Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 4,035
- 11,462
USA mzee mapema sana angekuwa kasharamba shaba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nchinzote ulizo zitaja. Choka mbaya kama sis tu.1. Nchi ya Kenya mpaka kesho wanaonyesha hali ya juu sana ya kumkubali Rais Magufuli, Na wamekuwa wakituma ujumbe Mara kwa Mara kupitia ukurasa wa Rais wa Kenya Mr Uhuru Kenyatta, kuwa Magufuli njoo utuondolee ufisadi Kenya.
2. Nchi ya Colombia; Hii ni nchi maarufu sana Duniani. Mwana riadha Carles Valdez, ameandika Mara kwa Mara katika kurasa zake, kuwa "The African rising star from Africa, please join us ,help us with this triumph corruption in our country"
3. Napo Uganda kwa Mzee Mseven wametaka kuwa na Rais Magufuli, hawaijui Kiswahili vema, wanasema HIS EXCELLENCY JOHN POMBE MAGUFULI, NJOOO UTUNYOROOSHEEE, tunakutaka uku!
4. USA, ni vigumu sana kuamini kwamba watu wa USA wanafuatilia pia, mmoja kaandika kwenye ukurasa wa Twitter kuwa, "Trump you are John too but you don't deserve to be respected as John of Tanzania, welcome to USA we need a president of your caliber "
5. Bolivia ni nchi inayopatikana kusini mwa bara la America. Wakati wa mechi ya kirafiki Na Venezuela, ilionekana bango kwa mbali wakipinga rushwa inayoendelea nchini mwao, lilikuwa linasema " there is an emerging country in Africa with MAGUFULI. Our president don't be ashamed to get lecture from the guy"
6. Nepal mitaa ya kathmandul wananchi wameamdamana kutaka mitaa baadhi iitwe MAGUFULI, Na kusema wanataka Rais wao awe kama Magufuli.
7. Nchini Congo kwa mobutu seseko wa zabangaa nyote ni mashahidi, wakati mkilia kule wanaomba Rais Magufuli aongoze,
8. Nchi ya Australia magazeti yanatoa maoni ya watu mbali mbali Na kusema wanashangaa kuna ka nchi uko Africa kana Rais ni hatari kabisa, wanatamani aongoze hata kule!
9. Madagascar kwa Waziri Mkuu Kelvin Ruud, nao walishawahi kuandamana mitaa ya Antananarivo kushinikiza Rais wao afuate mfumo wa uongozi Tanzania.
Watanzania yatupasa tutembee vifua mbele kwani tuna Rais Magufuli mwenye viwango, sifa, ubora na kipawa cha uongozi cha kitaifa na kimataifa. Najivunia Rais Magufuli.
1. Nchi ya Kenya mpaka kesho wanaonyesha hali ya juu sana ya kumkubali Rais Magufuli, Na wamekuwa wakituma ujumbe Mara kwa Mara kupitia ukurasa wa Rais wa Kenya Mr Uhuru Kenyatta, kuwa Magufuli njoo utuondolee ufisadi Kenya.
2. Nchi ya Colombia; Hii ni nchi maarufu sana Duniani. Mwana riadha Carles Valdez, ameandika Mara kwa Mara katika kurasa zake, kuwa "The African rising star from Africa, please join us ,help us with this triumph corruption in our country"
3. Napo Uganda kwa Mzee Mseven wametaka kuwa na Rais Magufuli, hawaijui Kiswahili vema, wanasema HIS EXCELLENCY JOHN POMBE MAGUFULI, NJOOO UTUNYOROOSHEEE, tunakutaka uku!
4. USA, ni vigumu sana kuamini kwamba watu wa USA wanafuatilia pia, mmoja kaandika kwenye ukurasa wa Twitter kuwa, "Trump you are John too but you don't deserve to be respected as John of Tanzania, welcome to USA we need a president of your caliber "
5. Bolivia ni nchi inayopatikana kusini mwa bara la America. Wakati wa mechi ya kirafiki Na Venezuela, ilionekana bango kwa mbali wakipinga rushwa inayoendelea nchini mwao, lilikuwa linasema " there is an emerging country in Africa with MAGUFULI. Our president don't be ashamed to get lecture from the guy"
6. Nepal mitaa ya kathmandul wananchi wameamdamana kutaka mitaa baadhi iitwe MAGUFULI, Na kusema wanataka Rais wao awe kama Magufuli.
7. Nchini Congo kwa mobutu seseko wa zabangaa nyote ni mashahidi, wakati mkilia kule wanaomba Rais Magufuli aongoze,
8. Nchi ya Australia magazeti yanatoa maoni ya watu mbali mbali Na kusema wanashangaa kuna ka nchi uko Africa kana Rais ni hatari kabisa, wanatamani aongoze hata kule!
9. Madagascar kwa Waziri Mkuu Kelvin Ruud, nao walishawahi kuandamana mitaa ya Antananarivo kushinikiza Rais wao afuate mfumo wa uongozi Tanzania.
Watanzania yatupasa tutembee vifua mbele kwani tuna Rais Magufuli mwenye viwango, sifa, ubora na kipawa cha uongozi cha kitaifa na kimataifa. Najivunia Rais Magufuli.
Kevin Rudd na madagascar wapi na wapi1. Nchi ya Kenya mpaka kesho wanaonyesha hali ya juu sana ya kumkubali Rais Magufuli, Na wamekuwa wakituma ujumbe Mara kwa Mara kupitia ukurasa wa Rais wa Kenya Mr Uhuru Kenyatta, kuwa Magufuli njoo utuondolee ufisadi Kenya.
2. Nchi ya Colombia; Hii ni nchi maarufu sana Duniani. Mwana riadha Carles Valdez, ameandika Mara kwa Mara katika kurasa zake, kuwa "The African rising star from Africa, please join us ,help us with this triumph corruption in our country"
3. Napo Uganda kwa Mzee Mseven wametaka kuwa na Rais Magufuli, hawaijui Kiswahili vema, wanasema HIS EXCELLENCY JOHN POMBE MAGUFULI, NJOOO UTUNYOROOSHEEE, tunakutaka uku!
4. USA, ni vigumu sana kuamini kwamba watu wa USA wanafuatilia pia, mmoja kaandika kwenye ukurasa wa Twitter kuwa, "Trump you are John too but you don't deserve to be respected as John of Tanzania, welcome to USA we need a president of your caliber "
5. Bolivia ni nchi inayopatikana kusini mwa bara la America. Wakati wa mechi ya kirafiki Na Venezuela, ilionekana bango kwa mbali wakipinga rushwa inayoendelea nchini mwao, lilikuwa linasema " there is an emerging country in Africa with MAGUFULI. Our president don't be ashamed to get lecture from the guy"
6. Nepal mitaa ya kathmandul wananchi wameamdamana kutaka mitaa baadhi iitwe MAGUFULI, Na kusema wanataka Rais wao awe kama Magufuli.
7. Nchini Congo kwa mobutu seseko wa zabangaa nyote ni mashahidi, wakati mkilia kule wanaomba Rais Magufuli aongoze,
8. Nchi ya Australia magazeti yanatoa maoni ya watu mbali mbali Na kusema wanashangaa kuna ka nchi uko Africa kana Rais ni hatari kabisa, wanatamani aongoze hata kule!
9. Madagascar kwa Waziri Mkuu Kelvin Ruud, nao walishawahi kuandamana mitaa ya Antananarivo kushinikiza Rais wao afuate mfumo wa uongozi Tanzania.
Watanzania yatupasa tutembee vifua mbele kwani tuna Rais Magufuli mwenye viwango, sifa, ubora na kipawa cha uongozi cha kitaifa na kimataifa. Najivunia Rais Magufuli.
Mbona bado tunamuona uko ndani ya boksi,pamoja na kimya chako kingi bado umerudi kwa mshindo wa kunyata
Loyalty To country Alyways,To government When it deserves
Jamaa bado yuko ndani ya boksi lile lile.Mbona bado tunamuona uko ndani ya boksi,pamoja na kimya chako kingi bado umerudi kwa mshindo wa kunyata
Loyalty To country Alyways,To government When it deserves
Jamaa bado yuko ndani ya boksi.
Umeona eeh! Shilingi inaporomoka, lakini bado anamwaga sifa. Asubiri tununue dola moja kwa sh. 7000/- mwisho wa mwaka huu labda ndo ata restore settingsJamaa bado yuko ndani ya boksi lile lile.
Umeona eeh! Shilingi inaporomoka, lakini bado anamwaga sifa. Asubiri tununue dola moja kwa sh. 7000/- mwisho wa mwaka huu labda ndo ata restore settings
Ndiyo maana nimesema bado hujatoka kwenye boksi, ungekuwa nje ya boksi usingeacha kuona mauaji na utekaji ulivyozidi kipindi chake, usingeacha kuona anavyozuia wenye mawazo tofauti, usingeacha kuona anavyoua demokrasia, usingeacha kuona alivyoharibu uchumi nk nk.Mumesoma na kuelewa lakini?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Pole sana tulikumiss sana kumbe ulikuwa unazunguka na bahasha ya kaki ukitafuta kazi. Baada ya kukosa kabisa, umefanya vizuri kutumia mbinu waliyotumia vijana wengi wa kijiweni kupata kazi bila juhudi kubwa. Kwa sifa uliyotoa hapa labda tayari umeshateuliwa kuwa mkuu mahali. Hongera usinisahau mwenzio bado nasota kwa sababu ya msimamo wangu.Salam,wana jamvi la JF,nimekuwa kimya mda mrefu,bila kuchangia wala kusema chochote mda mrefu,nimejaribu kwenda kidogo nje ya box kutazama ni yapi yanaendelea na nini mwelekeo wa nchi yangu pendwa ya Tanzania.
Kwanza kabisa nimpongeze Rais wangu mpendwa John Joseph Magufuli alivyojipambanua toka ashike atamu za kuwa dira na kiongozi wa awamu ya tano wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, amefanya kazi kubwa ya kurejesha nidhamu miongoni mwa watumishi wa umma, na kwa jamii kwa ujumla,hongera sana Mhe, Rais,Mungu azidi kukupingania mpaka mwisho wa safari yako.
Amezingatia ujenzi wa miundo mbinu na kuzilinda raslimali za nchi,hakuna nchi ilioweza kuendelea pasipo ya kuwa na miundo mbinu bora,hongera kwa ujenzi wa reli ya kisasa (standard gauge), hongera kwa mradi wa umeme wa stigglers,hongera kwa ujenzi wa miundo mbinu mbalimbali haswa Dar-es-salaam, hakika una dhamira ya dhati ya kuibadilisha Tanzania, achilia mbali ununuzi wa ndege za kisasa ambao umerahahisisha usafiri kwa wageni na watanzania kwa ujumla.
Utoaji wa elimu bure,wengi walidhani utashindwa,naelewa ugumu unaoupitia mara nyingine, lakini we usikate tamaa,Mungu amesimama na wewe,na wewe ndiwe ulieletwa kwa wakati huu utuonyeshe njia ya kupita,kiasi cha watoto wengi sasa wanaenda shule kuondoa ujinga,hongera sana Mhe Rais.
Ni mengi sana umeyafanya mazuri makubwa naweza kujaza kurasa nyingi nikisimulia mazuri uliofanya,Mungu azidi kukusimamia kwa kila jambo,lakini kama mtanzania huru mwenye kupenda kutoa maoni na ushauri wakati mwingine, nina haya mambo kadhaa nimeyatazama, naomba uyatizame nawe kama mkuu wa nchi ,kama itawezekana yatafutie majibu mkuu.
Watizame kwa huruma watumishi wa umma,japo kwa kuwapandisha madaraja na kuwaongezea mishahara,Mhe Rais wewe ndiwe Baba wa nyumba yetu pendwa hii ya Tanzania,nakuomba kwa dhati angalia watoto wako hawa wanaokutumikia usiku na mchana hili kusukuma gurudumu la maendeleo la nchi hii, unayo mamlaka makubwa sana ukisema iwe inakuwa,ukisema isiwe inakuwa vilevile, watizame wanao,wanapata tabu, tunajua kama nchi wakati mwingine inatubidi tufunge mkanda ili tuweze kufika kule tunakotaka tufike kama taifa, naamini utalitizama hili kwa jicho la huruma na moyo wa busara.
Imarisha taasisi za ufundi katika taasisi za elimu,ili kupambana na ukosefu wa ajira kwa vijana wengi ambao sasa inaonyesha wanazidi kuongezeka ndani ya nchi yetu,pia vijana wahamasishwe wajiunge na masomo ambayo ni rahisi kukuongezea ubunifu wa kujiajiri mwenyewe,kwa mfano sasa masomo ya Arts yamekuwa hayana soko tena katika ulimwengu wa ajira na kujiajiri pia,hii itapunguza mihemko isiokuwa na maana linapotokea vuguvugu ndani ya jamii yetu ya Tanzania.
Imarisha taasisi za kilimo,kwa kuanzisha schemes za mashamba ya chakula na biashara,kwa kuwatumia wataalam wako ulionao,wanaweza kukushauri,najua zipo baadhi,lakini ni vyema zikaongezwa na zikawa imara pia,hata vijana wetu wasio kuwa na kazi wanaweza kupata ajira katika schemes hizo,hii itaimarisha ukuaji wa viwanda vya mazao,na kuondoa upungufu wa chakula ndani ya nchi.
Ushauri wangu wa mwisho leo,unapoeke muhula wako wa mwisho kuiongoza nchi, naomba uache dira imara itakayosimamiwa na kiongozi mwenye kuifuata dira hiyo ambayo naamini utaweza kuiacha( vision to be accomplished),tusaidie kuimarisha mifumo kwa kubadili sheria ambazo zinatufanya kuwa wavivu,na ziwe zenye kutuwajibisha, sina mengi kwa leo tutaendelea kuongea na kushauriana katika jamvi kadri mda utakavyoruhusu.
Narudia tena kukupongeza Mhe Rais John Joseph Pombe Magufuli,kwa misimamo yako na namna unavyopambana kuikomboa nchi yako kiuchumi,Mungu azidi kukupigania.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Pole sana tulikumiss sana kumbe ulikuwa unazunguka na bahasha ya kaki ukitafuta kazi. Baada ya kukosa kabisa, umefanya vizuri kutumia mbinu waliyotumia vijana wengi wa kijiweni kupata kazi bila juhudi kubwa. Kwa sifa uliyotoa hapa labda tayari umeshateuliwa kuwa mkuu mahali. Hongera usinisahau mwenzio bado nasota kwa sababu ya msimamo wangu.