza ambao utatoa megawati 2015 na kuachana na huu utapeli wa Power Plants ambao umetunyonya sana,Pia mwaka huu Setikali inapeleka Muswada Bungeni ili kila mwananchi mnyonge hasa secta binafsi wawe na Bima ya afya ambapo tunaambiwa 65% hawana hii bima ya afya.
Kwahiyo sasa tuweke mkazo wa Secta ya Kilimo na secta ya Utalii,Elimu na afya zinahitaji maboresho madogo tu.
Yapo mengi tu kama ununuzi wa ndege na mradi mkubwa wa SGR na mengineyo. ##JPM KIOO TUELEKEACHO