Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rubbish!Kweli nimethibitisha rais magufuli anasoma sana post zetu za jf hivyo tusichoke kuandika anapitia humu mfano ni huu!
Niliwahi kushauri humu juu ya wakuu wa jeshi la polisi watoke jwtz kwasababu polisi Wamepoteza heshima kwa jamii
Jana kasema wazi kabisa magereza wajiandae kisaikolojia bosi wao atatoka jwtz huu ni mwanzo bado nafasi ya siro itatoka ngome upanga tuko hapa mtaniambia!!
Umenikosha mh magufuli sometime s unapatia Sana!!
Mods naomba uzi usomeke rais magufuli amesoma uzi wangu au amefwata ushauri wangu ongezeeni neno wangu kuboresha mantiki yangu
Unasemaa...?No kweli mkuu JWT wana adamu heshima kubwa na wanajitambua hawana mambo ya kizamani wanajielewa wao ni akina nani kwenye taiga hili.nawahongera alichosema Mh. Raisi is Exelent.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lishamba hiloKatiba inampa mamlaka ya kufanya teuzi kutoka mahali popote bila kujali ni nzuri ama laa...kipi kigeni hapo mpaka useme kasikiliza ushauri wako?
HovyooooWanaonifwatilia wanajua tafuta nyuzi zangu
- Tanzania imesifiwa na Ofisi ya Umoja wa Mataifa inayoshughulikia Uhusiano wa Nchi za Kusini (UNOSSC), Umoja wa nchi Afrika, Karibian na Pasifiki (ACP) pamoja na nchi mbalimbali kwa namna AMBAVYO INAPAMBANA KULINDA RASILIMALI ZAKE ZA ASILI NA KUDHIBITI UTOROSHAJI HARAMU WA FEDHA toka Afrika kwenda kwenye nchi zilizoendelea...
hv isis kwa siku mnalog in wangapi walahMwenye Enzi Mungu akiwa upande wetu ni nani ata thubutu kuwa juu yetu?
Hongera Tanzania yangu walahi
Nilianza kufurahi kuwa Rais anaendelea kuungwa mkono na mataifa ulimwenguni lakini kumbe mleta mada ni kati ya wale wanawania uwaziri. Tuliwahi kuambiwa Trump anamkubali Rais wetu kumbe si kweli. Labda ingetafutwa njia nyingine ya kupata watu wa kuteua.
- Tanzania imesifiwa na Ofisi ya Umoja wa Mataifa inayoshughulikia Uhusiano wa Nchi za Kusini (UNOSSC) , Umoja wa nchi Afrika, Karibian na Pasifiki (ACP) pamoja na nchi mbalimbali kwa namna ambavyo inapambana kulinda rasimali zake za asili na kudhibiti utoroshaji haramu wa fedha toka Afrika kwenda kwenye nchi zilizoendelea.
- Akiwasilisha mada kuhusu juhudi za Tanzania katika eneo hilo Mh . Dkt Damas Ndumbaro, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, alieleza mafanikio hayo ni matokeo ya utashi wa kisaisa ambayo Tanzania inayo.
- Jumuiya za kimataifa na nchi mbalimbali zimempongeza Dkt Magufuli, Rais wa Tanzania kwa kuongoza mabadiliko ya kiuchumi ambayo yameleta mafanikio katika utekelezaji wa Malengo ya Endelevu ya 2030 kama vile Elimu Bure , Kuimarisha Huduma za Afya, ujenzi wa Miundombinu na mkakati wa kuendeleza Viwanda.