Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Kama kuna majuha tanzania ni watumishi wa serikali including you! if you are one of them anyway!
"Unataka kutuaminisha kwamba wazazi wako, mababu na mabibi zako, marafiki zako na majirani zako ni MAJUHA?!"
 
Kwa hiyo watumishi wa Umma ndiyo wanafanya watu kuishi?
 
Kwanza hujui kuandika halafu umepenyezewa habari nyeti duh kweli hapo hakuna MASRAHI!
 
Huyu jamaa asivyopenda kupangiwa, hata kama ni kweli basi ataahirisha
 
Serikali haina uwezo Wa kupandisha hata kwa asilimia 50% sababu makusanyo ya kila mwezi yanamalizwa na malipo ya madeni na mishahara peke yake hivyo vipengele viwili tu. Mwaka mzima tulipata bajeti ya trillion 2.5 tu kwa maendeleo. Sasa nyongeza ya mshahara ambao kwa sasa unakula si chini ya trilioni 5 atapata wapi pesa ya kupandisha.maradufu. kama ni mfanyakazi Wa serikali jiandae kwa maumivu usijipe faraja kwa kuwaza yasiyowezekana

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Umepenyezewa sehemu gani mkuu, ungetueleza sehemu uliyo penyezewa
 
Haa! hapo kakosea kuchelewesha maana mtazomo utakuwa kwasababu ya chaguzi/uchaguzi mkuu upandishwaji wa mishahara nadhani upo kisheria hapa naomba wanasheria watoe ufafanuzi mimi ukiniuliza kuhusu semiconductors na ujasiliamali nitakujibu vizuri
 
Acha upu mbavu una mpongeza magufuli kwa kupandisha nini sasa?
Kichwa kubwa akili mavi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…