Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mods naomba uzi usomeke rais magufuli amesoma uzi wangu au amefwata ushauri wangu ongezeeni neno wangu kuboresha mantiki yangu
 
Hongera boss, endelea kushusha nondo kwa maslahi mapana ya nchi yetu.
Heko JF
 
Kweli nimethibitisha rais magufuli anasoma sana post zetu za jf hivyo tusichoke kuandika anapitia humu mfano ni huu!

Niliwahi kushauri humu juu ya wakuu wa jeshi la polisi watoke jwtz kwasababu polisi Wamepoteza heshima kwa jamii

Jana kasema wazi kabisa magereza wajiandae kisaikolojia bosi wao atatoka jwtz huu ni mwanzo bado nafasi ya siro itatoka ngome upanga tuko hapa mtaniambia!!
Umenikosha mh magufuli sometime s unapatia Sana!!
Rubbish!
 
No kweli mkuu JWT wana adamu heshima kubwa na wanajitambua hawana mambo ya kizamani wanajielewa wao ni akina nani kwenye taiga hili.nawahongera alichosema Mh. Raisi is Exelent.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda kwenye majeshi yote kungekuwa na Chuo kimoja lakini sidhani kama bongo IPO hivyo kwani ninachojua kila jeshi lina misingi na kazi zake.
Kuna watu wamebobea kwenye vita wengine usalama wa raia wengine uhamiaji,ustawi wa wafungwa nk.unawezaje kudhani XYZ...zinachangamana?

Tunawaona kundi fulani ni wazuri kwasababu kazi zao haziwahusishi na kukutana na raia kila siku.Ajaribu aone kama watu hawataomba poo na kuichukia serikali yote.

Busara kubwa itumike katika kukabiliana na waovu ndani ya kila jeshi utafiti ufanyike kwanza inawezekana ni uwezeshwaji wa kitaaluma,kiuchumi na kiutamaduni ndiyo msingi wa yote maovu yanayotokea ndani ya vyombo vyetu hivi muhimu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Raisi hawezi fuata ushauri wako wa kipumbavu... anaamua atakavyo... mwishowe siku mtaandika Raisi atembee so akitembea mtasema mmemshauri...

Kuhusu jeshi ni mawazo yake ya kila siku
 
  • Tanzania imesifiwa na Ofisi ya Umoja wa Mataifa inayoshughulikia Uhusiano wa Nchi za Kusini (UNOSSC) , Umoja wa nchi Afrika, Karibian na Pasifiki (ACP) pamoja na nchi mbalimbali kwa namna ambavyo inapambana kulinda rasimali zake za asili na kudhibiti utoroshaji haramu wa fedha toka Afrika kwenda kwenye nchi zilizoendelea.
  • Akiwasilisha mada kuhusu juhudi za Tanzania katika eneo hilo Mh . Dkt Damas Ndumbaro, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, alieleza mafanikio hayo ni matokeo ya utashi wa kisaisa ambayo Tanzania inayo.
  • Jumuiya za kimataifa na nchi mbalimbali zimempongeza Dkt Magufuli, Rais wa Tanzania kwa kuongoza mabadiliko ya kiuchumi ambayo yameleta mafanikio katika utekelezaji wa Malengo ya Endelevu ya 2030 kama vile Elimu Bure , Kuimarisha Huduma za Afya, ujenzi wa Miundombinu na mkakati wa kuendeleza Viwanda.
 
  • Tanzania imesifiwa na Ofisi ya Umoja wa Mataifa inayoshughulikia Uhusiano wa Nchi za Kusini (UNOSSC), Umoja wa nchi Afrika, Karibian na Pasifiki (ACP) pamoja na nchi mbalimbali kwa namna AMBAVYO INAPAMBANA KULINDA RASILIMALI ZAKE ZA ASILI NA KUDHIBITI UTOROSHAJI HARAMU WA FEDHA toka Afrika kwenda kwenye nchi zilizoendelea...
 
Mwenye Enzi Mungu akiwa upande wetu ni nani ata thubutu kuwa juu yetu?
Hongera Tanzania yangu walahi
 
Natamani nikuamini sema Avator I.D zako ni zile sijui jana sikuhongwa vya kutosha..sijui dushe ya jamaa imegoma simama
 
  • Tanzania imesifiwa na Ofisi ya Umoja wa Mataifa inayoshughulikia Uhusiano wa Nchi za Kusini (UNOSSC) , Umoja wa nchi Afrika, Karibian na Pasifiki (ACP) pamoja na nchi mbalimbali kwa namna ambavyo inapambana kulinda rasimali zake za asili na kudhibiti utoroshaji haramu wa fedha toka Afrika kwenda kwenye nchi zilizoendelea.
  • Akiwasilisha mada kuhusu juhudi za Tanzania katika eneo hilo Mh . Dkt Damas Ndumbaro, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, alieleza mafanikio hayo ni matokeo ya utashi wa kisaisa ambayo Tanzania inayo.
  • Jumuiya za kimataifa na nchi mbalimbali zimempongeza Dkt Magufuli, Rais wa Tanzania kwa kuongoza mabadiliko ya kiuchumi ambayo yameleta mafanikio katika utekelezaji wa Malengo ya Endelevu ya 2030 kama vile Elimu Bure , Kuimarisha Huduma za Afya, ujenzi wa Miundombinu na mkakati wa kuendeleza Viwanda.
Nilianza kufurahi kuwa Rais anaendelea kuungwa mkono na mataifa ulimwenguni lakini kumbe mleta mada ni kati ya wale wanawania uwaziri. Tuliwahi kuambiwa Trump anamkubali Rais wetu kumbe si kweli. Labda ingetafutwa njia nyingine ya kupata watu wa kuteua.
 
Back
Top Bottom