Uchumi wa Tanzania kwa sasa unapaa kwa sababu ya utendaji na uongozi imara wa Dr MAGUFULI. rais aliyeamua kujilipua kwa ajili ya watanzania. Rais Magufuli ameamua kusimama imara na kwa uwazi kuitokomeza rushwa. kusimamia uadilifu na kujemga miundombinu ya maendeleo katika nchi. ni jukumu letu watanzania kumuunga mkono na kumpa moyo aendelee hivyo hivyo.
ni jambo la baraka sana na la kujivunia kwa nchi yetu na zaidi kukuomba Mungu ampe ulinzi wake ili achape kazi ipasavyo. nasema rais Magufuli chapa kazi, chaaaapa kaaaziiii!!!!!!!!!!

mpuuzi wewe,ukapimwe akili ,lazima ni chizi weweUchumi wa Tanzania kwa sasa unapaa kwa sababu ya utendaji na uongozi imara wa Dr MAGUFULI. rais aliyeamua kujilipua kwa ajili ya watanzania. Rais Magufuli ameamua kusimama imara na kwa uwazi kuitokomeza rushwa. kusimamia uadilifu na kujemga miundombinu ya maendeleo katika nchi. ni jukumu letu watanzania kumuunga mkono na kumpa moyo aendelee hivyo hivyo.
ni jambo la baraka sana na la kujivunia kwa nchi yetu na zaidi kukuomba Mungu ampe ulinzi wake ili achape kazi ipasavyo. nasema rais Magufuli chapa kazi, chaaaapa kaaaziiii!!!!!!!!!!
Ukiona walio wengi hawakuelewi jua wewe ndo huwaelewi wewe ndo mwenye tatizo.......rekebisha plzRais wetu Magufuli ukimuona anavyoongea kwa uchungu kwa wasaidizi wake hasa Mawaziri, makatibu wakuu,wakurugenzi na watendaji wengine unagundua kitu kimoja bado hawamuelewi kile anachokiitaji.Hii imesababishwa na Nchi kuendeshwa hovyo siku za nyuma na Ufisadi uliokuwa umetamalaki na hatimaye kufanya kazi kwa mazoea. Rais wetu Magufuli anaitaji tubadilike kwa maana sisi wote tukishirikiana ndo tutaijenga Nchi yetu,Rai yangu kwa wale wote mliopewa dhamana ya kuwatumikia watanzania tafadhali msimuangushe Rais wetu kwani ndio mtu pekee wa kutuvusha kutoka utumwani na kuingia kwenye Tanzania mpya.#JPM KIOO TUELEKEACHO
Sent using Jamii Forums mobile app
Ujawweka no utaki teuziRais wetu Magufuli ukimuona anavyoongea kwa uchungu kwa wasaidizi wake hasa Mawaziri, makatibu wakuu,wakurugenzi na watendaji wengine unagundua kitu kimoja bado hawamuelewi kile anachokiitaji.Hii imesababishwa na Nchi kuendeshwa hovyo siku za nyuma na Ufisadi uliokuwa umetamalaki na hatimaye kufanya kazi kwa mazoea. Rais wetu Magufuli anaitaji tubadilike kwa maana sisi wote tukishirikiana ndo tutaijenga Nchi yetu,Rai yangu kwa wale wote mliopewa dhamana ya kuwatumikia watanzania tafadhali msimuangushe Rais wetu kwani ndio mtu pekee wa kutuvusha kutoka utumwani na kuingia kwenye Tanzania mpya.#JPM KIOO TUELEKEACHO
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata Nicolaus Copernicus watu wote hawakumuelewa aliposema dunia ndiyo inyozunguka jua.Ukiona walio wengi hawakuelewi jua wewe ndo huwaelewi wewe ndo mwenye tatizo.......rekebisha plz
Sent using Jamii Forums mobile app
Nani alitupeleka utumwani Sisi Watanzania?Rais wetu Magufuli ukimuona anavyoongea kwa uchungu kwa wasaidizi wake hasa Mawaziri, makatibu wakuu,wakurugenzi na watendaji wengine unagundua kitu kimoja bado hawamuelewi kile anachokiitaji.Hii imesababishwa na Nchi kuendeshwa hovyo siku za nyuma na Ufisadi uliokuwa umetamalaki na hatimaye kufanya kazi kwa mazoea. Rais wetu Magufuli anaitaji tubadilike kwa maana sisi wote tukishirikiana ndo tutaijenga Nchi yetu,Rai yangu kwa wale wote mliopewa dhamana ya kuwatumikia watanzania tafadhali msimuangushe Rais wetu kwani ndio mtu pekee wa kutuvusha kutoka utumwani na kuingia kwenye Tanzania mpya.#JPM KIOO TUELEKEACHO
Sent using Jamii Forums mobile app
Rais wetu Magufuli ukimuona anavyoongea kwa uchungu kwa wasaidizi wake hasa Mawaziri, makatibu wakuu,wakurugenzi na watendaji wengine unagundua kitu kimoja bado hawamuelewi kile anachokiitaji.Hii imesababishwa na Nchi kuendeshwa hovyo siku za nyuma na Ufisadi uliokuwa umetamalaki na hatimaye kufanya kazi kwa mazoea. Rais wetu Magufuli anaitaji tubadilike kwa maana sisi wote tukishirikiana ndo tutaijenga Nchi yetu,Rai yangu kwa wale wote mliopewa dhamana ya kuwatumikia watanzania tafadhali msimuangushe Rais wetu kwani ndio mtu pekee wa kutuvusha kutoka utumwani na kuingia kwenye Tanzania mpya.#JPM KIOO TUELEKEACHO
Sent using Jamii Forums mobile app