Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Unamaanisha au unawatafutia ban watu? Au unatamani mitusi au labda uliharibiwa siku unahisi ukiharibiwa tena is equal to a new bright day?
 
Uchumi wa Tanzania kwa sasa unapaa kwa sababu ya utendaji na uongozi imara wa Dr MAGUFULI. rais aliyeamua kujilipua kwa ajili ya watanzania. Rais Magufuli ameamua kusimama imara na kwa uwazi kuitokomeza rushwa. kusimamia uadilifu na kujemga miundombinu ya maendeleo katika nchi. ni jukumu letu watanzania kumuunga mkono na kumpa moyo aendelee hivyo hivyo.
ni jambo la baraka sana na la kujivunia kwa nchi yetu na zaidi kukuomba Mungu ampe ulinzi wake ili achape kazi ipasavyo. nasema rais Magufuli chapa kazi, chaaaapa kaaaziiii!!!!!!!!!!

Jr[emoji769]
 
Where is our 1.5T first??
 
Uchumi unapaa kwa statistics za mtukufu, ila statistics nyingine zinaonyesha tofauti na ukipost unafungiwa gazeti, unatupwa jela au unapitiwa na watu wasiojulikana.
 
Ina maana miaka yote toka tumepata uhuru watanzania tulikuwa na laana, hadi alipokuja mheshimiwa sana jiwe kuleta baraka?
 
Uchumi wa Tanzania kwa sasa unapaa kwa sababu ya utendaji na uongozi imara wa Dr MAGUFULI. rais aliyeamua kujilipua kwa ajili ya watanzania. Rais Magufuli ameamua kusimama imara na kwa uwazi kuitokomeza rushwa. kusimamia uadilifu na kujemga miundombinu ya maendeleo katika nchi. ni jukumu letu watanzania kumuunga mkono na kumpa moyo aendelee hivyo hivyo.
ni jambo la baraka sana na la kujivunia kwa nchi yetu na zaidi kukuomba Mungu ampe ulinzi wake ili achape kazi ipasavyo. nasema rais Magufuli chapa kazi, chaaaapa kaaaziiii!!!!!!!!!!
mpuuzi wewe,ukapimwe akili ,lazima ni chizi wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rais wetu Magufuli ukimuona anavyoongea kwa uchungu kwa wasaidizi wake hasa Mawaziri, makatibu wakuu,wakurugenzi na watendaji wengine unagundua kitu kimoja bado hawamuelewi kile anachokiitaji.Hii imesababishwa na Nchi kuendeshwa hovyo siku za nyuma na Ufisadi uliokuwa umetamalaki na hatimaye kufanya kazi kwa mazoea. Rais wetu Magufuli anaitaji tubadilike kwa maana sisi wote tukishirikiana ndo tutaijenga Nchi yetu,Rai yangu kwa wale wote mliopewa dhamana ya kuwatumikia watanzania tafadhali msimuangushe Rais wetu kwani ndio mtu pekee wa kutuvusha kutoka utumwani na kuingia kwenye Tanzania mpya.#JPM KIOO TUELEKEACHO

Ukiona walio wengi hawakuelewi jua wewe ndo huwaelewi wewe ndo mwenye tatizo.......rekebisha plz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani tuache uzandiki, wizara ya afya imepata only 15% ya bajeti yake.
Magufuli hana nia ya dhati ya kutatua kero zetu, wala kutuendeleza, nia ya Magufuli ni kumfunika Nyerere.
Pantoni ya MV Dar es Salaam, ni hasara kwa taifa, ni kazi ya Magufuli. Boti iliyotumia masaa nane kwa safari moja ya DSM mpaka Bagamoyo .
Pia tumekuwa tunashindwa kesi mbalimbali kutokana na madudu aliyoyafanya akiwa waziri, mfano. Konoike wanatudai mabilioni, pia tulilipa mabilioni kuikomboa ndege ambayo ilishikiliwa Canada kutokana na yeye kuwafukuza wakandarasi bila kufuata utaratibu
 
Rais wetu Magufuli ukimuona anavyoongea kwa uchungu kwa wasaidizi wake hasa Mawaziri, makatibu wakuu,wakurugenzi na watendaji wengine unagundua kitu kimoja bado hawamuelewi kile anachokiitaji.Hii imesababishwa na Nchi kuendeshwa hovyo siku za nyuma na Ufisadi uliokuwa umetamalaki na hatimaye kufanya kazi kwa mazoea. Rais wetu Magufuli anaitaji tubadilike kwa maana sisi wote tukishirikiana ndo tutaijenga Nchi yetu,Rai yangu kwa wale wote mliopewa dhamana ya kuwatumikia watanzania tafadhali msimuangushe Rais wetu kwani ndio mtu pekee wa kutuvusha kutoka utumwani na kuingia kwenye Tanzania mpya.#JPM KIOO TUELEKEACHO

Sent using Jamii Forums mobile app
Ujawweka no utaki teuzi
 
Sasa ni kwanini ampigie hesabu za kumfukuza CAG au na CAG hamuelewi Rais wetu anataka nini?!...hahaha tutasikia mengi.
 
Mh Rais ameenda na Bombadier Mtwara au...!
1060810

1060811
 
Hakuna wakati mawaziri na watendaji wanafanya kazi kama wakati huu, ila JPM hataki kuwasifia ili wavimbe kichwa wajisahau, Magufuli anataka wafanye zaidi hii ni moja ya escalating strategy iliyopo kwenye fundamentals za leadership
 
Rais wetu Magufuli ukimuona anavyoongea kwa uchungu kwa wasaidizi wake hasa Mawaziri, makatibu wakuu,wakurugenzi na watendaji wengine unagundua kitu kimoja bado hawamuelewi kile anachokiitaji.Hii imesababishwa na Nchi kuendeshwa hovyo siku za nyuma na Ufisadi uliokuwa umetamalaki na hatimaye kufanya kazi kwa mazoea. Rais wetu Magufuli anaitaji tubadilike kwa maana sisi wote tukishirikiana ndo tutaijenga Nchi yetu,Rai yangu kwa wale wote mliopewa dhamana ya kuwatumikia watanzania tafadhali msimuangushe Rais wetu kwani ndio mtu pekee wa kutuvusha kutoka utumwani na kuingia kwenye Tanzania mpya.#JPM KIOO TUELEKEACHO

Sent using Jamii Forums mobile app
Nani alitupeleka utumwani Sisi Watanzania?
 
Whats this?
 
Back
Top Bottom