Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Nilianza kufurahi kuwa Rais anaendelea kuungwa mkono na mataifa ulimwenguni lakini kumbe mleta mada ni kati ya wale wanawania uwaziri. Tuliwahi kuambiwa Trump anamkubali Rais wetu kumbe si kweli. Labda ingetafutwa njia nyingine ya kupata watu wa kuteua.

Trump ni nani kwa Africa?
Trump akikusifia ujue uko kwenye totally wrong direction ndugu yangu!
Acha ukibaraka mambo leo!
 
Uwiii
Niko mwenyewe jamani
Duh, nilifikiri umenimiss
eh eh nmekumiss halafu hv weye mrembo eh? nashangaa unawezaje ingia top ten ya like umeanza mwaka 2016 wakati vikongwe tumejoin 2011 hata top 100 hatupo na tunapost kila siku ah ah au unanunua like nn
 
  • Tanzania imesifiwa na Ofisi ya Umoja wa Mataifa inayoshughulikia Uhusiano wa Nchi za Kusini (UNOSSC) , Umoja wa nchi Afrika, Karibian na Pasifiki (ACP) pamoja na nchi mbalimbali kwa namna ambavyo inapambana kulinda rasimali zake za asili na kudhibiti utoroshaji haramu wa fedha toka Afrika kwenda kwenye nchi zilizoendelea.
  • Akiwasilisha mada kuhusu juhudi za Tanzania katika eneo hilo Mh . Dkt Damas Ndumbaro, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, alieleza mafanikio hayo ni matokeo ya utashi wa kisaisa ambayo Tanzania inayo.
  • Jumuiya za kimataifa na nchi mbalimbali zimempongeza Dkt Magufuli, Rais wa Tanzania kwa kuongoza mabadiliko ya kiuchumi ambayo yameleta mafanikio katika utekelezaji wa Malengo ya Endelevu ya 2030 kama vile Elimu Bure , Kuimarisha Huduma za Afya, ujenzi wa Miundombinu na mkakati wa kuendeleza Viwanda.

Mbona inchi za wenzetu wanasifiwa sana na hatusikii makelele kama sisi

Sisi hadi kusalimiwa tu basi ni habari
 
eh eh nmekumiss halafu hv weye mrembo eh? nashangaa unawezaje ingia top ten ya like umeanza mwaka 2016 wakati vikongwe tumejoin 2011 hata top 100 hatupo na tunapost kila siku ah ah au unanunua like nn
Hahahaha
Si umeniita mrembo?
Malkia wa nyuki, nipe likes ule asali walahi
 
Ama kwa hakika awamu hii ni ya kipekee kabisa.

Mzee Mkapa alipokuwa rais alipenda kutumia maneno ya wimbo mmoja wa dansa wa enzi za ujana wake, 'wewe mtoto wacha kupiga mayowe, waache watu waone wenyewe' Na mwaka jana kwenye African Leaders Forum nchini Rwanda alizungumza kwa hasira na kusema "African Leaders are extremely selfish and short sighted; their major preoccupation is now and here". Methinks pamoja na kwamba alikuwa akizungumza kwa ujumla lakini alikuwa akitumia viongozi wa nchini kwake kama mfano hai.
 
  • Tanzania imesifiwa na Ofisi ya Umoja wa Mataifa inayoshughulikia Uhusiano wa Nchi za Kusini (UNOSSC) , Umoja wa nchi Afrika, Karibian na Pasifiki (ACP) pamoja na nchi mbalimbali kwa namna ambavyo inapambana kulinda rasimali zake za asili na kudhibiti utoroshaji haramu wa fedha toka Afrika kwenda kwenye nchi zilizoendelea.
  • Akiwasilisha mada kuhusu juhudi za Tanzania katika eneo hilo Mh . Dkt Damas Ndumbaro, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, alieleza mafanikio hayo ni matokeo ya utashi wa kisaisa ambayo Tanzania inayo.
  • Jumuiya za kimataifa na nchi mbalimbali zimempongeza Dkt Magufuli, Rais wa Tanzania kwa kuongoza mabadiliko ya kiuchumi ambayo yameleta mafanikio katika utekelezaji wa Malengo ya Endelevu ya 2030 kama vile Elimu Bure , Kuimarisha Huduma za Afya, ujenzi wa Miundombinu na mkakati wa kuendeleza Viwanda.
Hapa ufipa hawaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba kuwasilisha waungwana

Katika kipindi cha takribani miaka minne ya Mh.Rais watumishi Wa umma wamekuwa wakilia na kulalamikia nyongeza.

Naomba nikili kuwa si kweli kuwa mh rais aliamua kuzuia nyongeza kwa makusudi Bali ni kutokana na mipango mipana aliyokuwa nayo Mh.Rais katika kuhakikisha taifa linasonga mbele

Ili kuonesha kuwa rais wetu anajali masrahi ya watumishi Wa umma kuna taarifa nimepenyezewa toka chanzo cha kuaminika kuwa kilio cha watumishi Wa umma kitatatuliwa hivi karibuni ambapo Mh .rais JPM atapandisha mishahara ya watumishi Wa umma maradufu kwa mwaka Wa fedha 2019/2020

Naomba nitoe pongezi zangu za dhati kutoka kwenye uvungu Wa moyo wangu kwa Mh. JPM kwa hatua hii ya kuwajali watumishi Wa ummma

Viva magufuli,Magufuli for 2020-2025

Kama kuna majuha tanzania ni watumishi wa serikali including you! if you are one of them anyway!
 
Naomba kuwasilisha waungwana

Katika kipindi cha takribani miaka minne ya Mh.Rais watumishi Wa umma wamekuwa wakilia na kulalamikia nyongeza.

Naomba nikili kuwa si kweli kuwa mh rais aliamua kuzuia nyongeza kwa makusudi Bali ni kutokana na mipango mipana aliyokuwa nayo Mh.Rais katika kuhakikisha taifa linasonga mbele

Ili kuonesha kuwa rais wetu anajali masrahi ya watumishi Wa umma kuna taarifa nimepenyezewa toka chanzo cha kuaminika kuwa kilio cha watumishi Wa umma kitatatuliwa hivi karibuni ambapo Mh .rais JPM atapandisha mishahara ya watumishi Wa umma maradufu kwa mwaka Wa fedha 2019/2020

Naomba nitoe pongezi zangu za dhati kutoka kwenye uvungu Wa moyo wangu kwa Mh. JPM kwa hatua hii ya kuwajali watumishi Wa ummma

Viva magufuli,Magufuli for 2020-2025

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui

Hakuna cha Maradufu watu wameshateseka vya kutosha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom